president

Rais wa Marekani Barack Hussein Obama ametangazwa kuwa mshindi wa Tuzo ya Amani ya Nobel kwa mwaka 2009. Hiyo ndio habari kubwa iliyopo kwenye vyombo vingi vya habari vikubwa ulimwenguni hivi leo.Hongera Obama.

Kwa undani zaidi wa habari hii unaweza kubonyeza hapa na hapa na hapa.

Feedback / Comments

15 Responses to “OBAMA NA TUZO YA NOBEL”

  1. Comment by Flora on October 9th, 2009 10:22 am

    Congratulation Mr. Obama, You deserve it still more to come on your way.

    Wadau wote enjoy your week-end please look after yourself + your neighbor

    Cheeeeeeeeeeeeeersssssss!

  2. Comment by mwaipopo on October 9th, 2009 10:30 am

    hili jamaa sijui lichawi!

  3. Comment by Bingo on October 9th, 2009 1:30 pm

    I was an early Obama supporter and am still very much in the President’s corner.

    I don’t think that any President in modern times has had to face a deeper or more difficult or more complicated set of issues from the first moment he set foot in the White House, and I think he has done an exceptional job of methodically working his way through that horrendous set of problems. He has made a lot of decisions, and some of them are wrong, but many, many of them are turning out right. Congrats for that.

    On nuclear weapons issue, unfortunately, that has not been a level playing field and there has been an unhealthy concentration of nuclear weapons in some countries like US itself, Russia, Pakistan, India, etc. while some are not allowed to. To my opinion that’s a little bit unfair and to end the problem, all nuclear weapons’ power houses should demolish their plants, and they can take it from there on other countries. Congrats anyway.

    Peace out.

  4. Comment by perfect stranger on October 9th, 2009 4:01 pm

    kuna blog nyingi sana za kiingeleza nashangaa bingo anang’ang’ania hapa. nenda kwa wazungu wenzako. p….u! wewe!

  5. Comment by al on October 9th, 2009 5:09 pm

    In my personal opinion nathani hii zawadi imeingiliwa sasa! Obamamania aka stardorm sasa takes over every where ila nisiongee sana hongera zake! na he has a chance to prove that he deserves it!

  6. Comment by Geoffrey on October 9th, 2009 9:44 pm

    Mwaipopo, hamna uchawi hapo, Obama kwa muda mfupi anafanya mambo yanayokubalika ulimwenguni, its just shear hardwork, hamna cha uchawi hapo.

  7. Comment by SS on October 10th, 2009 6:28 am

    HOngera Rais Obama for the Peace Nobel Price

  8. Comment by Baba Tabita on October 10th, 2009 7:00 am

    Nami pia nampongeza Rais Obama.
    Kuhusu kitu kingine tofauti kabisa nina shauri moja tu: Ukiweka kiungo kama ulivyofanya huko juu kwa Tuzo ya Nobel ya Amani, mbona unarejea wikipedia ya Kiingereza badala ya sw.wikipedia.org/wiki/Tuzo_ya_Nobel_ya_Amani ?!?
    Wasalaam!

  9. Comment by kichefuchefu on October 10th, 2009 7:23 am

    BINGO!! BINGO!!! BINGO!!

    umekua unaongea kiingereza sawa MUAMERIKA WANGU.

    Nitakusahihisha kingereza chako hapo juu kama tu, utaniruhusu.

    nasubiri ruhusa yako, ila kwa haraka haraka, hebu angalia hii mistari yako halafu utume masahihisho yako mwenye.

    “On nuclear weapons issue, unfortunately, that has not been a level playing field and there has been an unhealthy concentration of nuclear weapons in some countries like US itself, Russia, Pakistan, India, etc.”

    …angalia hii mistari na uniambie kama ni sahihi?

    ..kama ni sahihi, basi uniambie na uniruhusu nami niiongelee, na kama si sahihi nakuomba ututumie masahihisho yake.

    sinto kusahihisha bila KIBALI KUTOKA KWAKO, ka sababu sitaki vita.

    ………………..nasubiri.

  10. Comment by muhogo mchungu on October 10th, 2009 11:40 am

    Hi Guys
    Ukiangalia tuzo bila kuangalia historia ya aliyemtangulia yaani Bushi, waweza sema Tuzo imewahi lakini ukizingatia sera za BUshi na chama chake cha republican, pamoja na sera za kibaguzi kwa misingi ya rangi, unaoa wazi kuwa Rais Obama atasitahili kabisa,
    ameweka historia ya kuwa Mwa African Mmarekani wa kwanza kuiongoza dunia, falsafa zake, sera zake na itikadi zake ni wazi obama kiboko

  11. Comment by BLACKMANNEN on October 12th, 2009 11:26 pm

    Wabongo kama ilivyokawaida yao ya kuwamwagia misifa viongozi wa nje. Ndivyo wanavyojikita sasa hivi, kumsifu na kumpongeza Obama.

    Mnachotakiwa kukielewa hapa Watanzania wenzangu ni kwamba, Obama bado hajafanya kitu cha kumfanya astahili kupewa tuzo hilo.

    Obama kapata tuzo la NOBEL, katika kumfanya, kisaikolojia, aiongoze Amerika na siasa za Amerika duniani, kwa mwelekeo wa siasa za AMANI.

    Ni njia mojawapo ya kumwambia kuwa, watu wanataka kuiona Amerika ikiwa pamoja na nchi zingine duniani, ikishiriana nazo katika kuleta AMANI, kinyume na ilivyo kwa sasa.

