elizabeth_graf_lg

Yawezekana kabisa ukawa hufuatilii sana show ya Big Brother Africa ambapo watu fulani,wasichana kwa wavulana,huchaguliwa na kwenda kuishi ndani ya jumba moja(Big Brother House) kwa siku zisizopungua 90 huku kila kitu wanachokifanya ndani ya jumba hilo kikifuatiliwa,kurekodiwa na kuonekana kwa kila mwenye nia ya kuona kinachoendelea.

Sababu za kutofuatilia zinaweza kuwa nyingi.Unaweza kuwa huna muda.Unaweza kuwa huoni maana au mantiki ya kuketi mbele ya runinga yako na kutazama watu wengine huku ukitambua kwamba wanachokifanya pale ni kama mchezo wa kuigiza kitu ambacho hakibebi uhalisia.Mimi naamini kwamba wanapoanza ile show huwa wanaigiza.Lakini kadri mtu anavyozidi kukaa katika jumba lile,tabia au hulka yake ya kweli huibuka.Siamini kwamba mtu anaweza kuwa “fake” kwa siku zaidi ya 60!

Sababu za kuangalia pia zipo.Unajifunza mawili matatu.Unajifunza jinsi ya kuishi na watu,kuwasiliana na watu na pengine jinsi ambavyo mtu anaweza kunuia kufikisha ujumbe fulani kwa mwenzake au kwa jamii lakini akashindwa kueleweka au kutimiza lengo lake kutokana tu na uchaguzi mbovu wa maneno.Ukiiangalia show ile,unaweza pia kuona tofauti za kibinadamu miongoni mwa wanaume na wanawake.Sote tuna mahitaji sawa; kupenda,kupendwa,kuthaminiwa,kuheshimiwa nk lakini tuna njia tofauti tofauti za kufikia malengo yetu.

Lakini pia unaweza kujifunza kwamba unapomuona mtu kwa nje,usiwe mwepesi wa kudhani kwamba unamjua na unaelewa kila kitu alichopitia au anachopitia maishani mwake.Hili ndilo nililoliona baada ya kusikiliza ujumbe kutoka kwa binti anayeiwakilisha Tanzania(Elizabeth) katika show hiyo baada ya kutumiwa kipande cha video na msomaji mmoja wa BC.

Kwa wengi,Elizabeth ni binti mrembo mwenye kila nia ya kuendeleza sanaa ya urembo na uanamitindo.Utakumbuka kwamba aliwahi kuwania taji la Miss Tanzania bila mafanikio.Lakini je mambo ni safi au tambarare siku zote kwa Elizabeth? Anapitia au amepitia maswahibu gani maishani mwake? Msikilize Elizabeth katika kipande hiki cha video akiongea na wenzake.Bado huna sababu ya kumpigia kura za kubakia “mjengoni” Elizabeth?

Feedback / Comments

26 Responses to “SIKIA OMBI LA MWAKILISHI WETU KATIKA BBA”

  1. Comment by Riziki Romwald on September 19th, 2009 7:12 pm

    I really really like her speech.She spoke of her experience with open heart.More important, the message potrayed behind her history reflects what is happening to most of Tanzanians boys and girls who every day found themselves victims of the injustice system.

    She has goals, she is focused,she is determined but being a minority and disadvantageous, she could not fulfill her dream,the dream to persue further studies.

    She was straight to the point with strong and clear massages,she know who she wanted the message to reach as was clearly reflected on her last piece of her speech “I have to work three jobs inorder to survive, and I just want to tell whatever is looking at me right now (the government) that I really want to go back to school”.

    This was a very strong message to the government and the system as whole. We are not that fool,neither are we incapable to learn (untaught),We are out of school because we can not afford the costly and unfair education payment system.Surprisingly,the system itself have kept blind eyes to our obvious and eminent problem.

    Indeed,we have not only being traumatized by the structured social inequality our country is currently passing through but also turned victims of our difranturized system.

