mpakanjia

Habari ambazo zimeingia punde na pia kupitia vyanzo mbalimbali vya habari vinapasha kwamba mfanyabiashara maarufu wa jijini Dar-es-salaam,Mohamed Mpankanjia maarufu kama Medi Mpakanjia, amefariki dunia hapo jana katika hospitali ya jeshi ya Lugalo jijini Dar-es-salaam.

Mohamed Mpakanjia alikuwa mume wa Marehemu Amina Chifupa,Mbunge kijana aliyefariki dunia miaka takribani miwili iliyopita katika mazingira ambayo yalikuwa ya kutatanisha.

Habari hii inaendelea na hivyo tutaendelea kukupasha kadri zinavyozidi kuingia.

Feedback / Comments

43 Responses to “MPAKANJIA AFARIKI DUNIA!”

  1. Comment by Shaloo on September 14th, 2009 12:03 pm

    Whaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaat what happened??? OOh my my huu mwaka!!!!

  2. Comment by mwaipopo on September 14th, 2009 12:14 pm

    mapumziko ya millele umpe e Bwana, na mwanga wa milele umwangazie

  3. Comment by MCHAFUKOGE on September 14th, 2009 2:19 pm

    Innalillahi wainna ilahii rajiuun

  4. Comment by Benny wissa on September 14th, 2009 3:46 pm

    Mungu ailaze roho ya marehemu mahala pema peponi,amen

  5. Comment by sam on September 14th, 2009 4:41 pm

    mungu ailaze roho yake mahali pema peponi na pia amsamee makosa yake katika mwezi huu mtukufu wa ramadhani AMEN

  6. Comment by lizy on September 15th, 2009 12:27 am

    Poleni wafiwa wote kwa msiba mkubwa huu katika mwezi mtukufu wa Ramadhan, tujue ya kwamba Mungu alimpenda zaidi hata akaamua kumchukua mpendwa wenu. TUMUWEKE KATIKA MAOMBI AKALALE MAHALA PEMA PEPONI, AMEN.

  7. Comment by msukuma on September 15th, 2009 1:22 am

    Hakika sisi wote ni wa mwenyezi mungu na kwake tutarejea (Innalillah wa inaillaihirajiuun)

  8. Comment by Mainda M on September 15th, 2009 2:27 am

    Mwenyezi Mungu amlaze mahali pema peponi, nasi tusijisahau kwani kila nafsi ni lazima itaonja mauti. Mbela yake nyuma yetu.

  9. Comment by comment on September 15th, 2009 2:39 am

    mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema amina

  10. Comment by venus on September 15th, 2009 2:50 am

    Jamani poleni sana ndugu wa marehemu Meddy. Ni habari za kusitikitisha sana. Hata hivyo, sisi tunampenda lakini mungu amempenda zaidi. Jamani mtoto wao amekuwa yatima yaani inauma sana lakini yote ni ya mola ndiye mwenye maamuzi yote hayo. Mungu ailaze mahala pema peponi na akapumzike kwa amani. Sasa nae kwa nini alioa hiyo juzi wakati hali yake ilikuwa sio nzuri lakini hatumlalumu wala ni maamuzi yake.

  11. Comment by lily on September 15th, 2009 3:59 am

    BWANA AMETOA BWANA AMETWAA JINA LA BWANA LIHIMIDIWE,

    Kilio changu ni kwa yule mtoto maskini alivyo mdogo inaniuma sana.

    Mungu ampe nguvu na ujasiri katika maisha yake yote ameen

  12. Comment by KABANGE on September 15th, 2009 4:09 am

    WOTE SISI NI WA MUNGU NA KWAKE TUTAREJEA

  13. Comment by gina on September 15th, 2009 4:46 am

    Bwana alitoa na Bwana ametwaa, Jina la Bwana Libarikiwe!

  14. Comment by happiness on September 15th, 2009 5:18 am

    Oooohhhhhhhhhh my God! Ok hakuna jinsi zaidi ya kuamini kilichotokea.
    Mungu ailaze roho ya marehemu mahala pema peponi,Amen

  15. Comment by Simon Kitururu on September 15th, 2009 6:09 am

    R.I.P!

  16. Comment by shasta on September 15th, 2009 6:16 am

    this is a shock!pole to friends n family

  17. Comment by no name on September 15th, 2009 6:22 am

    ee mola muweke mahali pema panapomstahili

  18. Comment by salome on September 15th, 2009 6:31 am

    who is he?

  19. Comment by farida on September 15th, 2009 7:01 am

    bwana ametona na bwana ametwaa jina lake libarikiwe

  20. Comment by tt on September 15th, 2009 8:20 am

    unbeliverble???? mungu amjlie pumziko la milele AMINA.

