mariamKituo maarufu cha ABC cha nchini Marekani jana,kupitia kipindi chake cha 20/20, kiliionyesha dunia kuhusu tatizo sugu la mauaji ya Albino nchini Tanzania na pia jinsi watu waliozaliwa albino wanavyopambana na masuala mbalimbali yakiwemo ya kubaguliwa na kiafya.

Pamoja na juhudi mbalimbali ambazo zimekuwa zikifanywa na serikali,mashirika yasiyo ya kiserikali na watu binafsi,tatizo la mauaji ya albino yanayotokana na imani za kishirikina bado lipo. Bado ni jambo ambalo linaitia doa nchi yetu,kutupaka sote matope na muhimu zaidi kupoteza wadogo zetu,kaka zetu,dada zetu,ndugu,jamaa na marafiki. Raia wenzetu wanaishi kwenye hofu.Hawalali kwa amani na hawatembei kwa amani katika nchi yao wenyewe.Wanawindwa kama wanyama.Hali hii ni lazima ikomeshwe.

Bonyeza katika links hizo hapo chini ili kutizama video hizo.Kwa kusaidia albinos nchini Tanzania,bonyeza hapa.

Bonyeza Hapa

Bonyeza Hapa

Bonyeza Hapa

Picha kwa niaba ya ABC News.

Feedback / Comments

35 Responses to “ALBINISM/TANZANIA KATIKA 20/20”

  1. Comment by MAU MAU on October 3rd, 2009 2:39 pm

    SHAME SHAME ON US TZ, WHAT THE HELL ARE DOING PPL? KILLING INNOCENT’S PPL FOR STUPIDITY BLVS?

  2. Comment by MAU MAU on October 4th, 2009 12:48 am

    I mean! ‘are you’ in the middle of are n’doin’

  3. Comment by Riziki Romwald on October 4th, 2009 6:35 pm

    Please! give me a break, please! This is disgusting and grossly irritative to hear, It is hard to believe the events are taking place in the country we always pretend “PEACE AND LOVE” is our national subjective norm. Poor hypocrite! Suprisingly, the system have kept not only blind eyes but closed both ears and other senses….Ofcourse,the fact that it does not jeopardize their existence,or affects the election outcomes, it is not a pressing problem. After all the victims are marginalized and the voice less segment of our communities.

    This reflects gross and unacceptable negligence,irresponsibility of the system.The system which was supposed to protect us, to protect them,is infarct running away from them.Of all the people,why should we continue trusting them while a segment of our population is the next victims of deliberate manslaughter? Why for God sake?

    What have we done to better understand all the attributes behind this epidermic of killings? What the system have done to track and promptly identify the motives behind this tragedy? I can’t believe that we were waiting for the white people to come and conduct a thorough situational review of what prevailed in our own land?Shame on you people we entrusted and believed you will protect us.We gave you tools and power inturn you mercilessly gave -us pain and sufferings.

    We no longer want bizzare approaches to mitigating this tragedy. We want a well researched, evidence -based measures to immediately stop these killing of innocent citizen now and for all. You need to invest, conduct a scientific research,try to in-depthly examine the social, believe and traditional attributes associated with these killings before designing appropriate communities-based contingence measures to contain them.

    The fact that the problem is multifaceted, complex and community-based, so the approaches to solving it.I sometimes wonder if we still have the right people with the right skills and knowledge.

  4. Comment by Bingo on October 5th, 2009 4:35 am

    Riziki, my kudos brother, at least you have noticed that our system is never serious. But surprisingly enough, if you do something that will tarnish their image, or reduce their chances to remain in power, trust me they will eat you alive. On that, they will be more than serious.

  5. Comment by BLACKMANNEN on October 5th, 2009 3:00 pm

    Kudai Haki Bila Sheria ni Kosa! Watu tulingoja kwa muda mrefu kuhusu namna ambavyo serikali yetu ya Tanzania, itakavyotulinda katika hali ya hatari iliyokuwa imeanzishwa na watu waovu wachache waliokuwa wanaua alibino.

    Kiukweli, tulikuwa bado hatujajitayarisha katika swala hili. Badala yake tuliwategemea polisi na vyombo vyetu vya sheria vya Tanzania, kuwashughulikia wauaji wa maalibino wetu.

    Utaratibu wa vyombo vya sheria nchini Tanzania, tunavijua. Lakini tushukuru kuona kuwa vyombo vyetu vya sheria vimefanya kazi yake katika kesi zake za mwanzo, kwa maamuzi ya kuwanyonga wauaji, na sote tumeridhishwa na maamuzi ya Mahakama.

    Maombi yangu ni kwamba, watu wengine, na hasa mashirika ya nje, yasifanye matukio haya yanayotokea Tanzania yasiwe kama kitega uchumi chao.

    Wanaoilaumu serikali ni watu wasiojua mienendo ya kisheria za Tanzania, na ni vizuri tuwaelimishe, lakini sio mimi hapa katika maoni yangu haya. Wafuatilie habari zitolewazo na vyombo vyetu vya habari Tanzania, na si kutoka nchi za nje.

    This Is Black=Blackmannen

  6. Comment by hombiz on October 6th, 2009 2:24 am

    It is very sad to see that in 2009, there are still Tanzanians who still believe in witchcraft in such a high extent.

