
Habari za uhakika ambazo BC imezipata zinapasha kwamba Mfalme wa muziki wa Pop,Michael Jackson,amefariki dunia huko Los Angeles nchini Marekani mchana huu.
Mfalme huyo wa Pop alikimbizwa hospitali mchana huu baada ya kuzimia akiwa nyumbani kwake maeneo ya Holmby Hills huko Los Angeles alizimia baada ya kupatwa na mshtuko wa moyo kitu ambacho kinasemekana ndicho kilichomaliza uhai wa Michael Jackson katika Kituo Cha Afya cha UCLA ilipotimia saa nane na dakika ishirini na sita (2:26pm) kwa saa za Los Angeles.

Michael Jackson akiwa na umri wa miaka 13
Michael Jackson alizaliwa huko Gary,Indiana nchini Marekani tarehe 29 August mwaka 1958 akiwa ni mtoto wa saba kati ya watoto tisa wa Joseph na Katherine Jackson(wazazi wao). Alianza kujishughulisha na masuala ya muziki akiwa na umri wa miaka minne(4) katika kundi la familia lililojulikana na kutamba kama Jackson 5(pichani).

Kabla ya kufikwa na mauti,Michael Jackson, alikuwa anapanga kufanya show za mwisho huko London mwezi July mwaka huu.Tiketi kwa ajili ya show hizo zilikuwa zimeshakwisha(sold out)!

Pichani ni nyumbani alipozaliwa Michael Jackson na ndugu zake huko Gary,Indiana nchini Marekani.Nilipiga picha hii December mwaka 2006 nilipotembelea maeneo hayo ili kujionea alipozaliwa Mfalme wa Pop.Mtaa ilipo nyumba hii unaitwa Jackson Street.
BC inapenda kutoa pole kwa wote ambao wameguswa kwa njia moja au nyingine na msiba huu.Tunaamini kwamba Michael Jackson alikuwa sio tu mwanamuziki maarufu ulimwenguni bali muziki wake uligusa wengi.Wengi walicheza,wanacheza na wataendelea kucheza miziki yake.
Hapa chini unaweza kusikiliza simu iliyopigwa kutoka nyumbani ikwake kwenda kwa watu wa huduma za dharura(Emergency)
Audio clip: Adobe Flash Player (version 9 or above) is required to play this audio clip. Download the latest version here. You also need to have JavaScript enabled in your browser.
Feedback / Comments
30 Responses to “POP LEGEND, MICHAEL JACKSON, DIES AT 50”
Leave a Reply