  2. Comment by Rose on September 20th, 2009 12:08 pm

    Hii imenigusa sana, she is a strong young woman, pia imenikumbusha sana kuwa baba ni kiungo muhimu sana kwa watoto wa kike,wa kiume si sana, ila mtoto wa kike anamuhitaji baba yake kuliko mama jinsi anavyozidi kukua, story yake kidogo ni kama yangu baba yangu alimuacha mama yangu nikiwa na miaka 12 na niliishi na watu mbalimbali kwenye familia ni ngumu sana kulelewa na baba wadogo ambao hawana hata chembe ya upendo kwako, kwa hiyo naamini baba yake angekuwepo angeweza kumsupport na kumpa nguvu pengine hata kumsaidia financially katika elimu. Changamoto kwa wababa ambao bado hawajajua hili ni kuwa mtoto wa kike anamuhitaji baba zaidi kwenye maisha yetu ya kila siku kama nguzo yetu kama hayupo duniani sawa lakini kama bado yupo hai tumieni muda mwingi kuwajenga mabinti zenu wanawahitaji sana.

  3. Comment by Christabell on September 20th, 2009 1:22 pm

    Pole sana mdogo wangu Elizabeth Gupta. Mungu mwema Endelea kumtegemea na jibiidishe ktk kazi zako utafanikiwa tu.Elimu haina uzee mdogo wangu. Soma uje umsaidie Mama kulea wadogo zako.

  4. Comment by Riziki Romwald on September 20th, 2009 3:53 pm

    Hi,Tanzanian dont be selfish and self-centered, we always want our friends to be weak,to make mistakes,to fail,to loose confidence.We are extremely proud to see others in trouble,unable to compete.

    THE WAY WE ATTACKED KANUMBA FOR LETING-US DOWN,THE SAME WAYS WE WERE SUPPOSED TO CONGRATULATE AND BE PROUD OF OUR LADY, AT LEAST GIVE CREDITS TO HER EXTRAORDINARY AND SPECTACURAL SPEECH SHE MANAGED TO DELIVER.IT IS VERY EASY TO CONDEM BAD THINGS AND MISTAKES OUR FRIENDS MAKES BUT IT IS EXTREMELY DIFFICULT TO PRAISE THEIR GOOD WORK,THEIR GOOD PERFORMANCE.WHAT KIND OF SILLY BEHAVIOR YOU PEOPLE ARE SHOWING!.

    Just look at the faces of her audiences in that room,Those Ladies were really caught unprepared by her wonderfull and touchy speech,they look stunned,They couldnt believe the fact that the well calculated speech was delivered by just a 22 years old Tanzanian.The country which was left with despair and dissapointment after Kanumba’s SAGA.Her strong speech trully reflect the opposite,the brain of many Tanzanians ladies.

    Dear Tanzanians,we should learn how to give credits were it is due,with the same courage and speed we usually have while shouting and putting blames to other who accidentally makes mistakes.The lady at least managed to clean our faces,she put perfume to our stinking bodies, mouth and brain,the mouth they thought could not speek good english,the brain they though did’t have contents.Come-on men,get up and give five to our beautiful lady!.

    Kanumba was guickly attacked by many within 12 hours.None bothered to credit this brave and courageous lady for about 24 hours now.This is absolutely silly,insane and unacceptable behavior to be strongly condemned by any body who wishes peace, tranguility and a pleasant prospects to prevail in our country.

  5. Comment by hombiz on September 21st, 2009 2:55 am

    Big up Elizabeth!

    Stay strong and fouces.

    I believe everything is gonna be great!

    I know it is so hard growing up without a father!. However, things happen. What you need to do right now is focusing on your future as you do. There is nothing imposible on this planet earth. Your hard work will be rewarded by THE ALMIGHTY.