    Kwa kumpa zawadi ya NOBEL, Obama atakuwa si kipingamizi kikubwa, katika maswala ya mengi yahusuyo, mazingira, upunguzaji wa silaha za hatari duniani, kushiriki katika swala kupunguza umaskini duniani na mengine mengi.

    Kutokana na hali hiyo, kama kweli atashirikiana kwa karibu na wapenda amani wengine duniani, na kuyafanisha hayo. Hapo ndipo Obama atastahili kupongezwa, sio sasa hivi. Bado hajafanya kitu.

    Kuwa kiongozi wa kwanza mweusi, sio kigezo cha kumpa zawadi. Maneno yake mengi na ahadi zake kibao, sio kigezo cha kumpa zawadi hiyo.

    Tusubirini tuone atakachokifanya na tuone mafanikio yake. Tusirukie kummwagia misifa na pongezi tele tele, bila kuelewa sababu ya kupewa kwake zawadi hii.

    It’s Great To Black=Blackmannen

  12. Comment by Hombiz on October 14th, 2009 12:52 pm

    Congratulation Mr. President.

    I think all 205 nominees for 2009 Nobel Peace Prize, had tremendous contribution to the development of peace in the world. However, the inventor, pacifist, entrepreneur, author, and scientist Alfred Noble established this price in November 27, 1895 when he wrote and signed his last will in Paris. Late Noble clearly wrote that the price should go to the person who shall have done the most or the best work for fraternity between nations for the abolition or reduction of standing armies and for the holding and promotion of peace congresses. Currently, the concept of peace has been expanded and now it includes the fight against climate change and poverty.

    Now, frankly speaking, who among those 2009 nominees do you guys think should have won this prize instead of President Barrack Obama? To be honest with you, I think Mr Obama deserves it. His unifying and peaceful ideas/efforts did not start last year when he was running for presidency. He has been like that for a minute now since a first heard of him. Obama has been talking about peace and unity prior to running for senate seat. Moreover, President Obama has been preaching about peace, love and respect to his subjects nationally before transforming into being an international peace advocate. Mr Obama did not end his peace and reconciliation ideas there. Instead, he went further and insisted on the importance of U.S.A and the Muslim word working together reducing tensions between these two rivals which were intensified by former US President George Bush and his Republican Party Associates. Mr Obama has always been enthusiastically practicing what he preaches on stage. He took that enthusiasm all the way to the white house when he became the first multiracial President of U.S.A. in January 20, 2009. Despite of being criticized by his opponents, media critics, and Republican Party, for even trying to implement his good policies, Obama still stands firm and does not let his bad wishers pull him down.
    Although Bush and his buddies messed up the economy and the U.S. international relations by forming their crazy foreign policies, President Obama and his team do their best to revive the economy and repair the U.S International relations by eradicating Bush’s jacked up foreign policies. Unlike Bush, Obama has not shown any sign of misusing his presidential power.

    President Obama, I have faith in you and your team. I strongly believe that, together as a team, you’ll fix this mess although it will take some years before we start to see some improvements.

    Lastly, I would like you to receive all my blessings on your “GREEN WORLD” plans.

    Once again, congratulations Mr President!

    Keep up the good work!

  13. Comment by Hombiz on October 14th, 2009 1:03 pm

    I meant prize and not price. Samahani, mfupa hauna ulimi.

  14. Comment by BLACKMANNEN on October 17th, 2009 1:27 am

    Hombiz, tunakujua wewe jinsi unavyowahusudu wazungu na viongozi wa USA, na upo tayari hata kuwalamba kule, wakikutaka kufanya hivyo.

    Kikwete kafanya makubwa Tanzania katika yote uliyoyasema hapo juu, kuhusu Obama, lakini, Kikwete, kwa vile ni Mwafrika ni heri akafie mbele.

    Lakini Obama, japo hajafanya kitu USA na duniani, unabaki na matumaini ya kwamba atayatimiza aliyoyasema, na unammwagia misifa kibao.

    Endelea kuwa na imani na Obama wako, na endelea kuumdharau Mheshimiwa Kikwete aliyechaguliwa na mama yako, ili awe Rais wa Tanzania.

    Sisi waafrika tuna amini kuwa, mtu unaweza kuzaa mtoto mwema na mtoto “haramu”. Wewe “Hombiz” ni kati ya watoto hao. Maana ya maneno haya, waulize waarabu, watakufafanulia.

    It’s Great To Be Black=Blackmannen

  15. Comment by Hombiz on October 21st, 2009 7:13 pm

    Wewe Blackmannen utabaki kuwa zuzu tu mpaka dunia hii itakapopindukia. Huu ni ukurasa wa Obama wewe unataka nimsifie Kikwete. What the hell is wrong with you!? Nilichokiongea hapo juu ndio kinabaki kuwa ukweli hata kama juha kama wewe hutaki. Hayo makubwa kama ya Obama aliyoyafanya kikwete yako wapi!? Amani gani ya dunia kwa matazamo wako wewe inaweza ikaharibika iwapo Kikwete asipoongoza vema!?
    Huyu rais mwenye asili ya Afrika na kijana wa USA, Obama ni raisi wa dunia. Hivyo asipotumia busara ya hali ya juu, anaweza kuharibu kabisa amani ya dunia nzima. Walimpa tuzo hii waliangalia mbali sana. Hawana akili fupi kama wewe Blackmannen unaisifia vitu kwa ushabiki tu usiokuwa na maana wala manufaa kwa yeyote bali mabash- wako mafisadi.

    Ondoa ujinga hapa BC. Toa hoja zenye manufaa kwa wasomaji na mataifa yao na si ugoro.

Leave a Reply