MY TANZANIA   |   PLACES TO GO   |   MEDIA   |   ONLINE ENTERTAINMENT    

91

mandelabc

Jana ilikuwa siku ya kumbukumbu ya kuzaliwa Nelson Mandela.Huyu ni shujaa wa wengi.Nchini Marekani,mtu anakuwa hajafikia umaarufu wa kweli kama hajawahi kuonana na Nelson Mandela.Ndio maana unaona kila kukicha celebrities kutoka nchi hiyo wanamiminika kwenda Afrika Kusini japo wapate nafasi ya kupiga picha na Mzee Madiba.Kama nyumbani kwako huna picha ukutani ukiwa bega kwa bega na Mandela…bado!

Kwetu sisi waafrika,tunajua thamani ya mtu huyu.Ni mpigania haki za binadamu,mpinzani wa tawala dhalimu na pia mpenda amani.Lakini leo hii ni nani kama Mandela,Nyerere,Kwame Nkrumah,Lumumba na wengineo barani kwetu? Kwanini hatuna tena viongozi ambao kwa dhati wanajali maslahi ya wananchi na bara zima la Afrika? Wapi tulipotea?

Madiba,Hongera kwa kutimiza miaka 91.Kila la kheri.

Pichani ni Mzee Madiba akipuliza mshumaa kuashiria kutimiza miaka 91.Pembeni yake ni mke wake, Graca Machel-Mandela nyumbani kwao jijini Johanesburg hapo jana.

Photo/Yazbek-Nelson Mandela Foundation

Share and Enjoy:
  • Digg
  • Sphinn
  • del.icio.us
  • Facebook
  • Mixx
  • Google Bookmarks
  • email
  • LinkedIn
  • Live
  • Spurl
  • Technorati
  • Yahoo! Buzz
  • YahooMyWeb

Feedback / Comments

16 Responses to “91”

  1. Comment by Mattylda on July 20th, 2009 4:28 am

    Oh my God Mungu akulinde jamani,happy birthday to u Nelson Mandela,love u!!!!!!i wish na babangu angefika umri huo…stay blessed!

    Madam kipaja kiko nje mhhh ngoja niwapishe kina Blackmanenn!

  2. Comment by Flora on July 20th, 2009 7:25 am

    You are one of my “HERO”

    May GOD blessings be with you always!

  3. Comment by xxx on July 20th, 2009 8:16 am

    Happy Birthday Mzee Madiba! BC unajua watu kama Mandela they live once in a life time..yaani ni mtu ambae unique kiasi ya kwamba ni kama hawatoki dunia hii tuliopo sisi..yeye alikuwa mfungwa then akaachiwa huru na kuwasamehe walio mfunga na kumtesa? Aisee kwa kweli hii ni ngumu sana kwa watu wa kawaida..Binafsi naomba tuombee africa bec kwa sasa hamna kiongozi kama Mandela kwa kweli wengi ndio hivyo tena rushwa na kujilimbikizia pesa na mali…so AFRICA is crying for positive change lakini wapi viongozi ndio hivyo tena, vita kwa sana, na wanchi wa kawaida wala hawa chance kabisa..

  4. Comment by xxx on July 20th, 2009 8:18 am

    By the way mama Mandela is looking so good for her age..keep it up Mrs Mandela that is the way to go

  5. Comment by HALIKUNIKI on July 20th, 2009 10:40 am

    LAKINI JAMANI MBONA UYU MAMA NI MZURI HIVI ONA JIGUU ILO,KWELI HAMFANYII MZEE MADIBA UFISADI?
    HAPPY BIRTHDAY MADIBA,HOP U CAN C 2010.GOD BLESS U

  6. Comment by Gervas on July 20th, 2009 12:45 pm

    Mattylda…unajua mambo kama hayo unayosema(kipaja)ndo yanamfanya mzee wa watu aiishi muda mrefu bila tention wala nini, Kina Mugabe, Kawawa … na wengine wengi.