    However, i do not want to comment on your father`s desicion to leave you. I don`t know weather is what relationship crisis or his bad decision. If he just left you because of his poor decision, then he should be blamed. But if he left you because his reationship with your mother was messed up, then that is another issue.
    I would like to advise people not to blame the father just because Elizabeth cried on TV. Relationships are not easy!

    Both sex can demage and ruin relationship in such a sad outcome. Some females fuel such anger to their male companion, forcing them to make poor decision by abandoning both mother and child. Some males do the same thing too.

    Elizabeth, all i can do right now is wishing you all the best. However, i think people who blame your father needs to stop doing that unless they know exactly what caused him to do that.

  6. Comment by hombiz on September 21st, 2009 3:03 am

    I DON`T KNOW WETHER IT WAS A DEMAGED RELATIONSHIP BETWEEN YOUR PARENTS OR HIS POOR DECISION WHICH MADE HIM LEAVE BOTH YOU.

  7. Comment by chapombe on September 21st, 2009 5:24 am

    mi mwenye nimengalia hii video nimelia,yaani wote hapa tunalia.duh,huyu dada anajua kutumwaga machozi,yaani we acha tu

  8. Comment by ck on September 21st, 2009 5:29 am

    Hii speech imenifanya nidondoshe chozi. She is a very determined lady and I can see she speaks this right from the bottom of her heart. We love you Elizabeth and you have our support all the way. Keep going! People please dont forget to vote for her inapobidi.

  9. Comment by pk on September 21st, 2009 1:59 pm

    Poor girl she looks so sincere and inocent, i trully like her n hope she ‘s gonna breakthrough this.

  10. Comment by Bob Sambeke on September 21st, 2009 2:32 pm

    Hi

    BC!

    Thanx BC for this CLIP! Thus Y Peoplez say “Don’t judge a book by it’s cover”! I learned a lot from her story really touched my heart and i just wanna encourage her don’t give haert,screw up ur courage and god will show you the wonders,Let’s keep our fingers crossed for her!

    It’s Me ur Fan!

  11. Comment by Niiiina on September 21st, 2009 2:37 pm

    wooh Elizabeth!!! I looove your speech!! usually there are ways of getting attention, it looks like you use the sympathy one!! Trust me it touches all of us. Ntakupigia kura dada!!! you deserve to be there!! proud of you and keep up..

  12. Comment by farid mayanja on September 21st, 2009 4:25 pm

    u really touched me,n u really made me cry i was so touched by ur speech,im with u my sister,sorry for what happened,the best thing n more importantely is to get that money so that u can help ur mother n sisters n even go back to school”GOD IS WACTHING U” i will be voting for u.good luck

  13. Comment by Geoffrey on September 21st, 2009 7:05 pm

    Elizabeth, you truly represent us well there, I am grateful and proud of you, I have all the faith you will come on top.

    Well, sorry to hear about your father. Its your personally family affair and I cant get into it. But I am also a father of 2 and no matter what I will never leave my children to suffer. When one father’s a child he has a responsibility to look after them, because if he doesn’t if end up hurting many like yourself. Well, God will reward you, and wherever you father is am sure he got the message, and your message is very simply but is very strong, and am sure your father is having sleepless nights after there.

    “No father should abandon his children no matter what”, what the point of bringing children to the world and let them suffer!!!

    Wish you the best and I personally support and vote for you because it is you who also represent me and our Tanzania nation.

  14. Comment by Woden Isaya on September 21st, 2009 7:30 pm

    Wewe hombiz hapo juu nadhani comment yako ni irrelevant au unataka kujustify mambo fulani, issue whether ni relationship crisis au la huachi mtoto kwa kisingizio cha mama yake yeye hana hatia, hata kama utakuwa mbali na mama yake lakini a real man takes care of his kids,utafanya kila uwezalo kumlea mtot wako kwa hiyo hata kama utamuambia eti asimlaumu baba yake kwa kutokuwepo hiyo bado si kigezo kwanini usimpeleke shule binti yako eti kwasababu ya relationship crisis, hapo ndipo mnapokosea, take care of your business first tuache visingizio!!