A Tragic end! we will miss him!
Oh men cant b.L.v It??? absolutely shocking?
so sad
Kwa kweli, dunia nzima imepata pigo kubwa. Michael Jackson alikuwa ni “Mfalme wa Mziki” wa kweli.
Nimeshahudhuria maonyesho yake na kujionea mimi mwenyewe jinsi alivyokuwa akiudhibiti ukumbi wa mziki, kwa utaalamu wa hali ya juu.
Ilikuwa ukihudhuria onyesho lake moja katika mji fulani, halafu ukaingia katika onyesho lake lingine tena katika mji mwingine, hakukuwa na tofauti ya mwenendo mzima wa onyesho alilolionyesha awali.
Hii ilikuwa ni kutoa burudani sawa kwa wapenzi wake wote, katika miji yote aliyoonyesha maonyesho yake.
Ninasikitika sana kumpoteza “Mfalme” wetu wa Afrika, kimziki, Michael Jackson – RIP! Ufalme huo kama mtakumbuka aliupata huko Liberia.
Mungu Aiweke Roho ya Marehemu Mahali Pema Peponi – Amen!
It’s Great To Be Black=Blackmannen
His body is dead but his soul will remain alive on the work he has left here on earth. I was and I will still be a great fun of Michael, ..RIP Michael.
Ooops! I mean I am a great fan & not fun!!
its an believable to hear dat Michael is dead, we lost our king. May his soul rest in piece
WOW WHAT A TRAGEDY NO ONE CAN BELIEVE THE GIFT TO EARTH HAS PASSED AWAY TO A BETTER PLACE. WE WILL ALWAYS MISS MICHAEL. THERE WAS NO ONE EVER LIKE IT MICHAEL JACKSON OPENED DOORS FOR SO MANY TALENTED PEOPLE IN OUR GENERATION. I DONT CARE WHO YOU ARE EVEN IN THE BUSHES OF AFRICA YOU KNEW MICHAEL JACKSON. REST IN PEACE KING OF POP MICHEAL JACKSON ONE LOVE.
Maaan am so confused with his death you know wat Mike was a man of people though some people says tyhat he was not. but when you listen to his songs you will relise wat am saying….WE WILL MIC YOU BRO
….WE WILL MIC YOU BRO
Kwa kweli ulimwengu mzima umepoteza mtu maana sana katika kutowa Burudani, lakini ni hivo kama alivyo sema Mungu mwenyewe kila nafsi itaonja mauti, na kila mtu na wakati wake.Muhimu tu wapenzi wake Wangelimuombea dua
no one can replace u bro, i will mic u 4ever
Hayati Michael Jackson utakumbukwa sana kwa sanaa yako nzuri uliyoianza, kuimudu, na kuifanya vizuri tangu ukiwa utotoni.
Ingawa ulikuwa una upande wako wa giza,kama binaadamu, bado mambo tutakukumbuka zaidi na mambo mengi chanya uliyochangia ktk hii sayari dunia.
Hivi sasa ninapo-type rambirambi hii, nasikiliza vibao vyako murua kabisa.
MOLA AKUREHEMU, UPUMZIKE KWA AMANI, AMINA.
This is a shocking news.
I join the world and bongo celebrity in particular, to send my condolence to the family and all Africa-Americans,for untimely death of one of our own,the great son of African descent,the biggest celebrity in the world and the great person with bigger heart. Please I sing the song….This world is not my home……as I dedication to michael Jackison-rest in peace-the king of pop music in the world. You will remain the hero in the fight against racism in the world. we know you were compelled to deny your original skin colour by many of the….fans especially in the western world..with their racial-prejudices,–but sometimes,death is a good thing,it unifies friends and enemies to mourn, even haters,pretenders,hopocrites,cynics and racists all are mourning the death of one of our own, the black person-the king of pop may your soul rest in eternal peace
It is good to be a black person congrant my friend blackmannen to brag about this,black pride.
rest in peace!!!!!
rest in peace!!!!
rest in Peace!!!!
Michael Jackson ametutoka ndio lakini nilitamani ningeweza kumpa ushauri wa bure tuu kwani hakupenda sura yake aliyokuwa nayo mara sijui ametaka kujichubua mara na mengine mengi ambayo haayakuwa na maaana yoyote. Mimi sikuweza kumwelewa kabisaaaa
May his soul rest in PEACE..tutamkumbuka sana
everyone is special in different ways, he was special! wasnt his fan but am sad that he is gone. RIP bro.
daah jamaa kweli alikuwa ni noma kwa maswala ya Pop music na watu wengi walimkubali sana hasa kwenye music, ila kuna tetesi kwamba michael original alishauwawa miaka ya 1987 na huyu ni feki, jamaani ni kweli au watu wanazusha tu.
Mpwaa hapa!
Michael alikomaa sana kutafuta fedha akafanikiwa kwa hilo tena kwa muda mrefu. eeeeh! kaka cakanza kuzifulia, kakopa bank ya dunia mara nyumba ikauzwa, hadi anondoka duniani alikuwa anapanga kwa hiyo mali za watu kaziacha hapahapa dunia, duuuh kaka rest in peace.
We will miss you. RIP.
oooh!!!!!!!!!!!!!! myt father i was seriously shoked when i just got the news in the middle night when i was watching tv in ma room God y did ya take him plz thoug ts touching op i will get oveer t luvly ones i hated him so much coz ghe just said Tanzania inanuka which z so lyk bad do u guys luv hhim i luv him coz of the pop dance
kwa kifo hakuna mjanja wote 2takwenda mbele yake nyuma cc.je watamzika kislam au maana 2lickia alibadili dini?
Kila maiti husifiwa
I love his music but I hate his Ego,
Child malestation case,Bleaching his skin,all plastic surgeries changed the way I looked at MJ,He wasn’t normal , anyway RIP Mj
so nice
When tomorrow starts without me,
and I’m not there to see,
If the sun should rise and find your eyes
All filled with tears for me:
I wish you wouldn’t cry
The way you did today,
While thinking of the many things,
We didn’t get to say.
I know how much you love me,
As much as I love you,
And each time that you think of me,
I know you’ll miss me too:
But when tomorrow starts without me,
Please try to understand,
That an angel came and called my name,
And took me by the hand.
R.I.P Michael.
I’ll miss u Michael and I want u 2 know that I love u and miss u and that your songs and u will live in me forever and u will be gone but not forgotten just remember that your kids, family, friends, fans, and enimies will still love u forever… Although we are very sad that u are gone u still live in me if nobody else!!!!
May his soul rest in peace. Duh kumbe watoto wake walikuwa weupe kabisa i am schocked..kazi kweli kweli maana alikuwa hataki tena UWEUSI aisee that is sick..
Sijui kama MJ kuwa na watoto weupe ni kukataa weusi? lakini ukweli unabaki MJ alikuwa na alot of personal insecurities or sick personality. At the age of 10,he was black beauty and he bleached his skin colour and he became shapeless or like a monkey.BUT RIP MJ
JOEL MMBANDO on June 27th, 2009 7:53this is for you.
ukiwa kama mzazi unatakiwa kumchukulia mwanao kama alivyo.huna haki ya kuruhusu familia yako kum abuse mtu,. ati we pua leta hiki..mwangalie jinsi alivyo mbaya sura kama mbwa mwitu>>?hiyo humkaa mtoto mpaka mwisho wa maisha yake.na akipata nafasi ya kurekebisha hiyo hali hufanya hivyo kwa gharama yoyote ile.ndiyo yaliyomkuta michael.
mimi ni dk.mpasuaji bandia (plastic surgery)nimeona matatizo hayo mengi tu ,.lakini ukichunguza kihistoria kwa nini mtu anataka mabadiliko ,sababu ni wazazi ,majirani,au shuleni.,tupende na tulinde watoto wetu..tusiwape matani au mifanano ya ajabu. ukiwa kama mzazi mwaambie mwanao kuwa ni mzuri.kapendeza,inatosha.otherwise atakuja kufanya .mambo ya ajabu baadaye
; ushuhuda;nilipata msichana niliyempenda sana, na nikamtambulisha kwa wazazi,nikiwa form two tz.mama alifurarahi sana,lakini baba yangu baadaye ,aliniambia kuwa yule mwanamke hanipendi mimi sababu sina kitu chohote cha mvuto,ila anafurahia poket money wanayonipa wazazi wangu hivyo niachane naye na nikazane kweye masomo.na ndo nilivyofanyo.lakini sasa hivi nina matatizo tosha. nina uwezo sina comfidence.hela yote ninayopata nampa mke wangu,.ili aamue nini cha kufanya.,..kosa lote lilitokea kwa baba.,siwezi kuprove kama mke wangu ananipenda.,kama umri ukienda itakuwaje?
MICHAEL WUZ LEGEND,,DUNIA ITAKUKUMBUKA MILELE!!!!MAY YO SOUL REST IN PEACE,,!