  7. Comment by mtimkavubongo on July 20th, 2009 12:58 pm

    Huyu Mzee is my hero, mimi nakubaliana kabisa na dada yangu xxx, mtu kama mandela wanaishi once in a life for many generations, hasa hasa kwenye nchi za Africa ambapo hatuna viongozi. Hongera mzee mandela angalau wewe ni taa ya kuonyesha hata mtu mweusi anaweza.

    My almight God grant you more years, you have nine to have a century. Hongera mama mandela hili panya na mzee kachoka sijui kama mama anaponea wapi?

    happy birthday mandela

  8. Comment by Hombiz on July 20th, 2009 1:32 pm

    Happy B-day & many more to come, mzee NMM!
    Stay health!

  9. Comment by Hombiz on July 20th, 2009 1:33 pm

    stay healthy

  10. Comment by BLACKMANNEN on July 21st, 2009 1:04 am

    Happy Birthday Nelson Mandela and ME ma’self!

    Ijapokuwa Mzee MADIBA tunatofauti kubwa sana ya umri na mimi, lakini tarehe 18 Julai ni siku tuliyozaliwa.

    Ndugu zanguni wana BC, hebu fikirieni BLACK miye, nimezaliwa tarehe sawa na mtu Mashuhuri kama huyu. Mnadhani ninakenua meno yangu vipi????? Heeee Weee Acha Tu! Blackmannen miye huyu!!!!

    Mnapompongeza Mzee Mandela, msinisahau kunimegea na mimi Blackmannen kijihongera, japo kidogo jamani.

    Mwenzenu nimependelewa mambo mengi na Mwenyezi Mungu, kwa kuniumba Black, Mtanzania na tarehe ya kuzaliwa akaniunganisha na Mzee MADIBA. Je, nipewe nini? Gunia la chawa?

    Mattylda na Gervas, nimewapata kwa sana, nipo pamoja nanyi!!!

    It’s Great To Be Black=Blackmannen

  11. Comment by Mattylda on July 21st, 2009 3:24 am

    Hehehehe Gervas sawa kaka!!!!

  12. Comment by Mwanamke wa Shoka (UK) on July 21st, 2009 6:37 am

    wow!! Stake-holders hapo juu nimewapata….hasa Mattylda amenifurahisha…nimecheka.

    …that’s Madiba’s wife lol…ndio maana Birthday-boy Madiba baado anadai….maana Mama ana-take care…she is young and she shares her youth with her lovely hubby…lol…she is happy and so do Madiba….happiness adds up to longevity…..

    Just wishing the highly respected and loved son of Mama Africa many years ahead with lots of happy returns…Happy birthday Madiba.

    We love you and pray to God to bless you according to his will. Amen.

  13. Comment by Ariana on July 21st, 2009 9:14 am

    ooooh moyo wangu unamshangilia Mungu sana kwa ajili ya Mandela hakika Bwana ameushibisha mema uzee wako Mungu akuzidishie miaka tele seeing u alive is a prayer for us we love you madiba!! live long!when you smile the whole world smile!!

  14. Comment by Mattylda on July 22nd, 2009 7:19 am

    Mwanamke wa shoka (uk) mwenzangu na mie si ndo nikataharuki mmama ameachia kipapatio nje teh teh teh job true true yaani kweli kabisa she shares her youth with hubyy thats why he still alive well done mama endelea kumpet pet mzee wetu!!!!!!!!

    hee happy birthday bro BLACKMANEN to u also!!!

  15. Comment by abba uk on July 25th, 2009 8:11 am

    hongela mzee mandela tunakuombea maisha malefu na afya njema happy bithday baba ya afrika god bles you

  16. Comment by any on July 26th, 2009 10:46 am

    yeah, atueleze kwa nini kamwoa mke wa rafiki yake, akifufuka ghafla! haaa

Leave a Reply