hasheem

Feedback / Comments

17 Responses to “HASHEEM IN GRIZZLIES UNIFORM”

  1. Comment by Simon Kitururu on June 29th, 2009 4:58 pm

    Hongera Hasheem!

  2. Comment by mtimkavubongo on June 30th, 2009 4:13 am

    hongera simoni kitururu kwa ushindi wa rafiki yako najua, vipi bado upo helsinki?

  3. Comment by Mdigo on June 30th, 2009 4:28 am

    Mwenyezi Mungu azidi kukuongoza Inshaalla.

  4. Comment by nabeel on June 30th, 2009 6:09 am

    hongera hasheem keep it up

  5. Comment by Mti on June 30th, 2009 7:15 am

    mambo yake safi..keep it up kaka

  6. Comment by man UK. on June 30th, 2009 7:15 am

    well done man

  7. Comment by Muddy on June 30th, 2009 9:01 am

    Hi Hasheem,
    Hongera mkuu yaani kiutani utani tu mkuu unakuwa milionea. Haya wabongo wengine hakuna kinachoshindikana, huyu mshkaji anaweza akawa anapata mshahara kama bilioni mmoja kwa mwezi, yaani sio mchezo amekuwa star within very short period of time, lkn kijana anajitahidi sana sio kwamba umaarufu umekuja tu.Namkumbuka kijana pindi anakuja kula Chips pale Sinza kwa Remmy kwa marehemu Samba.
    Inshort any body can be any body if he/she concentrate on what he/she do. Nimekuwa nikifuatili issue za Hasheem for long time, from the begging while he was lazy with no good weight till those expert wanaanza kumpa lishe na mpaka sasa anakilo 123KG, yaani si mchezo kijana kujitahidi sana. Dogo kula mingo bwana ila ndio usiendekeze starehe za kijinga kijinga jenga kwenu na hususan Sinza na kile kidaraja chetu ili papitike vizuri.
    Have a good player mkuu.

  8. Comment by b.ball lover on June 30th, 2009 9:43 am

    kaka opportunity neva com twice,wazungu wanasema so u gotta do wat gotta be done son and neva be selfish wasaidie wenzio pia!

  9. Comment by MANIKIZZ on June 30th, 2009 12:36 pm

    HONGERA SANA BIG HASHEEM,HATA UZI UMEKUPENDEZA MWANA,KWA TUNAOPENDA MAENDELEO HATUNA BUDI KUFURAHIA MAENDELEO YAKO ILA MAONI YANGU KAKA USIBANE,FUNGUA MILANGO KWA WACHEZA KIKAPU WENZIO,WEWE NDIO KIRANJA,TENGENEZA MKWANJA KWANZA,JIPANGE,KIKUZE KIKAPU BONGO,WANAO WANAPIGA KIKAPU WAKITOKA TIZI CHIPSI DUME,CHACHANDU NYIIIiiiiingi hahahaha balaaa lol,MANIKIZZ,ATHENS

  10. Comment by Dinah on June 30th, 2009 1:49 pm

    Inapendeza! Inafurahisha! Inatia matumaini!

    Mungu akuongezee nguvu na uwe mbunifu zaidi,kumbuka safari bado ni ndefu na ushindani ni mkubwa….usijisahau.

  11. Comment by Hombiz on July 2nd, 2009 10:43 am

    Most of the time, hard work bears tremendous fruits! Always remember, “We sow in one season, we reap in another.”
    Kufika hapo ulipofika Hasheem, sio rahisi hata kidogo kama baadhi ya watu wanavyodhani. Maisha ya wanamichezo (hasa wa ligi kubwa) ni yenye nidhamu ngumu ya ki-mchezo kuanzia, mazoezi magumu ya pumzi, stamina, viungo n.k. Mimi personally namfahamu kijana mmoja ambaye aliwahi kunolewa ili awe professional basketball player, lakini alichemsha vibaya kwa kushindwa kuhimili mikiki mikiki ya mazoezi na life style inayotakiwa. Mbali na hapo, hakupendezwa na tabia za ajabu ajabu za baadhi ya wachezaji wa timu yake. Kama ujuavyo tena, baadhi ya wachezaji wakishaingia ndani ya ligi kubwa kama NBA na kupata pesa nyingi na umaarufu, huanza kuongesha kulewa pesa, sifa na umaalufu na kuwa kero hata kwa wachezaji wenzao. Hao Hasheem atakutana nao kila siku na ku-deal nao in regular basis.
    Pamoja na yote hayo! Hongera sana Hasheem. You achieved your American dream! That’s why they call this country-THE LAND OF OPPORTUNITIES!

  12. Comment by adam on July 2nd, 2009 3:02 pm

    haya sasa, vicheche vya bongo vilivyomtosa mwana vijiandae..

  13. Comment by Muddy on July 2nd, 2009 6:18 pm

    Hongera baba, mimi kama mtanzania mwenzako na mpenda michezo hususan football na basketball nakutakia mafanikio makubwa na endelea kulitangaza taifa kwa ujumla. Hii naomba iwe kama changamoto kwa vijana wote wapenda michezo nchini.

  14. Comment by MOHAMMED JUMA IDDI on July 13th, 2009 3:21 am

    HALLO. Mzuka mwingi kwa Hsheem azidi kukaza buti msela nasisi tutampa Big Up kubwa azidi kujiimarisha kimichezo nasio kuendekeza stsrehe za hapa na pale .

  15. Comment by MOHAMMED JUMA IDDI on July 13th, 2009 3:30 am

    HALLO. inakuwaje mazee kama kawaida ni mimi Moh’d ama au mwaarabu na mwenzangu Moh’d ama hightide sote kwa pamoja tunampa big up mshikskaji wetu Hasheem kwa kuchaguliwa katika kikosi mahiri cha marekeani azidi kukaza buti nasio kuendekeza MABIBI wa kizungu akiendekeza basi atarudi katika mfuko wa Rambo .good player mwana.

  16. Comment by maggie on October 7th, 2009 2:17 pm

    boy u no how to play ur coins keep it up

  17. Comment by hope david marc-el on October 4th, 2010 2:31 am

    brada you show the light to upcoming players. always they will do concider you as there role modelhelp them breakthough

Leave a Reply