  15. Comment by Flora on September 22nd, 2009 10:31 am

    It’s so sad really. Children are innocent both parents should be fully responsible for their children if their relationships never materialize and reach at the point of separation if they have children should look the way forward on how to support and protect them. Let the separation of the two people acted loving one another should not be the punishment child. That should be settled and given first priorities with no ? about who will stay with a child and including the support by both parents social and financially.

    Let not be an excuse abandoning your own child because of two couple misunderstanding one another. One things to remember the child/kids never asked you to bring them into this world when different sex I mean female and male enter into relationship either by marriage or not and engage themselves into sex activities without any protection they are full aware about the outcome.

    Just imagine a man impregnating a woman at the end he doesn’t want to support the child. Whom does he expect to be responsibility for that child or does it mean the woman made a child alone carrying the child in the womb for 9 months is that not enough for her? Still the fathers of the child end up disappoint her by not supporting the child?

    Please people especially men act responsibly don’t be so foolish wanting lobola (MAHALI) when the child (GIRL) is about to get married or need assistant when a child become somebody (Director, celebrity) etc it’s when you pretend to care.

    There men who real care and might be more responsible for their children than women but sometimes circumstances might contribute into some situation, to me it doesn’t matter either a man or a woman earn more than the other or work midnight what you have to know love for your own child it means a lot as a caring father or mother to your little “ANGEL”.

    Try to think why people support orphans? Simple because chidrens are Innocent people as open heart for them, why then abandoning your own child if you are still existing into this planet. You want to enjoy life and let kids suffer Live like a KING or QUEENS while…………..

    I am sorry for those who never been supported by one of their parent but please don’t give up in life GOD has something for you, although it’s so difficult to handle especially children who have no one to advice them in order to follow their career path.

    Elizabeth! Girl be stronger make use of that opportunity wisely you are no longer that Elizabeth you were before entering into BBA house, even if you would be there for one day you life wouldn’t be same you are now a CELEBRITY worldwide. I wish you to stay in the house until the end of the show if it wont happen in such way there so many opportunities awaiting for you, with no doubt your life will never be the same.

    Its real touching and hurting please men and women outside there stop producing babies if you cannot act responsilby.

    Elizabeth you are not alone

    Stay focused and pray’s to the Lord

  16. Comment by nana on September 23rd, 2009 2:30 am

    all the way baby gal, we will be with u till the very end, love u

  17. Comment by Grace on September 23rd, 2009 8:25 am

    Elizabeth lost his father as he passed away due to heart attack(sudden death)and not abandoned the family. Naona wengine hawajaelewa vizuri. Cha muhimu tumpe support Elizabeth ili atimize ndoto zake.