  21. Comment by katabazi on September 15th, 2009 8:31 am

    mungu aiweke roho ya marehemu MPAKANJIA mahali pema peponi

    AMENI

  22. Comment by hotgal on September 15th, 2009 8:53 am

    duniani sisi niwasafiri jamani hapatunapita tu ,inauma sana nikimfikilia mtoto wao sasa amekuwa yatima ,ila naimani mungu atamlinda na kila jambo mbele zamungu uwaanalipanga yeye ,kwaiyo ayonimaisha aliyompangia mtoto.

  23. Comment by arista on September 15th, 2009 9:18 am

    R.I.P bruh!!!!!!

  24. Comment by tikotiko on September 15th, 2009 9:56 am

    duh maisha ndiyo yalivyo,mungu apumzishe roho yako peponi AMIN

  25. Comment by mama tina on September 15th, 2009 10:01 am

    its so sad for that little boy and lets pray for him to grow strong bado alikuwa anaitaji mapenzi ya mama na baba lakini yote ni mungu hamepanga nawapa pole sana familia ya marehemu mungu atawapa nguvu DUNIA TUNAPITA SOTE TUNAELEKEA HUKO YEYE AMETANGULIA MUNGU IWEKE ROHO YAKE MAHALI PEMA PEPONI AMENI

  26. Comment by lily on September 15th, 2009 10:12 am

    napenda kutoa pole kwa ndugu jamaa na marafiki wa karibu na familia ya marehemu

  27. Comment by lilian Japhet Kombe on September 15th, 2009 10:17 am

    Mungu ailaze mahala pema peponi. Amina. NENO LASEMA ULIUMBWA UDONGO NAWE UTARUDI MAVUMBINI, ULIUMBWA MAJIVU NAWE UTARUDI KUWA MAVUMBI. WALIMPENDA ZAIDI ILA MUNGU KAMPENDA ZAIDI. NA SI TULIOBAKI TUJIANDAE KWA SAFARI YETU YA KUELEKEA MBINGUNI NJIA NI MOJA. AMINA.

  28. Comment by hombiz on September 16th, 2009 1:46 am

    MOA ALITOA, MOLA AMETWAA. APUMZIKE KWA AMANI, AMINA.

  29. Comment by amedeus on September 16th, 2009 3:19 am

    RIP

  30. Comment by sally on September 16th, 2009 6:52 am

    R.I.P Medy

  31. Comment by sauli on September 16th, 2009 12:24 pm

    sisi wote ni waja na njia hiyo hiyo tutarejea kwa mola wetu kwa njia hiyohiyo, mungu akulaze pema peponi.

  32. Comment by Jumsa on September 16th, 2009 2:17 pm

    Itz real sad but we have to accept! Inna allah waina illah rajun

  33. Comment by Esther Emilian on September 17th, 2009 2:06 am

    jamani mungu ailaze roho yake mahali pema peponi bwana ametoa na bwana ametwaa jina la bwana libarikiwe

  34. Comment by Munira on September 17th, 2009 3:07 am

    mmh kifo ni kifo tulikupenda lakin mmh wewe ulimtaka rafiki yangu tena sawa na mwanao ukatubu huko kama kuna kutubu.

  35. Comment by mpwa on September 17th, 2009 5:25 am

    R.I.P

  36. Comment by f on September 17th, 2009 3:01 pm

    innalilah wainna illah lajiunn,ewe mola umsamehe kiumbe wako na umrehemu,amini

  37. Comment by Msonde on September 18th, 2009 6:14 am

    Poleni sana ndugu wa Mpakanjia kwanimmepoteza kiungo muhimu kweni Mungu amempenda zaidi jina la Bwana lihimidiwe

  38. Comment by chapombe on September 21st, 2009 5:37 am

    alikuwa anaumwa nini?

  39. Comment by SS on September 22nd, 2009 5:25 am

    Chapombe Tz watu hawaulizi hilo swali sawa? Wewe umeona mtu kauliza hilo swali..meaning kila mtu anajua but people dont talk about it..

  40. Comment by tinah@yahoo.com on September 22nd, 2009 5:46 pm

    poleni sana familia ya mpakanjia sisi sote tulimpenhda.lakini mungu alimpenda zaidi.mungu ailaze roho yake mahali pema peponi amina

  41. Comment by chapombe on September 23rd, 2009 5:14 am

    sasa wewe SS inamaana huyu mpakanjiwa unasema alikuwa na miwaya?

  42. Comment by feruz kara on September 23rd, 2009 6:00 am

    poleni sana.bwana ametwaaa.

  43. Comment by rasto on September 23rd, 2009 7:55 am

    pole sana kwa familia,japo hatufahamu chanzo cha kifo chake

Leave a Reply