    This is quite inhuman. How can these people refuse to value lives of these innocent subjects!? I will never get the point behind this stupid myth, or wherever you may call it.

    I think everyone who is involved in practising this ruthless and uncouth behavior, should be brought to justice and receive severe punishment once proven guilty in the court of law.

    Lastly, i would like asking the press, spiritual leaders, uducators, artists, and other educational sources, to educate the mass against this evel practice.

    The almighty, please protect and save our fellow Tanzanians from these unspeakable acts.

  7. Comment by kichefuchefu on October 6th, 2009 11:35 am

    Riziki Romwald!!! ulicho kifanya ni kuanika skills zako za kiingereza, ambazo kimtazamo wa kawaida tunaweza sema unajitahidi, lakini kwa mtazamo wakisomi bado sana. na ukiangalia mchango wako wa mawazo ulioutoa kwa kimombo ni PUMBA.

    Riziki Romwald!!!
    masahihisho ya Kiingereza:

    1. “This is disgusting and grossly irritative to hear” “irritative ” hakuna maana ya neno hili, lipo tu kama nominalism. grossly kama adverb na “irritating” kama “adjective”

    sasa ilitakiwa uandike” “This is disgusting and grossly irritating to hear”

    2. It is hard to believe the events are taking place in the country we always pretend “PEACE AND LOVE” is our national subjective norm.

    “national subjective”
    national is “adjective” and “subjective” is also “adjective” haziwezi fuatana hata siku moja. ni “adverb” then “adjective” then “noun” kama zinafuatana katika sentensi moja. Na tatizo hili kitaalam linaitwa MALAPROPISM, ambalo husababishwa na kutoku master “parts of speech” na overusage of vokabulari.

    3. “deliberate manslaughter? ”

    hii sio kosa lako hasa hasa! lakini hakuna kitu kama hicho. wataalam wa sheria watakuambia ya kuwa “Kama ni deliberate sio manslaughter, ni murder”

    4. spelling mistake ni nyingi sana! “epidermic” == “epidemic” ” bizzare ” bizarre” “in- depthly ” “in-depth” hakuna hii in- depthly”

    5.”I can’t believe that we were waiting for the white people to come and conduct a thorough situational review of what prevailed in our own land?”

    ““I can’t believe that we are waiting for the white-people to conduct a thorough review of the situation prevail in our land?” were, prevailed, situational, hili tatizo bado lipo na linaendelea, halijapita. Ukiangalia sentensi yako nah ii utaona umetumia manenio mengi yasiyo na maana.” (problem—-level of writing)””

    6.”Shame on you people we entrusted and believed you will protect us.”

    “Shame on you people! We entrusted you and believed that, you will protect us. ”

    7.”examine the social, believe and traditional attributes associated with these killings before designing appropriate communities-based contingence measures to contain them.”

    appropriate-adjective and community-based–hii kitaala tunaita adjectival-phrase, pia hazifuatani kama ulivyo zipanga, instead, ungeziweka kwa appropriate kuwa adverb”

    “appropriately community-based”

    8. Contingence— hili neno halileti maana ulipo lichomeka, hii inatokana na ingawa una maana ya wingi. Kwanza hilo neno ni “NOUN” na lilitakiwa liwe “CONTINGENT” –adjective, while MEASURES – ni “NOUN”
    Mimi ni mwanafunzi wa falsafa, na katika falsafa kuna kitu kinaitwa POSSIBILITY – kuna possibilities tatu,
    1. zero, 2. contingenT 3 necessary
    with zero being “no-possibility” contingent being—group or party-possibility , necessary being—-singular-possibility.

    Ngoja niishie hapa!!! Kwani sasa hivi ni Jioni Johannesburg na ninaitaji nijiachie. Kwa maelezo zaidi waweza niandikia: con_m75@yahoo.co.uk

    Ila itakuwa ni vizuri sana kama tukitumia Kiswahili, ili kujieleza vizuri.

  8. Comment by Rafiki Sweden on October 6th, 2009 5:14 pm

    Wewe unajiita kichefuchefu kila mtu ana haki ya kuandika au kusema anachotaka.Tuheshimu huyo unayesema ni pumba ametoa mchango wake.Hawa watu inabidi waandike waktumie hiyo lugha ya kigeni ili wajifunza zaidi.Tusiwe rahisi kukosoana.Sidhani kama kuna wengi walitaka kumsahihisha huyu mtoa maoni,bali tulitaka tukusikie una maoni gani kuhusu haya mauaji ya kikatili ya hawa watu.Unaacha jambo la msingi na kuingilia jambo ambalo si la msingi mkubwa.Ili akuandikie ili iwaje?kwa mtazamo wa haraka haraka tu unaonekana sio mstaarabu kwa jinsi unavyokosoa,unajua sio kusema tu au kukosoa bali jinsi gani unakosoa.Chukua muda na ujifunze.

  9. Comment by BLACKMANNEN on October 7th, 2009 2:00 am

    Kichefuchefu,

    Hapo nakupongeza sana kwa kuwapa somo zuri hawa “Wazungu-Weusi” wetu.

    Darasa aina hii liliwahi kutolewa kwa Flora na muhogo mchungu.

    Wazungu-weusi wetu hawa ni mabishoo na waliojawa na ushamba wa hali ya juu kama sio kupungukiwa akili.

