KANUMBA KTK BBA

Majuzi Steven Kanumba alikuwa miongoni mwa “celebrities” wa Africa walioalikwa katika jumba la Big Brother ili kuwakaribisha “housemates” katika shindano maarufu la Big Brother Africa ambalo linaendelea hivi sasa huko nchini Afrika Kusini.

Baada ya hapo kumezuka mjadala mkubwa kuhusu masuala ya lugha.Bonyeza hapa ili kuona mjadala huo.Wengine wanasema Kanumba “katutia aibu” kwa sababu hakuongea kiingereza kilichonyooka!

Kwa faida ya wale ambao hamkuweza kuona na kusikia japo kipande kidogo tu alichokisema Steven Kanumba huko BBA,tizama hapa chini.Nini maoni yako kuhusu mjadala huu?Je kutokuongea kiingereza kilichonyooka ni “kuitia nchi” aibu?

Hapa “celebrities” walikuwa wakitoa utabiri wao kuhusu nani wanadhani atashinda dollar za mwaka huu.

 1. katabazi, 13 September, 2009

  nyie watanzania acheni hizo,kwa nini mnamnan’ga kanumba wetu,kwa nini mnakibeza kuongea broken siyo issue,ishu ni kueleweka alichokuwa anakizungumzia,
  siyo fresh hivyo acheni majungu kwa staili hiyo hatutaweza fika popote

  kwani kwenda shule ni kujua kiingereza???????
  dont be so stupid guys!!

 2. katina, 14 September, 2009

  hao wanaomtetea kanumba ni wajinga na wanaolaumu serikali ni wapumbavu mimi nimesoma shule za kawaida alizosoma kanumba na naongea kiingereza japo si sana .mkubali msikubali kwa level aliyofika kanumba lugha ni muhimu if at all he want to succeded kama angekuwa hatoki katika mipaka ya nchi sawa mbona wazungu wakija wanajifunza kiswahili ili waweze kuwasiliana vema tatizo watanzania hatupendi kujifunza.kanumba should learn better english ili aweze kuuza kazi hata nje kuliko kukariri kama afanyavyo sasa

 3. Flora, 14 September, 2009

  Kanumba Oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeh!

  Let people talk. It’s normal either you are good or bad at something people will always talk that is human being nature. Continue shining like a star and stay focused bro

  God bless You!

 4. halima, 14 September, 2009

  SIJAONA CHA AJABU HAPO KWANI WATU WAMEELEWA SANA ALICHOKUWA ANAONGEA SASA MLITAKAJE?

  KAMA MNAJUA HIKO KINGEREZA MNGETOA HIZO COMMENT ZENU KWA HIYO LUGHA, MNAMKOSOA MTU WAKATI NA NYIE MAIMUNA,

  ETI KAWATIA AIBU MNAIJUA AIBU NYIE? OVYOOOO KUJISHAUA TU HAPA MNGEENDA NYIE BAC

  NASIKIA KICHEFU CHEFU

 5. MUhogo mchungu, 14 September, 2009

  Kwa hili dada Flora tupo wote, nami namtetea Kanumba,maana malimbukeni na hasa hasa watanzania wengi wanafikiri kumaster kiingereza ndiyo elimu hapana au lazima kila mtu aseme kiingereza vizuri, mbona wazungu wanaongea kiswahili broken yaani kiswahili kibaya,
  Kwanza wachangia wengi wa hapo juu washamba na malimbukeni wa kiingereza, mimi binafsi sikuona kitu ambacho kanumba kakosea wala hata watu wenye akili popote dunia hawajashangaa, ni ufinyu wa mawazo watu kushambia lugha ya kiingereza

  mimi nimekutana na wachina kibao ambao ni madiplomat na wengine maprofessors wa vyuo vikuu vya china lakini kwenye international forum wanaongea kiingereza chao kibovu hakuna anayecheka

  Wabongo acheni ushamba kwa mazingira ya Kanumba alikuwa sahihi

 6. lieve, 15 September, 2009

  kanumba umejitahidi ila unahitaji kujiendeleza english kimtindo ili siku ukichaguliwa tena uwafunike na kuwafunga midomo hao wanaochonga juu yako.otherwise umejitahidi kiukweli. but ndo hivyo tena si unajua ukitaka kujua zaidi ni lazima ukosolewe?? na pale ulipokesea ni lazima urekebishwe ili ujirekebishe au siyo wakwetu.kama vipi nakupa big up!!!!!!!!’
  uko juu kimtindo nakupa moyo bro

