obama-check-out-girl

Picha moja ni sawasawa na maneno alfu moja.Bila shaka ushasikia msemo huo.Ni kweli? Sikiliza; hivi majuzi Barack Obama amepigwa picha kama unavyoiona hapo juu.Watu wa habari(pengine kwa ukosefu wa mambo mengine ya kuzungumzia au kwa makusudi tu) wamezusha mjadala mkubwa.Wanasema Obama (akishirikiana na mwenzie  Nicolas Sarkozy wa  Ufaransa)alikuwa anaangalia nanihii ya huyo binti.Je ni kweli? Wewe ukiitazama picha hii unaonaje? Unaweza kupata maneno alfu moja kutoka kwenye picha hii?

Lakini yawezekana picha ikasema maneno elfu moja lakini yote yakawa sio sahihi? Tizama video ya tukio hili kwa kubonyeza hapa.

Feedback / Comments

20 Responses to “OBAMA ANAANGALIA WAPI?”

  1. Comment by Liy on July 10th, 2009 10:22 am

    ahh si mswahili huyo si unawajua kaka zetu huwa hawapitwi ila kama huyo mzungu anaogopa ogopa wakati obama anamwambia cheki mambo

  2. Comment by gloria on July 10th, 2009 11:05 am

    hahahaha! tht is an interesting pic, mi naona kawaida tu and by the way, they are men so nothing wrong, inaonyesha kwamba hata wao ni watu kama sisi tu na kuna vitu na wao wanapenda kucheck out. lol

  3. Comment by fREDY on July 10th, 2009 11:10 am

    Ubama Si Mwanaume Bwana,
    sasa kwanini asiangalie,
    Hiyo wanaume tunasema kisafisha macho ,
    HAPO OBAMA ANASEMA ; DAH UTANIKOMA LEO BAFUNI;
    NDUGU ZETU WAKENYA NI MABINGWA WA KUJITUNGUA
    AU KUKWEA MNAZI:

  4. Comment by Gervas on July 10th, 2009 2:37 pm

    Mmmh, Sarkozy kauma kidole kabisa

  5. Comment by kindege on July 10th, 2009 2:47 pm

    DUUUU nipe 5 OBAMA..

  6. Comment by MOE on July 10th, 2009 2:58 pm

    Thats a funny interesting one. Well to me that proves he is a real man come on now!!

  7. Comment by mtimkavubongo on July 10th, 2009 6:30 pm

    Hii inanikumbusha wakati wamarekani wanataka kumtimua kazi clintoni-Mandela alikwenda akawaambia wamerekani ktk bunge lao la congress kama wanataka Rais asipenda nanii yaani naniii, basi wamefeli hayupo dunia hii, kila mwanamume rijali lazima utamani nanii, sasa sijui kwa nini wanashangaa, lakini Sakozy anaonekana ni kiboko wa mademu mpaka anakata shingo kwenye video

    This proves the saying which goes like this, “Women have powers between their legs”.

  8. Comment by mdau on July 11th, 2009 2:19 am

    Watu hupenda kutafuta habari mbaya kwa wenziwao kwa nguvu zote,hiyo picha wameitoa baada tu ya huyo binti (mwenye pink) kujikwaa na obama alikuwa anajaribu kumsaidia huyo mwingine(nyuma yake,mwenye top nyeusi na skirt ya maua maua )kushuka hizo stairs na huyo mwenye kuangaliwa alijikwaa na kumpiga kikumbo.
    search google au yahoo au msn utaona hiyo video iko very clear na inajitosheleza kwa explanation.

    Ohh na hapa kumbe hiyo video ipo,cheki kwanza kabla ya ku comment

  9. Comment by oweno on July 11th, 2009 4:42 am

    huyo binti yaonyesha hajaa kivazi cha ndani, sakozy amemshtua barack check hiyo..

  10. Comment by mtimkavubongo on July 11th, 2009 4:57 am

    mwendelezo wa comment yangu hapo juu, women have powers yes but power is the broad concept, be it political power, financial power or spiritual power , the bottom line here is, such power is capable to influence decision, the fundamental question is on how to use such power? kama wewe ni mama huruma hii power unaisikia kwa wengine wanapata vyeo, mali, wachumba wazuri-waumme wazuri na kadhalika, wewe ni jamvi la wageni au loose ball au kiti cha dala dala au jina lolote na sampuli hii, hii power utaisikia kwa wengine.mimi wakati mwingine nahisi wanawake wengine hawajui kama wanayo hii power dhidi ya wanaume, Tafadhali itumie hii power vizuri, men are the same, uwe Rais, uwe Mbunge, Uwe msukuma mkokoteni,uwe mzungu, uwe mweusi, uwe mchina, make no mistake about this, we are the same in the way we respond to women ingawa tabia zetu ni tofauti, wengine ni moto chini na wengine wapole na wengine ni underground huwezi jua, na wengine nafasi zao kwenye jamii zinaficha makucha yao.