    Watu dunia nzima wanajivunia lugha zao. Lakini wenzetu hawa wanakumbatia lugha za watu wengine, na ukiwaambie waachane na lugha hizo, wanakuporomoshea mitusi. Sina hamu na watu hawa.

    It’s Great To Be Black=Blackmannen

  10. Comment by Bingo on October 7th, 2009 2:50 am

    @kichefuchefu you really suck dude. Don’t you think that your comments are out of topic? Look at the content and not otherwise, Riziki made very powerful points that each and every Tanzanian should adhere of regarding albinism. If you think your lingual is better than Riziki’s, then go lecture somewhere and get the hell out of here. You always think you are better than most people. I don’t know why bc gave you his time of a day in here. You need to go to hell in your sleep and the sooner you go the better. Hope you fart when you do. You are not important anyway…

  11. Comment by Flora on October 7th, 2009 4:15 am

    That is a crisis to read/hear/watch/practice such things where our fellow human being, slaughtered like cattle that is intolerable activities we have to unite and take action against those who kills and make our beloved son/daughter/brother/sister/uncle/aunt/father/mother live in fears for their life. According to the story I read from 20/20 that Albinism are killed because of witchcraft believers that part Albino’s body can sustain their business/luck etc.

    I believe that we have Human Right Organization in our country I advice them to carry out an investigation and find out wherever the market of organs are sold. I think after that findings then it will be easy to catch all the dealers in that matters from point one to the last point. These people should be under arrest and be imprisoned for life or penalize in some way.

    We should find way forward for protecting one another. Policy makers should formulate policy in such way that will protect our fellow Tanzanian no matter the circumstances from remote to urban areas also should be a system for registering all Albinos and still to be born for data maintenance and killing control, also supporting and assisting them by providing them with all rights alike any Tanzanian.

    Government should react on this as a matter of urgent and find proper solution ASAP.

    Let us mantain Peace and Love in our land of brave.

    Good day!

  12. Comment by Flora on October 7th, 2009 10:15 am

    That is a horrible story to ready/watch and tell. We have HUMAN RIGHT ORGANIZATION in Tanzania, its time for them to take action and investigate the matter from point A to B all people involved in such activities should be arrested and penalized even jailed for life.

    Law makers should formulate the law in such way that Albino’s are protected and should be there a system where Albino’s and still to be born will be registered for data maintenance and other reason. That should be a matter of urgency government should react against that ASAP.
    Please let us protect our son/daughter/brother/sister/uncle/aunt/father and mother by any means so that they can live without fear for their life.

    It’s unbelievable what happen in our country which gives a bad image. How can a human being be slaughtered like cattle because of witchcraft believer? I don’t get it and I cannot imagine how it’s painful. Please my fellow Tanzanian let us unite and act immediately against that, the early the better so that we can maintain LOVE and PEACE in our land of brave.

    Albinos are just like me and you we have to protect one another and be aware that they have full rights to be assisted wherever its needs and participate in any activities like anyone else and enjoying the FREEDOM for their country.

    Concerned citizen

    Good day!

  13. Comment by Flora on October 7th, 2009 10:43 am

    That is a horrible story to ready/watch and tell. We have HUMAN RIGHT ORGANIZATION in Tanzania, its time for them to take action and investigate the matter from point A to B all people involver in such activities should be arrested and penalized even jailed for life.

    Law makers should formulate the law in such way that Albino’s will be protected and should be a system where Albino’s and still to be born will be registeres for data maintenance and other reason. That should be matter of urgency government in cooperation with community should react ASAP. Please let us protect our beloved son/daughter/brother/sister/uncle/aunt/father and mother by any means so that they can live without fear.

    It’s unbelievable what happen in our country which gives a bad image to the world. How can a human being be slaughtered like cattle in her/his own country by their fellow citizen whom they expect to protect them when they are attacked by wild animals?

    I don’t get it and I cannot imagine how it’s painful. Please my fellow Tanzanian let us unite and act immediately against that, the early the better so that we can mantain LOVE and PEACE in our land of brave.

    Albino’s are just like me and you we have to protect one another and be aware that they have full rights to be assisted wherever its needed and participate in any activities like anyone else and enjoy the FREEDOM for their country.

    We need to Campaign against

    - Albinizim killing
    - Women and Child abuse in anyway
    - Gender eguality on power
    - Education for all
    - HIV/AIDS
    - Corruption
    - Others

    Concerned citizen

    Good day!

  14. Comment by hombiz on October 8th, 2009 2:17 am

    Hey BC members!

    Never be fooled by static minded individuals

    Please ignore all people who think posting comments in kiswahili, will make them look more patriotic. What you need to do is considering such a person to be a prisoner of his/her own mind.

    Stay focused and keep on doing your things!

  15. Comment by Flora on October 8th, 2009 3:20 am

    I am sorry that my email appeared several times without my knowledge that was not my intention it happens because of some technical problems which was beyond my control.

    Good day!

  16. Comment by kichefuchefu on October 8th, 2009 8:58 am

    Rafiki Sweden na Bingo!!

    Rafiki Sweden!!
    salam zako, mimi mzima. Ni kweli kuwa kila matu ana haki ya kutoa maoni lakini sio kusema anachotaka, kwakuwa hata ukituma mawazo huangaliwa BC.