 7. miram3, 16 September, 2009

  Hivi niwaulize, Wachina, Warusi au Wajapani, au hata Wajerumani ambao wengi wao huongea lugha zao, hawajasoma kwasababu wengi wao hawajui Kiingereza. Au kwanini hatuwacheki wazungu ambao hawajui Kiswahili!
  Lugha yetu ni Kiswahili, na Kiingereza ni lugha kama yetu, kwahiyo kuingiwa na kigugumizi kukiongea ni sawa na mzungu anapobabaika kuongea Kiswahili.
  Watanzania sisi tunapenda sana kutafuta upenyo wa kuonekana kuwa ni zaidi, na lugha ya kiingereza inatumika sana kuonyesha kuwa mtu kasoma. Ili uonekane umesoma Tanzania ni ujue Kiingereza, hata kama masomo mengine umepiga zero.
  Baya zaidi tunadharau hata lugha yetu wenyewe, badala ya kuipigia debe ieleweke kimataifa tunaidharau na kuikashifu. Ni lini na sisi tutakuwa na kitu chetu kitakachojulikana kimataifa? Hata lugha inaonekana kiroja.
  Hili linafanyika ndani ya Afrika, na wanaodharau lugha zao ni waafrika, hasa Watanzania ambao duniani kote wanajulikana kama Waswahili. Kwanini kweye jengo kama hilo kusingewekwa mitandao ya kutafsiri lugha zote muhimu za Afrika na hapo ikawa ni njia mojawapo ya kuzitangaza lugha zutu? Hatuoni kuwa hapo tunawatangazia wenzetu utamaduni wao wa Lugha!
  Ama kweli ukasumba hauna dawa

 8. kweliman, 17 September, 2009

  Folks , i think in this day and age it would be great to be realistic with issues.To suggest that there was no issue with Kanumba,(especially if you went through the clips)really that alone tells me we have got tons of issues here to deal with . Personally i think that is nothing but being naive.
  Kanumba’s bombshell goes without saying.No argument that his language performance kills in that event went from mediocre to naive and so erratic .Kanumba is my celebrity and there no doubt when it comes down to acting Knumba is way off the hook.He is extremely gifted,It would be unfair not to give him his due complements .I would always admire his natural talent and am so proud of his work.Ofcourse i also recognise that whatever it is that hes been doing is not all that.He’s got some serious learning to do so he can get off “A LA NOLLYWOOD” hook .I wish i had more time to discuss bout NOLLYWOOD AND HOW IT RUINS UPCOMING TALENTS IN TANZANIA” Am afraid this would get me off the point i was trying to get accross.
  Kanumba this one is for you, my brother.Your English performance on that event was a disaster,in my opinion.Kanumba,am all for you since way back in the 90’s and am continuing to support you.But to tell you the truth i was,just like many other fans too,caught a little offguard and shocked with your English skills.Ofcourse am not suggesting that English skills is averything for that matter.Kanumba it would be better to recognise that there is a clear line that’s seperating ACCENT from POOR ENGLISH.Speaking with AMERICAN ACCENT is onething and the actual ability to speak ENGLISH as a LANGUAGE is another.I personally and certainly believe that folks were blasting you with a firestorm of criticism and anything that could ever come out of there mouths beacause of your poor english skills and certainly not beacuse of accent.Does it matter? .To them i would say guarantee.That goes without saying,especially if you read along their lines.Personally, i would say it depends.
  Kanumba whatever went down on you in that house,it would be reckless of you to ignore the overwelming reaction of your fans.It does not always has to go your favourite way or flattering ,especially if it came from your fans.Understand that we all love you,we are proud of your work but some of us obviously would express this from a diffrent perspective.But certainly it all comes down to the fact that we like you.