  18. Comment by kweliman on September 23rd, 2009 9:56 am

    It does not surprise me that it’s virtually became official.Seeing and listening to your speech ,i knew certainly that very likely the tone of most commenters here would take a little twist. The conversation is getting a little offbeat now . It’s moved from being about Liz in the house, all the way to the center of her personal issues or her privacy for that matter.Read along the lines if you think am wrong .If i were in your position i would certainly stay way from my private issues.I would rather focus on anything possibly relevant to the moment an the occasion.I guess she’s gone way too far,in my opinion.It kinda raised my eye brows,that she hasn’t gotten that far, not even close to half way, She wouldn’t wait but to open up like that.Perhaps it’s me.May be am out of touch with the startegies ,tricks and whatever it is that goes into the competition.Somebody ,please correct me on this.Liz am not picking on you .i guess it’s your personal choice.You are in the game .You would certainly know better than me.By all standards,i mean.
    By the way am not so keen on your personal experiences.For me ,that sounds like nothing but TMI.In other words i don’t care what you went through with your family.On the other hand ,i would certainly like you to understand that am all for you in this competition.To tell you the truth,i was very impressed with your English skills.Your ability to express yourself.To all naive folks out there,you have demonstrated it . That its not about AMERICAN or BRITISH ACCENTS.I can’t stop wondering what would Kanumba say.This goes to all folks,those who could not see any issue with Kanumba’s performance.I guess it’s now official and the case is closed. It was absolutely amazing.Liz ,am not so into big brother stuff, regardless.But given that Kanumba’s performance was such a nightmare and yours being that great, i wish you would know how much you’ve got me on the hook. What i have seen in the clip is nothing but hopes,confidence ,great personalty and exceptional presence.Who would ever thought that i would ever watch BBA,of all the things.Honestly BBA would never take my sleep away.But seeing you in that clip has caught my attention.You gave me all the good reasons to watch BBA from now on.
    You’ve got my full confidence ,Liz.If you ever win that would never suprise me .Not once .You have certainly got it all, its all official to me ,you will walk out of that house with a loaded briefcase .I KNOW YOU GONNA MAKE IT HAPPEN and you can’t wait to make us proud.
    Don’t askme for my support cause ,it’s a guarantee
    what a great performance.
    Kweliman

  19. Comment by Hombiz on September 23rd, 2009 8:35 pm

    Wooden Isaya, you don’t get my point and I don’t think you ever will. When you suggested that my comment is irrelevant, I would appreciate if you would have explained why. Meanwhile, I would also like to notify you that when I give my opinions about a given topic, I always express exactly how I feel about it. Before doing so, I include my personal experience, as well as other people`. In doing so, I don’t consider what other commentators` reactions towards by comments. However, I read other people comments and either agree on disagree with them, depending on my level of understanding towards the discussed matter. Whenever I feel like I am wrong, I admit my mistake. On the other end, when I believe to be right, I stick to my point as I do now.

    Wooden Isaya, there are various reasons why people abandon their children. If we discuss this matter on this BC Blog, it may take forever before we come to a nutshell. However, let me provide you one good reason which is Anger and frustration. I `m gonna use a true example, explaining this reason. This example is based on a true event which happened some years ago when a husband who migrated to USA was trying to legally bring his wife and children over. This gentleman worked so hard and met all immigration requirements and finally brought his wife over. After his wife migrated to US, the guy continued working so hard bringing his children to America too. However, one of the immigration requirements demanded DNA test for this person’s children in order to prove that those children were his. So, when INS took this guy’s blood sample for DNA and conducted their tests, the results were shocking! It was through immigration this gentleman came to find out that those children were not his. All those years that poor guy thought those children were his. That means an unfaithful woman (his wife) has been cheating and lying on him for all those years, without showing any sign of shame on her face. She had been impregnated twice by other men throughout the cause of their marriage. Currently, those children are teenagers and this gentleman (who is not their father) is the only father that they know. Once the DNA results revealed the truth to this faithful responsible loving father, their marriage ended accordingly. Now the mother has to explain to the children who their biological father is so that they can start building their relationship before it is too late. If it were you, “Wooden Isaya and my other critics”, what would you do!?

  20. Comment by Flora on September 24th, 2009 6:55 am

    Thanks u 4 clarification on this issue

    Stay blessed!

  21. Comment by Christabell on September 24th, 2009 8:09 am

    Wadau mliotoa comment hapo juu ni kwamaba baba wa Elizabeth ni marehemu na sio kwamba alitelekeza familia.