    Huwezi andika matusi ama kutumia ligha isiyo faa! sasa kama mimi ningeandika kichina humu ingeleta maana gani? sasa kwa wale wanaotumia kimombo pia lazima waakikishe ya kuwa wanachokiandika kinasomeka na kinaeleweka, na kama wanafanya hivyo kwaajili ya kujifunza vema, tunasahihishana na wawe na uvumilivu.

    hata sisi tulijifunza Tabora na Morogoro, kwa kuchekwa, kuvalishwa skaf, kupelekwa bustanini kusoma kwa sauti kubwa huku wanakijiji wakipita na kukucheka, na hata walimu waliokuwa wanatufundisha walikuwa na tabia tofauti ya ufundishaji.

    Tusiwe rahisi kukosoana: sasa bila kukosoana tutafika vipi? unapo kosea tunakueleza ili usipite kwenye makosa yale, sasa tatizo liko wapi? labda kama sikutumia lugha inayofaa hapo nitakuwa nimekosea.

    Mimi kutoa email address yangu ni ustaarabu wa hali ya juu, ni kwajili ya ushirikiano wakaribu zaidi wa kimasomo, pia hili wewe unaona ni tatizo? unanishambulia, kwani mimi nimekosoaje au ulitaka aelezwe vipi?

    Bingo:

    @kichefuchefu you really suck dude. Don’t you think that your comments are out of topic? Hapana. Kwa kuwa michango inayotolewa hapa ni ya kusahihishana, watoa mawazo wakiwa wanawasahihisha wauwaji wa albino na wao pia wanasahihishwa kwa makosa yao.
    You always think you are better than most people.– “always think” hii sio kweli! hauko nami always,na sichangii mada humu always sasa hii “always think” sasa hii inatoka wapi? kama nimekosea naelezwa na kuchukulia masahihisho kama changamoto ya maendeleo, lakini usinisingizie kwa chuki ama hasira.

    I don’t know why bc gave you his time of a day in here.–huu ni ubaguzi na chuki, sasa kama yeye kaweka vitu sivyo na BC kaweka, inakuwaje vyangu hatakama sivyo visiwekwe?

    You need to go to hell in your sleep and the sooner you go the better. Hii ni chuki, mapaka unanipeleka kuzum! hata kama nimekosea, sio kosa la kupelekwa kuzim, any way, NITAKUOMBEA KWA MUNGU, KWA HUKUMU ULIYO NIPATIA, INGAWA SINA HATIYA.

    Hope you fart when you do. You are not important anyway: sasa ikiwa nimekose na wewe kunishambulia kwa maneno yasiyo faa, umuhimu wako uko wapi?

    MUNGU AKUBARIKI.

  17. Comment by kichefuchefu on October 8th, 2009 9:23 am

    Bingo:

    If you think your lingual is better than Riziki’s, then go lecture somewhere and get the hell out of here.

    sasa wewe unataka kusema mimi na Riziki na wewe ni level sawa?

    Bingo: “Look at the content and not otherwise” content ipi? au unamaanisha contents? kwa sababu sikupati!!

    You always think you are better than most people: hapa kuna tekniko ishu nyingi za kukelezea. Kwenye Theory of Mind, tunajufunza kwamba, kuna EGO na OGE and they Feel and Think

    THINK: ego,oge wanapokuwa konshasi na stracha ya real idea huekspiriensi kama thinking, na wanapokuwa konshasi na meaning of the real idea huekspiriensi kama feelings.

    hivyo: You always think you are better than most people, ni sahihi kiingereza lakini si sahihi, badala .ya kuwa “think” ingekuwa “feel”.

    wewe mchovu! na kama hunabisha hili pambana na mimi na lugha yako ya kigeni.

    sikutaka nifike hapa ila unanichokonoa,

  18. Comment by BLACKMANNEN on October 8th, 2009 8:19 pm

    Ndugu yangu Kichefuchefu,

    Wazungu-weusi wetu wa hapa BC, wana matusi na bidii ya kujitetea. Wengi wo ni wale majambazi waliokimbia mkono wa sheria kuwakamata walipofanya makosa Tanzania, na wengine, hawana lolote kwao, wamekimbilia nchi za nje kupona njaa zao toka Tanzania.

    Mtu aina kama nilivyosema hapo juu, sharti, asiipende Tanzania yetu tunayoifurahia sisi raia wema, tulioishi bila ya vituko na tamaa.

    Mganda, Mnyarwanda, MMburundi, wacha huyo Mkenya, wote wanataka kuishi Tanzania na wakielewe Kiswahili, lakini mabwege hawa, Hombiz, Riziki, Bingo, Flora na wengine, eti hawakijui wala kukipenda na kujivunia Kiswahili cha nchi yao.

    Wazazi wao, ndiyo waliowasaidia kuja nchi za nje, wawasaidie kimaisha. Badala yake wanasaidia wazungu kwa kupaponda kwao na kujionyesha umaskini wao ili wahurumiwe wapewe makatasi ya kuishi Ulaya au USA.

    Wale wanaojua lugha za nchi unayotaka kukaa, wanapenda mtu anayeweza lugha zao ili kuwapa kazi zisizotakiwa na wennyeji wa nchi hizo kama vile kuwalea wazee ili kuelewana nao kilugha zao.

