
Kama uliwahi kutabiri kwamba siku moja mtanzania Hasheem Thabeet atakuja kuchezea katika ligi ya mpira wa kikapu ya NBA, unayo sababu ya kujidai kwani utabiri wako umetimia jioni hii(saa za New York).Hasheem Thabeet amechaguliwa kujiunga na timu ya Memphis Grizzlies yenye makao yake makuu huko Memphis katika jimbo la Tennessee nchini Marekani.
Hasheem anakuwa mtanzania wa kwanza kufikia hatua hiyo.Kama nchi tuna kila sababu ya kufurahia mafanikio yake na kumtakia kila la kheri. Hivi sasa anakuwa,bila shaka, “balozi” wetu katika ulimwengu wa michezo hususani mpira wa kikapu. Kila la kheri Hasheem.
Feedback / Comments
18 Responses to “HASHEEM THABEET AJIUNGA NA MEMPHIS GRIZZLIES”
Leave a Reply


sending...
hashim…THE DREAM…
Mimi kama mdau wa michezo, nimefurahishwa na mafanikio hayo ya mtoto wa Sinza. Tunawataka wachezaji wengine wa Kitanzania wafuate nyayo zake maana sasa yeye ni Balozi wetu.
Chris
Dar es Salaam
Ni furaha kubwa tuliyo nayo watanzania kumpata balozi katika ulimwengu huu wa mpira wa kikapu. Mungu akutangulie sana ndugu yangu Hasheem.
Congrats boy!
THATS WUZ UP MY MAN I KNEW THE BOY COULD DO IT. KEEP UP THE GOOD WORK MAKE US HAPPY. THE GRIZZLIES ARE IN BAD SHAPE RIGHT NOW HOPEFULLY THINGS CAN CHANGE. LAST NIGHT THEY REALLY FOCUSED ON HIS ABILITY OF PLAYING VERY GOOD DEFENCE.HE NEEDS TO WORKOUT AND STEP UP THE OFFENCE THEY CANT TOUCH YOU.
am very happy for hasheem and i knew that would happen coz i know the boy very well.he is a talented player.so man just keep it up coz its the door to other tanzanian basketball players
oi nimefurahi sana kusikia umechaguliwa ndugu yangu ukija bongo utanikopa hata million nne maana kale kabiashara kangu naona kana dorora haya kaka nakusubiri usisahau na raba zako hata kama hazinitoshi nitabanana nazo hiyvo hivyo.lol. big up bro u made it.
am happy for you man.just keep more effort coz nba iz not an easy league.that can be a way to other tanzanian basketball players to do the same by following you as an example.just believe in your self
Ebwana ni Imetulia sana, big up Hashim inabidi sasa ukaze mwana bongo uku masela wako tumechoka, lakini sio Mtz wa kwanza jamani, mbona Martin Koli Koli mnambania kihivyo???
Hongeraaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa saaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaana mazeeeeeeeee!. Keep up the good work. Ila tu jihadhali sana na kilevi kiitwacho sifa kwani ni kibaya na cha kuogopwa zaidi ya ukoma.
Hongera sana kijana unawakilisha vizuri…wabongo tupo nawe katika kukuombea ili ufanikiwe kuitangaza vizuri TZ, tusishindwe vyote yaani maendeleo ya nchi, hata na michezo-hapa ndipo pa kutokea keep it up man,
Congrats….. the tough times are behind you! Only that you should not allow yourself to be carried up, instead strive for more and forge ahead.
I like your great sense of humour….. I have no doubt that you will always remember you humble beginings!!
big up ma boy,from sbl and street games in dar es salaam up to nba sio mchezo, big up kwa waliomshawishi apige kikapu; si tunakucheza kwenye nba 2k9 ya playstation 3,, kwa niaba ya madent wa mzumbe university tunakupa hongera kaka
Hongera sana Hasheem. Mwenyenzi Mungu akupe HEKIMA katika kila jambo utakalokuwa unafanya esp. dealing with fame (ni mtihani). God bless you!!!
Congrats man,you will be a good example to ur children,kama una nia and you keeps efforts Allah is great.
HONGERA SANA HASHEEM UMEOA KAKA AU BADO UPO UPO KWANZA?
MWANA HIO NDO CHANS YA KUWATOA NA NDUGUZO KTK HII LIFE YA MSOTO,KAZA BUTI DUNDA SANA KIKAPU,MAKE MILLIONS,FUNGUA BONGE LA SPORTS CENTER,BUSSINESS AT THE SAME TIME UNAIBUA NA VIPAJI,KAMA WEWE ULIKUEPO NAAMINI WAPO NA WENGINE KIBAO WANAOWEZA TUMIA CHANS HIO KAKA,OPEN THE DOOR BROTHER.NIMAONI YANGU TU,HONGERA SANA TENA SANA,MANIKIZZ,ATHINA,GREECE
big up boy….