  22. Comment by Woden Isaya on September 24th, 2009 11:33 am

    Hombiz thanks for your elaboration and by the way I got what you meant, however with my understanding of your DNA story that is a very rare case situation. My only concern is when men use an excuse of not handling their bussiness because of what you so call “anger and frustrations” for the expense of the kids, believe me I live this experience so I know what I’m talking about, I’m a married man taking care of my won kids and my wife’s son as well who was abondoned by his Dad when he broke up with his mom and I’m pround of myself for this, not that I’m comlaining about taking care of my step son no, don’t get me wrong but i do have an issue with those men who for some reason think just because it din’t go well with his partner then to hell with the kids, let’s not hit around the bush, we know very well that everytime there is a situation between a man and a woman it’s the woman who winds up with the kids, has it ever occured to you that this is a load of crap? Your DNA story is exceptional but what about those kids being abandoned by their biological fathers just because he holds grudge and anger towards their mother? they buy a few clothes, a few pairs of shoes and think their job is done I think these are the majority and this is the group we need to focus on, it’s sad that these kids have to grow up and miss all the possible opportunities in their lives just because of one’s selfishness, come on now, this happens in bongo every single day and I’m glad to be where I am because the system holds such people accountable including being sentensed. So we can say all we want, your DNA case could be a little different but I think the big issue here is of those fathers who just don’t feel like they need to handle their bussiness, a man who abondons his kids just because it never worked out with their mom is not a real man, he is a coward and should not be excused in anyway. There are some unique cases like death, DNA issues and diseases but other than that I’m sorry man it’s just selfishness and stupid egos that man have.

  23. Comment by Hombiz on September 25th, 2009 12:01 pm

    Wooden Isaya, I agree with you on those fathers who just abandon their children following their poor decision. However, disagree with you that my DNA case is a rare example. I believe this to be a very serious issue. Do you know what the Government Chemist Laboratory Agency in Tanzania concluded regarding the DNA samples it received for disputed Parentage Cases in the year 2005/2009? Well, the results from this Agency indicated that at least 60% of the cases proved that the male parents were not the biological fathers of the children. Additionally, this Agency receives samples from the Department of Social Welfare and Registered Lawyer and not from just any individual. Therefore, according to the above results, I don’t consider 60% as a rare case. Thanks for the deoxyribonucleic acid (DNA) for revealing such shocking results. Without this, a lot of husbands, boyfriends, fiancé would think they’re these children biological fathers while they are truly not. And these are the type of anger and frustration and disappointments I am talking about.
    Wooden Isaya, also remember, there are children who have been asking their mothers to tell them who their fathers are, without success. When these children demand to know their fathers, these mothers become infuriated and start showing their bizarre behaviors. Most of them act the way they do because they do not what their children to discover the big mess that they have created. For this reason, they always try to feed these kids with wrong information and try to make children believe that their fathers are some type of monsters. Sadly enough, some of these women don’t even know who the real biological fathers of their children are. They caused these messes simply because they were unable to close their legs and be faithful to their true lovers.

    Furthermore, I previously stated that I never support fathers who abandon their children just because they decided to. However, I also believe we should also understand that it is not always fathers` fault when they’re not present during their siblings’ childhood. Unfaithful women should also be held accountable when they put these children on that big mess.
    I personally have gone through a lot of experiences which I choose not to discuss on over here.

  24. Comment by Geoffrey on September 26th, 2009 9:45 am

    Elizabeth, sorry to hear the actual truth that your father passed away and not that he abondoned as I earlier understood. Am sure his prayer got you to BBA 4 and I strongly believe you will come on TOP. I give you full support on this as you represent as all. Best wishes to you.

  25. Comment by BLACKMANNEN on September 28th, 2009 8:17 pm

    Elizabeth!

    Mie sina mengi, bali nakutakia kila la heri urudi nyumbani na ushindi!

    Dah! Lakini wengine tunakufa na hicho “Kifuazzzz” chako.

    It’s Great To Be Black=Blackmannen

  26. Comment by majanitaker on September 30th, 2009 3:02 am

    h33yy cut3y……..tsup u rily rockkk….i dn kn y hannington doznt lyk u bt u r vry vry vry vry prettyyy…i wish ningekua bba we mwenyewe ungeona BIGG UPP!!!!
    Ma dad hates me nw coz i have usd up all of his mny jst for ur VOTEZZZ..we r waiting 4 u 2 cme back wid ur bangz.

Leave a Reply