    Kazi zenyewe mtu anazopewa, ni kuwabadililisha “nepi” wazee wa kizungu, wakijisaidia na mambo mengine yasiyostahili kutajwa hapa. Watu wanaojua lugha za watu hawa ndiyo kazi zao kubwa hizo, huku Europe na USA.

    Watanzania wote hawana shida na watu hawa (Wazungu-weusi),wanadharau lugha zao na kuthamini lugha za kigeni. Isipokuwa wasilete za kuleta hapa kwetu sis hapa BC.

    Watanzania wengine wanazijua zaidi ya wao lugha hizo. Lakini hawajivunii, kwa sababu sio lugha zao za kujivunia.

    Hivi Hombiz, Riziki, Bingo au Flora mtakubali kweli kuwa mmetoka kijijini????? Wanavijiji wa kwenu, si mtakuwa mnawatema mate wazee wenu, kwa jinsi, mlivyo ma-bishororo ninyi????

    Nayasubiri matusi yenu, na niko “Ngangari” kwa hilo. Mtanikoma. Mimi ni mtambo wa matusi, ni BC kuyaachia tu, karibuni.

    It’s Great To Be Black=Blackmannen

  19. Comment by Bingo on October 9th, 2009 4:10 am

    Kichefuchefuu… hahaa haahaa!!!!
    You are frustrated, and if not you are psycho and You need a rehab or a psychologist son. Seems like you are the onlyone who is educated in your family and you can’t get any attention and now you are trying to seek it through the internet.
    Ok, we all know now that you are studying philosophy in SA, happy?
    You know what? We are really sick and tired of reading all your useless tales re English/Swahili. we all agreed that every one is free to use either of the two, (English or Swahili), whatever he feels damn comfortable about, and neither should anyone personalize it. And why should it be much of a drama to you anyway? Or you just want us to know who you are????. You know we just don’t GIVE A DAMN about people like you!!!!!!!
    To be honest, I don’t hate you dowg and don’t get me wrong, only that I was so pissed off when you out of the blue started attacking Riziki for no reason. Why would anyone be happy for such a thing? Cause you aint no intelligent dude, lets face it, you are dumber than a five year old…
    So if you think you can teach us English, you better think twice baby, coz we didn’t go to school to learn English, we grew up speaking it, and guess what! That is none of your damn business too. You better give us a break big head drama king. Barbados booty…

  20. Comment by Papai on October 9th, 2009 8:09 am

    tehe tehe Kichefuchefu unatafuta mademu nini? sasa umetoa email ya nini?

  21. Comment by Papai on October 9th, 2009 12:53 pm

    Tanzania has got English and Swahili as official languages. What is wrong if one decides to use either of the two? Contributing using English doesn’t mean that we hate our country or anything; because that’s just a language, what matters is what we say and nothing else.
    Kichefuchefu and Blackmannen you are working my nerves, something I don’t deserve. That’s why I loose it sometimes and I’m not saying it’s cool to loose it; after all, I hate it, but some ppl are punishing other English users way too damn much! Just let it go and let’s move on, and drop this whole English/Swahili thing.
    Ok people we are buddies, we cool, let’s continue to represent in our BC, keepin’ it real and gangster.
    So whoever wants to rock in English or roll in Swahili, we cool with that and neither should anyone personalize it.
    I salute.

  22. Comment by KICHEFUCHEFU on October 9th, 2009 2:13 pm

    BINGO, BINGO, BINGO!!

    nakusikitikia, ni wewe unaye jipamba!

    eti! we grew up speaking it!

    tusijipambe, toa ushahidi juu ya mapambo yako na tuache ushahidi ujaji ukweli.

    wakati tuko shule, tulikuwa tunasoma kiswahili, vivumishi, viwakilishi, nahau, misamiati na kadhalika, na pamoja kuwa ni lugha ya kuzaliwa nayo hata wakali maklas hawkupata 100.

    na wakati tuko shuleni pia, tulikuwa tukisoma Kiingereza lakini sio kuwa hatukuwa tunajua kuongea, natulikuwa tukisoma Grammar pamoja na Mapadri ambao pia sio kama hawawezi kuongea na hawakuwai kushika nafasi ya kwanza.

    Kuongea sio kuandika. Kwani tuko na waamerica wengi ambao wanaongea vizuri sana lakini kuandika ni kama kupanda mlima kilimanjaro.

    sasa wewe unajigamba ya kuwa unakuwa unaongea kimombo, sikubishii kwa kuwa sikufahamu, Je wewe unajua kuhusu mimi?

    na mbona hujabisha ama kudibeit nilivyo kusahihisha?

    “You always think you are better than most people” “think” “feel” makosa haya ya lugha ni tait hata kama umezaliwa uingereza, kwa kuwa maelezo yake makubwa yako kwenye falsafa.

    “Cause you aint no intelligent dude, lets face it, you are dumber than a five year old…” embu pinga KOSA lako la “think” “feel” ama masahihisho ya “Riziki” logically…..tuone nani FEKI kati yetu.

    Ok, we all know now that you are studying philosophy in SA, happy? –hahahaha! sivyo, ila inatokana kosa la matumizi la neno “Contingence” na wewe ulivyo tumia “think” kimakosa na maelezo yake ni ya kifalsafa, wewe ulitaka nisemeje?