  Weather there is a serious issue here to spark this size of a backlash,it depends on the individuals.However to deny that your English performance in the house was not a nightmare,i certainly belive that,that alone is an issue.And this goes to all folks who have watched you in the clips and apparently, they saw nothing but a flawless performance wothy of your fans’praises.
  In my opinion, whatever went down on you that night would not take away my sleep.Its OK to make mistakes ,not a big issue under normal circumstatnces.My issue here is that hundreds of reactions to your drama is so overwelming and that ,in my opinion should be enough to tell you something.Dont tell me that with literally floods of criticism like that ,in their hundreds virtually from all corners ,that there is no issue with your performance.Dont ever suggest that knolwledge of English (atleast spoken)does not matter.Personally i would say with capital letters after watching the clips ,folks may say whatever hipocricy they please ,but to me its official.You gotta learn the language.For a celebrity of your calibre, functional english skills would be an asset especially if you are dreaming of going global down the road.
  Some folks went to the point of suggesting that to cricise kanumba shows lack of patriotism,personal hatred,jealousy etc .Personally i would advice Kanumba not to pay the tiniest attention to this crap.Period.Why? Because criticism does not necessarily come from jealousy or lack of patriotism.There is absolute a clear line between the two. To me folks who would not criticise an erratic behavior for fear of affending somebody definately should not be spared a room in any meaningful endevour.
  These are the ppl who have brought Tanzania to rock bottom.When are we going to learn to be sincere in our opinions when it comes to dealing with interpersonal issues? most importatnt issues that affect our life regardless of the degree of significance .Am talking about INCENCERE COMPLENTS especially when our stars ,athletes,politicians etc are involved
  It would be constractive always to provide sincere complements or opinions if you will.The stakes are obvious.The era of zipping up your lips while erratic behavior/issues are spinning out of control is happening under the watch is over.Fear of offending or hurting somebody, to this effect is a crap and shold be totally irrelevant .Why? It’s the stakes and the cost that matter.When it comes to incencere complents Tanzanians are way over the top.This has continued to happen repeatedly over decades to the point where it has virtually become part of our culture.In my opinion this behavior has contributed greatly to ruining the performance of our stars/reps in the global affairs.Now Kanumba’s issue would fit perfectly into this.Kanumba yours in not a perfect storm yet.you are so used to heavy showers of incencere complements or atleast whatever praises folks smeared on you have always been one sided.This time around,your moment of truth has come to bite you.Guess its all for a good reason though.please understand that we all love you and that we are so proud that you are shining our star wherever you go always .However flaws are inevitable down the road.Whenever issues happen,understand that is not the end of the world.Do not throw in the towel yet.Atleast not quite yet,you have got tones of potentials for yourself and those of the whole film industry.Shake the dust off yourself .Now the storm is over get yourself off the debris and move ahead to continue the battle
  Your our star and we love your talent and you as a person that’s why we would not remain mum to anything that would stain your god given gift cause we care bout it.I would ask you to learn not to be naive and its not too late to learn how to look at issues from a diffrent perpective too.Whatever went down on you was a moment truth.Learn to live and deal with it.Incencere complements would ruin your career.
  Kweliman

