hafsabcKwa muda alikuwa kimya kiasi kwamba wengine wakasema huenda ameamua kujishughulisha na mambo mengine mbali na muziki.Kumbe sio kweli.Alikuwa akivizia ili anaporudi arudi na mshindo mkuu.Namzungumzia Hafsa Kazinja ambaye kama utakumbuka aliwahi kutamba vilivyo na wimbo wake wa Pressure alioshirikiana na Banana Zorro.

Bado amebakia kwenye miondoko ya zouk.Safari hii amevuka mipaka na kumshirikisha Lady Mariam kutoka nchini Uganda.Wimbo unaitwa Baleki.Usikilize.

Audio clip: Adobe Flash Player (version 9 or above) is required to play this audio clip. Download the latest version here. You also need to have JavaScript enabled in your browser.

Feedback / Comments

5 Responses to ““BALEKI”-NAFSA KAZINJA FT LADY MARIAM”

  1. Comment by Riziki Romwald on September 29th, 2009 6:43 pm

    Kitu kimetulia kwa kiwango chetu, kinanikumbusha tamaduni na beats zetu za zamani.Sauti nzuri, spidi nzuri zilizoendana na beats.Kwa kiwango cha Bongo nakupa tano.

  2. Comment by Vyne on September 29th, 2009 11:00 pm

    zouk? au ndombolwaaaaa? not sure but who cares.

  3. Comment by chapombe on October 1st, 2009 8:11 am

    beats za vijana jazz,zimechanganywa kidogo na za sikinde,alafufu wakaweka sologuitar ya kikongo,wee safi sana

  4. Comment by Geoffrey on October 8th, 2009 2:55 am

    Huyu Dada toka aimbe na Banana “Pressure” simsikii tena, bado anaimba?

  5. Comment by bakari on January 17th, 2011 11:30 pm

    big up my sister hafsa kazinja na kupa big up tufanye kazi tusikate tamaa wachana nao wataku lostish

Leave a Reply