    “eti! So if you think you can teach US English, you better think twice baby, coz WE didn’t go to school to learn English, we grew up speaking it. wewe na nani? mko wangapi? wewe na Riziki? sasa kama wewe umekuwa unaongea KAMA UNAVYO “JIGAMBA” imekuwaje ukachemka “think”! sio kila mtu anaweza kukusahihisha hili, mbona hukubisha juu ya hilo? wewe si umezaliwa unaongea na unaamini ndio KIPIMO cha ujuzi, pinga kiushahidi kuwa si kosa kama mimi Nilivyo KUSAHIHISHA.

    una makosa mengi sana! ila kwakuwa sitaki mjadala ndio maana hata wewe, Flora na wengine sikutaka mjadala, ilanilikubip baada ya kuingia kwenye reli zangu.

    …again! sina matatizo na lugha mnazo tumia ilimradi zina eleweka, sasa nini maana ya kutumia lugha isiyoeleweka? ama kuandika kitu kisichoeleweka? sasa kama mnajifunza sawa, mkubali masahihisho kwani ni njia pekee ya kujifunza, nyinyi MNAWASHAMBULIA WALIMU WENU sasa mnataka kujifunza ama? hamtaki ni UNAFIKI, UZABIZABINA, UBISHOO!

    kama mnapenda hiyo kutumia kimombo basi nendeni shuleni ili muandike kiufasaha!!! ilimuandike mueleweke.

    “we grew up speaking it” okey! machizi wangependa kujua umekulia wapi?

    hao wazungu waliozaliwa huko wanapokutana na MIZIKI hii wanatwala na wanakubali, sasa wewe kukulia ndio nini? Hujui mipira wa miguu wa mikono umeanza kwao? Thabeet amewaungisha tela wazungu na mablack America wangapi kwenye selection?

    Nampa Five Hashim, kwani ni kukaza kwenye fani, na sio wapi ulipo ama ulipo zaliwa, SI tunapiga BUKU kwa kwenda mbele na hatufagilii nani na yuko wapi ama amezaliwa wapi? hembu pinga kosa lako “think” rationally.

    USIWE MTUMWA……

  23. Comment by KICHEFUCHEFU on October 9th, 2009 2:20 pm

    PAPAI!

    wala ndugu yangu sitafuti demu, mimi sio mpenzi wa maswala hayo na hapa nilipo wapo wengi tu wazuri sana, na very cheap!

    sio email yangu hasa na niliifungua kwaajili ya “RIZIKI” kwa kuzani angependa kujifunza, na nilikuwa tayari kwa hilo, nina program nyingi ambazo zingemsaidia.

    ……lakini imekuwa VITA!

  24. Comment by hombiz on October 10th, 2009 4:44 am

    Blackmannen! You must be very dumb to believe that Tanzanians who reside overseas, especially in Eurpoe and North America, are criminals who fleed their country so as to avoid justice. Additionally, i believe you are destitute of knowledge regarding this issue for you to assume that all Tanzanian who live overseas, depend on odd jobs as their means of survival. Why are you so hard headed dude!?. I state this because i remember that we went through this issue before. During our confrontation, i vividly elaborated to you how various Tanzanians earn their living abroad. As a riminder, i would like to notify you that there are many Tanzanians who live decent lives in foreign countries including U.K and U.S.A. Some of them are doctors, engineers, college professors, accountants, Law enforcers, and may other professions. These decent Tanzanians also support their families, back home in Tanzania, in many ways. Instead of dispising their grandparents and spit on them, as your ragged mind thinks, they take care of them and cherish their unconditional love, tirelessly.

    When some of these Tanzanians posts their constructive comments on BC blog, they just intend to share their knowlege and ideas with other BC fans, regardless of their nationality. It does not matter whether they share their views with Tanzanians, Kenyans, Ugandans, Europians, Arabs, Indians, American e.t.c. You must bear in mind that they don`t post their comments as the way of seeking amnesty from their new countries of domicile. Most of them are strait and living large already. Some of Tanzanians are still in the making but i believe they will get there since GOD IS GREAT!

    Lastly, i still would like to insist that there is nothing wrong for any individual to post his/her comments in english on this blog. Everybody is free to choose any language that he/she wants to use on BC spot. People can post their comments in English and still be wonderful Tanzanian cilizens than you blackmannen. Posting comments in kiswahili does not mean you are a better Tanzanian.

    Blackmannen, you can NEVER dictate what people should comment on this blog neither. Tanzanians are free to post ther comments the way they exactly want. There is no way you can stop them.

    Blackmannen, dumping your uncivilized comments here on BC blog, will never make you look like a wise patriotic Tanzanian. Rather, you just make yourself look like a damn fool. Why are you so thirst of that false tittle anyway!? What you need to do is, stop pretending to be a wise elder. Just be yourself, a jackass!

  25. Comment by kichefuchefu on October 10th, 2009 6:13 am

    PAPAI!!

    INAONEKANA wewe haujasoma mada humu vizuri, hakuna mtu anaye mpangia mwingine nini cha kufanya.

    …kama kinatumika kiingereza kitumike na kitumike kwa UFASAHA, sasa maana yake ni nini kuandika kitu kisicho someka, ama kilichopotoka maana?

    una mawazo unachangia ni kwa ajili ya UMMA, hivyo ni vyema kama tutaandika kwa lugha inayosomeka na kueleweka vizuri na UMMA.

