MY TANZANIA   |   PLACES TO GO   |   MEDIA   |   ONLINE ENTERTAINMENT    

likokola

Pengine yeye ndio miongoni mwa warembo wa mwanzo kabisa kuiweka Tanzania katika ramani ya dunia katika masuala ya urembo. Anaitwa Tausi Likokola.

Kama ilivyo hapa kwetu,pengine na wewe umekuwa ukijiuliza,yuko wapi Tausi? Mbona kimya sana? Unaweza kutembelea tovuti yake ili kupata japo updates kidogo juu ya anachokifanya.Pia kama humkumbuki au hujawahi kumsikia,tembelea tovuti yake ili kujua mengi.

Share and Enjoy:
  • Digg
  • Sphinn
  • del.icio.us
  • Facebook
  • Mixx
  • Google Bookmarks
  • email
  • LinkedIn
  • Live
  • Spurl
  • Technorati
  • Yahoo! Buzz
  • YahooMyWeb

Feedback / Comments

8 Responses to “DO YOU REMEMBER TAUSI?”

  1. Comment by mtimkavubongo on July 13th, 2009 4:11 pm

    Swali la kizushi??

    hivi hawa warembo na mamiss wanaweza kuwa wake wazuri kweli? wale ambao wanajua mamiss walio katika ndoa wanisaidie labda umeisha fanya research,

    Urembo ni kama wale mastaa wa muziki, richa ya kuwa ni macelebrity, uzoefu unaonyesha maisha yao huwa jamejaa vitu, uhuru mwingi, kulewa sifa na wawengine wauni?

    Vipi huyu Likokolo ameolewa, maana ninaye rafiki yangu anataka mchumba maarufu ambaye sio mapepe ambaye anaweza kuolewa akatulia, bila mume kuwa na presha

  2. Comment by Bob Sambeke on July 13th, 2009 7:26 pm

    Namkumbuka sana hata mwana FA alishawai kumuimba! “Unapenda pozi za mtoni kama Tausi Likokola” Big up Dada Kazi Njema!

  3. Comment by Yoyoo on July 14th, 2009 11:51 am

    Her Bio is too shallow! We need to no more about her, Tanzania is big! E.g. Where did she go to school, where does she live now? etc.

    Great job though!

  4. Comment by Mattylda on July 15th, 2009 3:42 am

    model!!!!!!!!!!

  5. Comment by Nyamizi on July 16th, 2009 6:24 pm

    Tausi ameshaolewa na ana watoto wawili. Anaishi marekani na anaandika vitabu. Anaonekana kwenye cover za magazeti na matangazo mara moja moja na kwenye red carpets. Mimi namfuatilia, kuna video yake you tube:
    http://www.youtube.com/watch?v=7_hhfofLjsI

    marekani walionyesha familia yake kwenye TV:

    http://www.cbn.com/700club/guests/interviews/Tausi_Likokola-Newton120108.aspx

  6. Comment by BLACKMANNEN on July 21st, 2009 3:20 am

    Obeja sana Sengi “Nyamizi”, ugudolekeja youtube na cbn, ugumpandika u Tausi!

    Kwa kweli Tausi, tayari hakuwepo tena akilini mwetu watu wengi. Ahsante sana Shangazi “Nyamizi” kwa kutuonyesha sehemu ya kumpata Tausi wetu, na kuyaona maendeleo yake.

    Dada zangu Watanzania, chukueni mfano wa Tausi, kwa kupambana na maisha kufa na kupona na kuibuka mshindi.

    Wadada wengi wa Kitanzania wanapoanza kuinuka kimaisha katika fani zao. Kikomo cha maendeleo yao katika fani zao ni mara nyingi ni pale wanapoolewa. Sijui ni kwanini???

    Je, kikwazo cha maendeleo hayo ni nini? Waume? Au dada wenyewe huona kuwa wamefika safari ya maendeleo yao wanapoolewa?

    This Is Black=Blackmannen

  7. Comment by Nyamizi on August 21st, 2009 10:30 am

    Kaka Blackmannen, sisi kina mama pia tuna watoto na bado tupo kazin jamani. Nitatuma nyingine za Tausi ila hii nimatoa kwenye gazeti jana:

    “Since having her children, Tausi has cut back on international modeling. “I still have an agency in Germany, but my focus now is more on my family … and my books (she’s written several) and my work with young girls.” In other words, she hasn’t slowed down; she’s just shifted gears.

    soma zaidi:

    http://www.courier-journal.com/article/20090821/FEATURES0401/908210303/Our+cover

  8. Comment by Nyamizi on August 21st, 2009 7:55 pm

Leave a Reply