 9. lunnae, 17 September, 2009

  huyo nae si ajichimbie akasome kizungu aache ubishoo ataumbuka,yeye ni msanii mkubwa sa hv anaweza kwenda kawakilisha sehemu yoyote afkirie hilo

 10. chogi master, 17 September, 2009

  chogi kanumba chogi zako ziiishie uswahilini ila umejitahidi kidogo ingawaje unang’atwa si ungejichimbia halafu ukatosa kwenda punga weeee!!!!!!!!!

 11. master mind, 17 September, 2009

  aaaaaaahhhhhhhhhhh bomba sana mwana

 12. desymwin, 18 September, 2009

  Wabongo acheni ushamba wa kumsakama mwezenu lugha sio yetu, anapaswa atiwe moyo sio kumkandia. Chamsingi Kanumba nenda kajifunze tu.

 13. grace makene, 18 September, 2009

  big up Kanumba umejitahidi, lakini nenda english course kaka ili uweze kusonga mbele.

 14. ajeje(Raiya), 19 September, 2009

  Usife moyo kaka,kukosolewa ndio kujifunza cha kufanya tu sasa nenda English course ukajipige msasa ukitoka hapo unaweza kuingia popote pale bila mizengwe.

 15. maochieng, 21 September, 2009

  hi watanzania msije mkajilinganisha na wajapan,wajeruman,wachina,warusi kwa kufanikiwa kwa lugha zao! sie ni watawaliwa maskini ambao hatuna technolojia yoyote ya maendeleo zaidi ya kupaa na Ungo. wenzetu wanatumia lugha zao wameweza hata kutoka nje ya dunia. kiingereza ni muhimu kwetu tuweze kupata techno-logy ya karne ya 21. ni vema tukajitahidi kujifunza english kwa ufasaha ili tuweze kutoka. sisi kila siku tunajilazimisha kwamba kiswahili ndio dili tuu lugha zingine hazina mpango. Amkeni wabongo wenzangu utandawazi ni kuiga na kuingiliana kwenye nyanja zote za kiutamaduni ikiwepo lugha. Wenzetu wakenya na Waganda, Rwanda hawana mchezo, english kwao inawatoa kwenye anga za kimataifa, na hujitahidi sana kujifunza Kiswahili kama lugha yao ya pili.Waangalie kwenye Tusker Project Fame utachoka wanavyoweza kujiwakilisha kwa lugha zote mbili! waalike kwenye matamasha halafu waambie watoe mada ahaa utachoka kwani wao sio waafrika? sisi wabongo lugha yetu pili english mbona hatujitahidi kuiweza? tujitahidi kujisomea vitabu jamani tuelimike. tusiboronge kutohoa misamiati ya kisayansi ambayo haileweki kwa kiswahili rahisi.kama unataka jaribu kusoma sayansi ya elimu ya msingi kama hujatoka kapa. nakumbuka mkutano wa Sulivan vijana wetu wa sekondari walijitahidi sana kuongea kiingereza ili wafikishe kilio chao cha elimu mbovu walisema
  “WE DONT HAVE ‘APETITE’ TO STUDY BECAUSE NOWHERE TO SEE SCIENCE EXPERIMENT” tukimrejea Kanumba tunaweza kuona ni zao la kizazi kipya ambacho kwao kujisomea ni kama simba kulazimishwa kula majani. Kanumba ni Supastaa ambaye atatutoa Bongo kimataifa. Jamani English ina ugumu gani kujifunza? Kanumba watu wanakuambia ukweli elimu haina mwisho jiendeleze mwanangu kozi ya english pale British Council siyo ghali waweza kujilipia acha kubweteka na sifa za kibongo. tamani kuwa kama wale MC’s wa Tusker Project fame na Majaji wao.Si nao ni watu wa Afrika Mashariki?

 16. chapombe, 21 September, 2009

  wabongo na kizungu kaaazi kwelikweli,nakwambia nilkaa na mtu mmoja akapita msichana mrembo,akaona ampe sifa zake,akamwambia”you have beautiful milk”,yaani hapo ndio amemsifia ana matiti mazuri.mi nikikumbuka mpaka kesho nacheka peke yangu.hiyo ni sawa na kanumba,kusema “i am closing”,mi ningekuwepo nisingevumilia kucheka

 17. benne, 22 September, 2009

  Mnaomsuta Kanumba fanyeni yenu, tuyaone, tupendezwe nayo kisha tuige mfano. Mkishajua kuongea kizungu baaaaaasi mmemaliza. Kujua kwenu kumewafikisha wapi au mko majumbani mnaangalia TV za baba zenu halafu mnajishaua tu. Shame upon you!!!!!
  Kama Kanumba unaona lugha inakufaa ili kuongeza kipato chako, isome; haingezi kipato achana nayo. Kwani tunafanya vitu kwa manufaa tena ya kifedha na si vinginevyo. Unaweza kuwa na lugha mia lakini kama mlo wa siku unakupiga chenga bado siyo issue. Nakutia moyo achana nao filamu zako ni bomba kwa soko la ndani hakuna anayebisha.Piga kazi mzee kwani wote uliokuwa nao walikuelewa vizuri kabisa.

 18. mammy, 26 September, 2009

  jamani kama kakosea lazima aambiwe nyie hapo juu mnatetea upumbavu huo aloufanya kanumba!!!! startin with u mnajifanya english is nothing wakati wenyewe mna argue kwa lugha hiyo..sasa nyie ndo wachoyo wa maendeleo..mhimu si kumkejeli ila kumpa direction nini afanye na si kupoteza mda kusafisha…this country bwana eti wasanii nao wanajipanga kuandamana eti kisa kanumba kaambiwa hajui kiingereza sasa hapo mnamsafisha au mnazidi kumdhalilisha mwenenu…
  kwa kufika BBA hongera ila next tym kanumba ukumbuke kuwa kula mashindano yanavigezo sio kuvamia tu

 19. FM, 27 September, 2009

  Watanzania tuache ushamba, kiingereza sio lugha yetu. kumbuka kuna wasanii wengi wa kimataifa hawajui kiingereza, mfano Miss China alishinda Miss World kwa kuongea kichina na kutafsiriwa. Huyu dogo kanumba hana hela ya kumlipa mkalimani, aliongea mwenyewe na message was sent. Sasa mnalalamika nini. English ni lugha kama lugha zingine, na kuijua si lazima uwe msomi. kama Kiingereza kinaonyesha usomi ina maana watoto wa kiingereza ambao wanaongea bila hata ya kwenda shule ni wasomi kuliko Rais wa China au Urusi ambao hawajui hata tone moja la kiingereza lakini ni marais katika mataifa yenye nguvu.
  BRAZO KANUMBA, biashara umefanya hata kama lugha inaonekana ni tatizo.

