
Bila shaka umeshasoma katika vyombo mbalimbali vya habari(magazeti/blogs) au kusikia mitaani minong’ono kuhusu “mgogoro wa afya” ya mwanamuziki/muimbaji maarufu,Banza Stone “Mwana wa Masanja”. Wengine walishasema kwamba Banza “kavuta”.
Lakini je ni kweli kwamba Banza yupo hoi kitandani na kwamba anasumbuliwa na yale maradhi sugu? Banza ameongea na tovuti/blog ya Angalia Bongo na kuweka mambo wazi.Kasemaje?Bonyeza hapa usome mwenyewe.
Photo/Abdallah Mrisho.
Feedback / Comments
2 Responses to “NI KWELI BANZA STONE YUPO HOI KITANDANI?”
Leave a Reply


sending...
Uliyofanya ni makubwa katika medani ya muziki hapa Tanzania,lakini walimwengu hawana jema tunamuomba mungu akusaidie upone marathi Banza Stoni.
Kama methali isemwayo “lisemwalo lipo kama halipo laja” Kama ni kweli banza anamaradhi atakuwa yeye siye wa kwanza na wala si wa mwisho.Tunamuomba mungu akulinde, akuponye na kinachokusumbua. Mungu akujalie afya njema. Bado tunapenda muziki wako and your the best one in dance music.