Comment by Mickey Jones - Denmark on
July 17th, 2009 9:10 am
“KIVULI CHAKO BADO HAKIJATOWEKA”
Twakukumbuka Profesa Haroub Othman kuondokewa na kutuachia “uzito” wa kazi kubwa uliyotuanzia, haitokuwa rahisi kupata mwingine atakayeziba “pengo” kwa kipindi kirefu kijcho.
Twamshukuru mwenyezi Mungu aliyekupumzisha mahali pazuri na tumebahatika ametuwachia “kivuli” chako kitakachobakia na sisi daima milele.
Denmark
Comment by Freddy Macha on
July 17th, 2009 9:35 am
Mara ya mwisho kumwona Profesa Othman ilikuwa katika kijiji kimoja kuleeee Norway, mji wa Bergen, siku ya baridi na barafu. Alikuja pale mwaka 1993/94 (nafikiri) kufanya kazi na kufundisha…Mtu wa kimataifa…toka Umatumbini, akisikilizwa pale na watu wasiomjua (ughaibuni) au kumsikia wakimthamini maana hakuongea utumbo hata kidogo….
Watalaam, mafahali na mafarisi kama Profesa Haroub Othman ni nadra katika jamii. Ndiyo maana kifo chake ni sawa na uhai wake. Hajafa bado; wala hatokufa daima. Aliishi kwa kazi, akitumia akili Mwenyezi Mungu aliyompa kwa dhati, moyo na nidham.
Vitu alivyofundisha, mambo aliyosema na kuandika yote yalikuwa kuchangia maendeleo ya Watanzania na binadam kwa jumla.
Ndiyo maana pamoja na kuwapa pole ndugu zake wa karibu, tushukuru kuwa tumekuwa na mtu wa aina hiyo. Ni baraka tena sana, kwetu. Iliobaki sasa kuchapa kazi zake, kuzitoa katika video (inapowezekana) ili vizazi vijav yo viifaidi, viichambue na pale inapowezekana viikosoe na kuiendeleza.
Comment by N on
July 17th, 2009 11:50 am
His words and wisdom will always stay with us..
Comment by xxx on
July 18th, 2009 6:04 am
Mungu ailaze roho yake mahali pema peponi. Mie Prof Haroub Osthman alinifundisha Development Studies mwaka wa kwanza pale chuo Kikuu jamani he was a humble man..namkumbuka sana and he was not mean kwa wanafunzi..
Hi guys Nimerudi tena baada ya kumuona Fred Macha,
Kwa kweli huyu alikuwa mwalimu wangu amenifundisha hapo mlimani na bado nilikuwa naenda ofisini kwake kwa mazungumzo hasa hasa kuhusu siasa za Africa na Amani ya Palestine, nilikuwa napata ushauri katika masomo yangu ninayofanya sasa,
Kwa kifupi huyu ni kati ya wasomi wachache katika Tanzania ambao walikuwa humble,intelligent,wise,selfishless na kila aina ya neno zuri huyu baba waweza mpatia, Kwa kweli ni challenge kwa kizazi chetu,
Mungu muweke mahali pema peponi
cheers-Frateline
Comment by Mwanamke wa Shoka (UK) on
July 21st, 2009 6:44 am
His name is vivid in my ears…used to hear colleagues talk of him…when we sat down just to re-wind after a long day at Mlimani…did not know much of him as I was a fundi from down there….but pals used to portray his potential.
“KIVULI CHAKO BADO HAKIJATOWEKA”
Twakukumbuka Profesa Haroub Othman kuondokewa na kutuachia “uzito” wa kazi kubwa uliyotuanzia, haitokuwa rahisi kupata mwingine atakayeziba “pengo” kwa kipindi kirefu kijcho.
Twamshukuru mwenyezi Mungu aliyekupumzisha mahali pazuri na tumebahatika ametuwachia “kivuli” chako kitakachobakia na sisi daima milele.
Denmark
Mara ya mwisho kumwona Profesa Othman ilikuwa katika kijiji kimoja kuleeee Norway, mji wa Bergen, siku ya baridi na barafu. Alikuja pale mwaka 1993/94 (nafikiri) kufanya kazi na kufundisha…Mtu wa kimataifa…toka Umatumbini, akisikilizwa pale na watu wasiomjua (ughaibuni) au kumsikia wakimthamini maana hakuongea utumbo hata kidogo….
Watalaam, mafahali na mafarisi kama Profesa Haroub Othman ni nadra katika jamii. Ndiyo maana kifo chake ni sawa na uhai wake. Hajafa bado; wala hatokufa daima. Aliishi kwa kazi, akitumia akili Mwenyezi Mungu aliyompa kwa dhati, moyo na nidham.
Vitu alivyofundisha, mambo aliyosema na kuandika yote yalikuwa kuchangia maendeleo ya Watanzania na binadam kwa jumla.
Ndiyo maana pamoja na kuwapa pole ndugu zake wa karibu, tushukuru kuwa tumekuwa na mtu wa aina hiyo. Ni baraka tena sana, kwetu. Iliobaki sasa kuchapa kazi zake, kuzitoa katika video (inapowezekana) ili vizazi vijav yo viifaidi, viichambue na pale inapowezekana viikosoe na kuiendeleza.
His words and wisdom will always stay with us..
Mungu ailaze roho yake mahali pema peponi. Mie Prof Haroub Osthman alinifundisha Development Studies mwaka wa kwanza pale chuo Kikuu jamani he was a humble man..namkumbuka sana and he was not mean kwa wanafunzi..
rest in Peace!!!!!!!
Hi guys Nimerudi tena baada ya kumuona Fred Macha,
Kwa kweli huyu alikuwa mwalimu wangu amenifundisha hapo mlimani na bado nilikuwa naenda ofisini kwake kwa mazungumzo hasa hasa kuhusu siasa za Africa na Amani ya Palestine, nilikuwa napata ushauri katika masomo yangu ninayofanya sasa,
Kwa kifupi huyu ni kati ya wasomi wachache katika Tanzania ambao walikuwa humble,intelligent,wise,selfishless na kila aina ya neno zuri huyu baba waweza mpatia, Kwa kweli ni challenge kwa kizazi chetu,
Mungu muweke mahali pema peponi
cheers-Frateline
His name is vivid in my ears…used to hear colleagues talk of him…when we sat down just to re-wind after a long day at Mlimani…did not know much of him as I was a fundi from down there….but pals used to portray his potential.
May your outspoken legacy live on among us.
May you rest in peace. Amen