flora-mbashabcJe imewahi kutokea ukahisi kukata tamaa ya kuishi kutokana na sababu mbalimbali za kimaisha? Yawezekana kabisa kwani huo ndio ukweli wa maisha.Kuna nyakati za furaha na kuna nyakati za kilio.Ndio maisha.

Ingawa maisha ndivyo yalivyo,siku zote tunashauriwa kutokukata tamaa.Tunaambiwa maisha ni mapambano na hivyo tuendelee kupambana daima. Mtu mmoja ameshawahi kuniambia kwamba katika dhambi kubwa ambazo binadamu anaweza kufanya hapa duniani,hakuna iliyozidi “kukata tamaa”.

Ujumbe kama huo hapo juu ndio uliomo katika wimbo mpya kutoka kwa Flora Mbasha. Ni wimbo wa ki-injili lakini ambao hauhitaji dini yeyote ili kupata ujumbe halisi uliomo.Wimbo unaitwa Usife Moyo. Karibu.

Audio clip: Adobe Flash Player (version 9 or above) is required to play this audio clip. Download the latest version here. You also need to have JavaScript enabled in your browser.

Feedback / Comments

13 Responses to ““USIFE MOYO”-FLORA MBASHA”

  1. Comment by marknigga salamba on July 31st, 2009 2:32 pm

    usife moyo bi MBISHI.maana maisha ni ubishi na mapambano.eh bi MBISHI.unaimba vizuri,wasaidie watu na maneno yako.yana UPENZI.mie si mbishi wa maisha,bali ni MBABE.makinigga

  2. Comment by marknigga salamba on July 31st, 2009 2:34 pm

    maisha ni ubishi na mapambano,kutoka kumani mpaka tufe,makinigga

  3. Comment by marknigga salamba on July 31st, 2009 2:37 pm

    maisha sumu,dawa UNAYO,uyazingatie,uiige,uyachague,na kuyapekuwa,kama vile kidole chapekua chawa.leza ankome.kifipa mungu aniafu.mark naaaiga

  4. Comment by marknigga salamba on July 31st, 2009 2:41 pm

    MAISHA LI ISHA,najaribu kutafasiri kia arabu.MAISHA LAZIMA UUISHI,kama wewe masikini,kiwete,kiziwi,mgono,mshenzi,msomi,mjinga,chizi,mmzuri,mnene,mwembamba mradi na kadhalika.markinniga

  5. Comment by marknigga salamba on July 31st, 2009 2:42 pm

    maisha tuishi sote na tofauti zote.markiniiga

  6. Comment by marknigga salamba on July 31st, 2009 2:43 pm

    maisha ni dhuluma,mbona mie masikini na wewe una pesa.makiniigga

  7. Comment by marknigga salamba on July 31st, 2009 2:45 pm

    MAISHA SUMU YAKE NI KIFO.je umeishii?pagumu hapo.makiniiga

  8. Comment by mr degree on August 3rd, 2009 3:43 am

    teh! teh! marknigga bwana!

  9. Comment by halima on August 3rd, 2009 10:53 am

    ovyoooooooooo sijui makiniga pumba tupu

  10. Comment by pw on August 4th, 2009 9:30 pm

    makiniiga mbona unachemka hivyo maoni yote wewe mwenyewe halafu chamaana unacho ongea hakuna

  11. Comment by Mwitu on August 11th, 2009 8:52 am

    Vipi? Unachuki binafsi na mwimbaji? Kujiaibi
    sha hapa haitakusaidia. Unaonekana zuzu fulani hivi.

  12. Comment by Mwitu on August 11th, 2009 8:52 am

    Get a lif man ….

  13. Comment by evance etemesi on July 8th, 2011 2:23 pm

    am really touched with your songs they have great inspiring words, and the dance that i cant wait to dance to it….. Keep up the work I know am not the first to say this but its the first time to admit of a great singer…. Mungu na akupe ufunuo zaidi na zaidi ubarikiwe hadi ushangae…..

Leave a Reply