  11. Comment by Bally on July 11th, 2009 5:15 am

    Hapo mzee mzima anasema du nikishika hichi, cheki jinsi kawowo kamesimaa jamaa wa pembeni nae du kweli sio mchezo

  12. Comment by roja on July 11th, 2009 10:40 pm

    halafu msisahau kama obama bado kijana kabisa so si la kushangaa kabisa damu ianchemka wazee and kuwa rais si kama ndo inamzuwia kutamani that was really intrestin

  13. Comment by Dave on July 12th, 2009 9:22 pm

    Kama uliona motion yote/tape.Obama,alikuwa anageuka kumsadidia binti nyuma yake kushuka ngazi kwa kumpa mkono (black with white).Picha ikachukuliwa wakati anaanza kugeuka na huyo dada kwa bahati nzuri alikuwa anapita.

    Pia vile vile na kubaliana na jamaa hapo juu,Obama ni mwanamume na kitu kizuri lazima uangalie ama sivyo wewe ni gay.

  14. Comment by Mwanamke wa Shoka (UK) on July 13th, 2009 9:18 am

    he he he!! Kaka na dada zangu hapo juu nimewapata…lol

  15. Comment by vumbikali on July 13th, 2009 2:56 pm

    OBAMA ANAINCHI12

  16. Comment by BLACKMANNEN on July 15th, 2009 7:56 pm

    Habari zilizojaa umbea kama hizi, mara nyingi mimi sijishughulishi kuzitolea maoni. Lakini, kwa umbea huu hapa uliotungwa na wanahabari ili kuuza habari zao, nimelazimika kusema.

    Obama wala Sarkozy hawakuwa wanamtazama mwanamke huyo. Isipokuwa Obama, alikuwa akijitahidi kumshika mkono dada mweusi, aliyekuwa akija nyuma yake.

    Lakini mtengeneza picha hiyo, kwa vile alitaka kuuza habari zake, alijitahidi kuifanya ionekane kama inavyoonekana. Ni tukio la sekunde chache sana.

    Kama ilivyo kawaida ya watoa maoni wetu wengi hapa BC, hufurahishwa zaidi na matukio ya kimbeambea, kama huu.

    Wengi wametoa maoni yao, kwa vile ni umbea. Lakini, kama ilivyo kawaida yangu, hupenda kuyachunguza maoni ya wenzangu, katika hali zote.

    Hupenda kuyatafakari kwa kina, kama maoni yao ni “Positive” au “Negative”, kufuatia na mlengwa wa habari.

    Mlengwa wa habari hapa leo, ni Rais wa Marekani Barack Obama. Kwa hiyo maoni mengi ni “Positive”. Kwa sababu ni, USA nchi tajiri, nchi ya Wazungu.

    Jaribu kufikiria kuwa, picha kama hii ya Obama, ingekuwa ni ya Rais wa Tanzania, Mh. Jakaya Kikwete, akionekana kuangalia mwanamke namna hiyo na Sarkozy aliyekuwa na Obama, awe ni Mh. Jackob Zuma. Je, maoni ya Watanzania yangefanana na haya yaliyopo hapa sasa?????

    Mie wacha nikae pembeni kuwatizama nyie, naenda kununua popcorn na kinywaji baridi, nitaendelea kuwaona katika comments zenu.

    It’s Great To Be Black=Blackmannen

  17. Comment by chapombe on July 17th, 2009 7:23 am

    habari na picha zinapendeza,lakini mi nafikiri ni vijimambo tu

  18. Comment by Dinah on July 19th, 2009 5:06 am

    Asingekuwa Sarkozy picha hii isingekuwa issue…..

  19. Comment by Flora on July 20th, 2009 7:39 am

    EYE judgement and MIND interpretation It might be real or just technology everything its possible otherwise nothing surprisingly!

  20. Comment by maggie on October 7th, 2009 2:16 pm

    mwanaume endelea

Leave a Reply