    …na kama wana/mnajifunza, shwari! MSIWASHAMBULIE WANAO WASAHIHISHA.

    …..UMENIPATA? sasa kama una swali juu ya maelezo haya nakusubiri, Papai.

  26. Comment by Flora on October 12th, 2009 3:47 am

    I am fed-up it’s getting to much I cannot let it go just like that, you so called BLACKMANNEN or WHITEMANNEN what ever you call yourself. I think you are lack of something in your head and I don’t know how man time you want to be told the title here was ALBINISM TANZANIA KATIKA 20/20.

    I wonder where Bingo, Flora, Riziki and Hombiz come from if you are not looking for something else.

    Everyone got Freedom of Expression, either in English/Swahili the choice remains on the hand of the commenters in whatever language they want to use. Don’t try to convince people to do what you want we are no longer in colonial era it seems you are jobless you got nothing important to do instead you get busy by checking on Bingo, Flora, Riziki and Hombiz comments.

    We are not here to keep writing and reading nonsense that contribute nothing in the community and keep annoying other reader your intention is to subdivide BC fun into groups. For your information over my dead body you will never get a chance for that.

    If I may ask you does anyone ever insult you? I think most of people who use this web site are mature enough to behave themselves only that sometime people lose control after being attacked with no reasons where its rights for them to react back. I believe if we stick on the topic on the table will be no reason to exchange words or use vague languages. If you were insulted you should ask yourself what was the reason behind that.

    People feel good to undermine others and feel offended when others respond. We are here to keep informing and educating each another going beyond the topic that is intolerable in this web site (BLOG).

    If you are KICHWA MAJI I am sorry…. I know I cannot change you but to help you to realize that we are not here to under-grade one another instead we are here to comment on the topic given nothing else. Thats it take it or leave its up on you.

    Good day!

  27. Comment by Papai on October 13th, 2009 12:07 pm

    nimekupata kichefu2… Ki ukweli kichefuchefu na blackmannen badilikeni, homebiz amejitahidi kuwaaelewesha kiustaarabu, na dada yetu Flora katoa duku duku lake kwa sababu huwa mnamshambulia bila sababu. Bingo na hasira zake zote kawashindwa, duh kweli nyie ni mitambo? mimi sitaki beef ni ushauri tu.
    kaswali ka kizushi please…Eti nyie ni wafanyakazi wa magazeti ya udaku?? ni hayo tu.

  28. Comment by KICHEFUCHEFU on October 13th, 2009 1:28 pm

    DADA FLORA! FLORA! FLORA!: NA NUKUU:

    people “lose control(1)” after being “attacked(2)” with “no reasons(3)” where its rights for them to react back. I believe “(A1)if we stick on the topic” on the table will be “no reason(3)” to exchange words or use vague languages.

    “informing and educating(4)” “not here to under-grade one another” (5)

    “We are not here to keep “writing and reading nonsense(6)” (7)“that contribute nothing in the community”

    BINGO: NA NUKUU:

    To be honest, I don’t hate you dowg and don’t get me wrong, only that I was so “pissed off(1) “ when you out of the blue started “attacking(2)” Riziki for “no reason(3)”

    DADA, ukicheki kwa pozi utaona koment zako na za BINGO zimeshabiriana kinamna. Pia koment zenu zina gongana kiaina na zako zenyewe kwa zenyewe zinajikotradict.

    ..ikiwa tuko kwaajili ya (4)… informing and educating na (5)…not here to under-grade one another, inakuwaje (1) people lose control……na (4)…. information and education mna/unayachukulia kama (2)….attack?………..with (3)….no reason?

    Nakubaliana na wewe kwa asilimia 100% ….(A1)…… if we stick on the topic…(4)…. “informing and educating” hakuta kuwa “no reason(3)” to exchange words or use vague languages, wala kuwa “pissed off(1)

    Kwa kuwa hatupo hapa (6) ……ku-reading nonsense? …..(7)“that contribute nothing in the community”

    We are not here to keep writing

    Sasa niambie hizi sentensi chache unaiitaje?……………..[ “We are not here to keep writing and….”
    / “stick on the topic on the table?” “I don’t know how man time you want to be told” “We are here to keep informing and educating each another” ] kama sio ………..(6)“WRITING AND READING NONSENSE”

    “mistari yako inaendelea kuhukumu!!! —-“ People feel good to undermine others and feel offended when others respond”

    “KICHWA MAJI I am sorry….” …..inakubidi uongeze bidii ya shule sister, maana hicho kimombo!!!!!!!@#$!!! FULL MAKOLOFINDO KILA NINAPO KUONA, sasa unapo sahishwa kuwa mvumilivu na chukulia kama sehemu ya DARASA na sio SHAMBULIO, kwa kuwa tunataka UKUE.

  29. Comment by KICHEFUCHEFU on October 13th, 2009 1:37 pm

    Papai!!

    hahahahaha!!! tehetehetehe!! wewe husomi hoja za humu, mimi sio mwandishi wa magazeti mimi ni NABUKUA.

    ila unanionea! labda kwakuwa mimi sipo kwa OBAMA kama nyie! wewe huoni kiingereza wanachoandika wenzako? wapo wengi na nilimsahihisha mmoja tu! ikawa vita kama ya UGANDA, mpaka LIBYA na PLO ndani!!!!

