MY TANZANIA   |   PLACES TO GO   |   MEDIA   |   ONLINE ENTERTAINMENT    

Ni mara ngapi umewahi kujitolea? Unasubiri nini?Kwanini hufanyi hivyo?Hayo ndiyo maswali ya msingi ya kujiuliza baada ya kuangalia video hii.Huo ni upande wa elimu,ubinadamu na kile ambacho Spike Lee(mtengeneza sinema wa Marekani) alichokizungumzia katika filamu yake ambayo hivi majuzi imetimiza miaka 20 na kuwa miongoni mwa Classic Films.Inaitwa Do The Right Thing.

Kwa upande wa muziki,huyu hapa Mzungu Kichaa akishirikiana na Heavyweight MC,Professor Jay na Mwasiti.Wimbo unaelekeza hicho nilichogusia hapo juu,Jitolee.

You need to a flashplayer enabled browser to view this YouTube video

Share and Enjoy:
  • Digg
  • Sphinn
  • del.icio.us
  • Facebook
  • Mixx
  • Google Bookmarks
  • email
  • LinkedIn
  • Live
  • Spurl
  • Technorati
  • Yahoo! Buzz
  • YahooMyWeb

Feedback / Comments

6 Responses to ““JITOLEE”- MZUNGU KICHAA FT PROFESSOR JAY & MWASITI”

  1. Comment by marknigga salamba on July 15th, 2009 12:07 pm

    haya ndio maisha,namsifu mzungu jeuri,anavyokimanya,kibongo,nasi tuna nafasi ya kusomea au kujifunza luga yeyeto,luga ni watu nasi ni WATU.markniigga australia

  2. Comment by Mtanganyika on July 15th, 2009 6:40 pm

    Big Up Prof Jay.. ni ukweli umekaza buti na kujijenga kwenye game. …. Sisi wabongo wa ughaibuni tunakusubiri Atlanta

  3. Comment by BLACKMANNEN on July 15th, 2009 8:58 pm

    Hej “Mzungu Kichaa”!

    Hur mår du då, ner du befinner dig i fantastiskt land Tanzania? Ni mategemeo yangu kuwa unajisikia uko nyumbani, kama ambavyo unapokuwa Denmark, ulikotoka wewe.

    Mimi nawapongeza sana kwa kitendo chenu cha kushirikiana Prof.Jay, Mzungu Kichaa na Mwasiti, katika kutengeneza muziki wa pamoja.

    Watanzania, tunamsemo usemao “Umoja ni nguvu, utengano ni udhaifu”. Kwa hiyo mwungano wenu ni nguvu sana katika fani yenu hii ya muziki.

    Kwa maoni yangu. Kwa wasanii wa Tanzania, kuungana na kijana huyu “Mzungu Kichaa”, ni nafasi yao kubwa sana ya kujiendeleza kimuziki na kuweza kujulikana katika dunia ya muziki duniani.

    Ushirikiano wa mambo yoyote na watu wa mataifa mengine, ni muhimu sana. Hapa naweza kusema kuwa “Yousso N’dour” wa Senegal, ameweza kujulikana, baada ya kushirikiana na “Peter Gabriel”.

    Kikundi cha waimbaji mashuhuri wa Afrika Kusini wa “Blackmambazo”, not Blackmannen, wamekuwa waimbaji mashuhuri baada ya kushirikiana na “Paul Simon”.

    Maiko Jackson, amekuwa akishirikiana na wasanii wenzake wa ndani na nje katika kustawisha matawi ya kazi zake za kimuziki duniani. alishirikiana na Wasanii wenzake toka Uingereza na nchi nyingine.

    Kitu kinachonishangaza na kuniumiza kichwa changu mimi, ni kuona wasanii wetu wakifanya vitu vyao pekee yao kila mara mahali pengi. Hata maonyesho yao wanayoenda kufanya huko nchi za nje, hupenda kuwa wao pekee yao.

    Je, hii tabia ya wasanii wetu kuamua kuwa pekee yao katika maonyesho yao nje na ndani, ni uoga au ubinafsi? Nisaidieni kunijibu.

    This Is Black=Blackmannen

  4. Comment by mr degree on July 16th, 2009 2:37 am

    dah! kumbe do the right thing ni sinema ya siku nyingi hivi?ni sinema kali sana na inaelezea uhalisia wa kuwa mvumilivu katika jamii tofauti!

  5. Comment by kweliman on July 16th, 2009 3:33 pm

    Blackmannen umesema kweli kushirikiana ktk shughuli ya muziki ni jambo zuri kwa wasanii kwa faida hizo ulizosema NA HASA KAMA MSANIIhusika mmoja wapo ni msanii mwenye mafanikio ktk arena ya biashara ya musiki.well said bwana.

    VIDEO
    The quality of this video would be too hot to ignore.Its almost unbelievable That Visual lab has come this far! I liked everything that went into it .I got nothing but complements !however ,there is two issues i would comment

    FEEL/OVERALL HUE
    General feel of the video or the overall HUE,in my perspective is a little bit off from the pace or the feel of the song.If you listen to the song there is a warm feel to it.
    I would set the overall hue of the video on striking kind of hues as opposed to a brown darkish hues .Hues that would project some degrees of warmth to match with that of the song.i would avoid white colored outifits on dark skin tonnes (kama zile za kinamama) especially if you are shooting on hot weather mchana .noticed that in your video.Am not suggesting that the video is a crap.noway!.this video is absolutely amazing by any standards.It’s just that personally i would make it even better with striking or warm hues (overall) set on it.

    ACTING
    Only one part of acting, I noticed there was no energy like the rest of the video.Mwasiti and the ladies ,doing the victory sign.This part looks so STAGED,completely lacks in SPONTENITY ,that energy and the empathy.Looks like they wanna do it but a little intimidated or not sure of how.

    Other than that Mwasiti has definately amazed me with her singing. Mwasiti, your singing is absolutely stunning!she is obviously gifted especially if paired with a true musical geneous.In this song,she did a great vocal performance regardless.I have never liked the singing in your ZOUK songs ,But in this one your artistic geneous ,your full vocal potential,as i listened to it has come out in full force.
    Great job

    Professor Jay,i like your energy.you are always giving out everything whenever you perform.You rapping style is red hot .Its a signature with a force hard to ignore.Like it .was a great collaboration
    MK
    Personally am all on the sound of your gitar.Anything musically accoustic would always catch my attention.Your gitar has added completely fifferent twist into the song that without it i cant imagine how would it sound,seriouly.In my opinion you are a true artist,and i cant find words to best describe how your accoustic skills have brought that edge into the the song.You are simply and amazingly talented
    Overall, the video and the song are way too over the top !
    Kweliman

  6. Comment by NT on August 5th, 2009 4:55 am

    I really like this good jag gillar mycket det ,…bor du i Tanzania eller i Danmark ?lycka till in all man keep it upp Mikono juu!
    NT

Leave a Reply