 20. Popeye, 28 September, 2009

  Kumsimanga Kanumba na kiingereza alichoongea ni ufinyu wa mawazo. mbona participants wengine hawajui kiingereza ( Kristal etc). Umuhimu uko kwenye mada anazoongea. Mbona Latoya alikuwa anaongea viingereza pumba tupu! English is my forth language(after my father, mother tongue and swahili), muhimu awe nondo tu! Nawakilisha

 21. vanessa, 06 October, 2009

  hey guys cyo vizuri kuanza kumlaumu kanumba w
  hata hivyo amejitahidi sana coz english is not our first language na ameongea kulingana na uwezo wake alichaguliwa kwenda coz walijua anauwezo wa kuiwakilisha nchi .

 22. isaac, 14 November, 2009

  Mr.Kanumba did a lot to present us there,only means we can do is to encourage him!People are commenting that his English was poor but his friend were able to understand him,so what is wrong then?So come on gentlemen and ladies we have got a wonderful guys to present us!!!!Coming to Elezabeth what she did is amazing and dis is the lesson to all ladies that you need to be committed creating ur good personality,just be the mirror for others!!Tchaoooo!!!!Live as if this is ur last day!!!GREAT

 23. johnson, 09 January, 2010

  kiswaz si kibongo? na kanumba si mbongo?mbona poa tu si anatangaza lugha yetu?asil haifichiki…

 24. Halima, 22 March, 2010

  Wewe unayesema Kanumba hajui kimombo tunaomba siku moja ujitambulishe kwa kiingereza kisha tuone unachokijua! ushamba unakusumbua,wakati wajua kuwa Kanumba si Mzungu!Kwa elimu yetu ya Tanzania ulitegemea aongee vipi?

 25. moses ryakitimbo, 11 May, 2010

  kanumba is good no matter what! the main thing he tried his best!!!

 26. Eva Andrew, 15 June, 2011

  hongera sana kanumba, hawa wanaodai kuwa umewatia aibu wajiiiiiiiiiinga tu hawana lolote, umetusuuzisha jina mwayego…..wanaosema umewatia aibu walikununulia hata handcachief?????????? wenyewe pengine hawjui hata kuomba maji,washaaamba tu hao,,,sie tumezaliwa kwenye kiswahili so wangekuambia uongee kiswahili ungefanya vizuri zaid, big up saaaaaaaaaaaaaanaaaaaaaaaaa kanumba

 27. naima, 22 January, 2012

  hongera kanumba, hata hivyo umejitahidi saana maana huyo cyo lugha yako na wala hupoaswi kulaumiwa kama watu wanavyo kulaumu au kukudharau,kwa ufupi hawajui maana. wangekuwa wakiangalia news za ulimwengu au baadhi ya program za nchi za nje wasingesema wasemayo,lazima mtu ujivunie uraia wako bwana,na km watakuwa wakiangalia miss world na mikutano ya kimataifa wangepata jawapo,ni marais wengi huzungumza kwa lugha zao na kuwekwa watu wakutafsir na hivyo hivyo kwenye miss world ss kipi cha kumsema?

 28. Ire, 10 March, 2012

  Mi nasema kwa level yake ya elimu na alivyojieleza japo sikupata clips zote nahisi kajitahidi,japo si busara kutoa pongezi na kuanza kuwashutumu wanao mkosoa,nina imani kma watanzania na wanaompenda wangefurahi km angekuwa fluent na pengine kwa kuangalia mbele zaidi hizi fursa zinaweza kuendelea kutokea hivyo haina budi kuchukulia haya maoni km changamoto na kufanya jitihada za kusahihisha hayo mapunguvu yaliyotokea.Nasita kumpongeza,pia siwalaumu wanaombeza,maana naamini wanamtakia mema,I may say that they are giving him a negative reinforcement so that he may improve his English.

 29. safiel, 25 May, 2012

  kanumba ungekuwa hai ningekuambia umfunge m2 kama fundisho kwa wengine wenye nia ya kukulate dawn

Copyright © Bongo Celebrity