    BLACKMANNEN! sister yako Flora unaye, mtu wangu!!!!

  30. Comment by Flora on October 14th, 2009 3:05 am

    Its true you are Kichefuchefu, let me gag you out and ignore you because I cannot swallow back what I have vomited.

    Keep your nonsense bro it seems you want to become famous through BC by 4c

    Good day!

  31. Comment by KICHEFUCHEFU on October 14th, 2009 12:03 pm

    MY SWEET SISTER FLORA!!

    “Keep your nonsense bro”—- ukisoma hapo juu hakuna hata kimoja kilichotoka kwangu, zaidi ya kuchukua LEVELHEADED KOMENTS zako na KU-TURN kuwa maswali?

    Ambayo wewe unayaita NONSENSE kwa SASA!! huoni hapa unajinyooshea kidole mwenyewe?

    HEBU NIONYESHE “nonsense” zilizotoka “kichwani kwangu” katika maelezo hapo Juu? Kila kitu ni chako, hata hizo “nonsense” ni zako pia, unataka kunirushia mimi?

    JIBU YALE maswali HAPO JUU?

    SINA PICHA wala JINA la UKWELI sasa huo ufemas NITAUTOA wapi FLORA?

    …ila shukran kwa kunitakia siku njema, na hata mimi pia nakutakia siku njema always.

    Ila Jibu maswali.

  32. Comment by BLACKMANNEN on October 14th, 2009 8:26 pm

    Ndugu yangu KICHEFUCHEFU!

    Darasa lako ni zuri sana, tena unatakiwa kupewa malipo kwa kuwasaidia kuwafuta “ujinga” wapuuzi hawa. Bahati kama hii unadhani wangeipata wapi?

    Kuongea kistaarabu na “mijitu” hii, ni sawa na kuongea na kundi la mbuzi au kondoo. Hakuna kinachoingia vichwani mwao. Badala yake watakudhalilisha kwa kukumwagia mvua za matusi.

    Mimi wakati mwingine hula sahani moja nao, kwa kuwafyatulia makombora ya matusi. Matusi yangu mimi huenda mbali zaidi ya “Generation +-10″ za vizazi vyao, au kama zilivyo fomula za kikemia za tebo ya Mendeleev au mahesabu ya diferensho ekwesheni na intagresheni.

    Wangekuwa wastaarabu, wangekuomba msaada zaidi wa kuwasaidia katika tatizo lao la lugha. Sasa watu kama “Papai”, wanajikuta wanaingizwa mtegoni na watu hawa bila kutegemea.

    Flora na Hombiz, mkitaka mapambano na mimi katika kuchambuana katika hoja, mnatakiwa mtafute watu wengine zaidi wenye uwezo wa kutosha kuwasidia katika upangiliaji na uwazi wa ukweli katika kutoa hoja yakinifu.

    Kichefuchefu ni msaada wenu mkubwa sana katika “ukiwete” wenu katika kuongea lugha za wenzenu(wazungu), mkadharau za kwenu Afrika. Mpeni BUSU la nguvu, la Upendo kwenu.

    It’s Great To Be Black=Blackmannen

  33. Comment by KICHEFUCHEFU on October 16th, 2009 8:58 am

    BLACKMANNEN!!!

    hahahahahahahaha!! tehetehetehe!!!

    ….shukran mtu wangu kwa mapambo yako!!

    Pamoja sanaaaaaaaaaaaaaaaaaa! mtu wangu.

    kila la kheri.

  34. Comment by papai on October 16th, 2009 12:03 pm

    uuuuwiiiiiiiii, hii mijamaaa, blackmanhead and kichefuchefua imetokea wapiiii? wenzenu waneshatulia nyie bado mnasumbua tu. toeni hoja na changieni mada na siyo kushindania mambo ya kijinga. mnataka kupotosha maana ya bc. aaalaaaaa!!!!!!! maalbino wanauwawa huko, badala ya kutoa mawazo yanayojenga, tujue tutamaliza vipi hili tatizo kama taifa, nyie mnang’ang’ania kutuambia upuuzi, mara mnabukua, kwani nyie ndo watz wa kwanza kusoma, mara koshasi, mara mtoe email zenu, sasa mnataka tuwaandikie mtusaidie nini? kama mnachangia wa mawazo uwanja uko wazi hapa bc, na kama mnataka kutoa mchango wa hela kuna wahitaji wengi tu huko mitaani, hakuna aliye omba msaada humu. haya changieni mawazo yanayojenga na sitaki mtu anishambulie hapa. mkizidisha huo upuuzi wenu nawapa za uso!!!

  35. Comment by Hombiz on October 21st, 2009 7:26 pm

    Shamba la mwisho kabisa ni hilo blackmannen! Linabore tangu siku ya kwanza lilipozuka hapa BC!
    Sasa leo eti anajisifia anajua kuchambua hoja na makombora pia anayo. Cha mtoto wewe unacheza! Usicheze na umeme wa radi utaumia. Watu tunacheza na lugha zote mbili kwa ufasaha na kwa hoja za nguvu. Na sio kusifia mambo kwa ushabiki wa kilimbukeni kama ulionao wewe. Mipasho yako peleka zenj!
    Hizi kete za moto, ikigusa, lazima uumie!

Leave a Reply