
Kwa mara pili,Illuminata James,anapata nafasi ya kuiwakilisha Tanzania katika medani ya kimataifa ya masuala ya urembo.Safari hii anaelekea nchini China kushiriki katika shindano la Miss International 2009 linalotarajiwa kufanyika tarehe 28 mwezi huu.
Illuminata amepata nafasi hiyo baada ya aliyekuwa aiwakilishe Tanzania,Hidaya Maeda,kushindwa kufanya hivyo kutokana na sababu za kiafya.
Kama utakumbuka,Illuminata ndiye aliyeiwakilisha Tanzania katika shindano la Miss Universe lililofanyikia Bahamas.Kwa bahati mbaya,hakufua dafu.Bila shaka atakwenda kutumia uzoefu alioupata katika Miss Universe ili kuleta ushindi kutoka Miss International 2009.Kila la kheri.
Feedback / Comments
15 Responses to “ANOTHER CHANCE FOR ILLUMINATA!”
Leave a Reply


Gooooo Girl.
I salute you!!!
I have no hope
Watanzania acheni wivu. Kwa mara ya kwanza Miss wa ukweli kapatikana Tanzania halafu mnambania comments zenu. Wivu utawauenu huo ohooo. Si afadhali mjisifie hawa manake hakuna kingine chakujisifia kama uchumi sifuri, siasa sifuri kila kitu sifuri tupu. Ila dada nanihii uwe unavaa nguo sio unajibandika full waziwazi namna hiyo allah
…Ni mzuri……ingawa kuna watu amabao huponda kila kitu….na kila mtu….kweli ni mzuri…..Kila la kheri!
ziro ziro, hamna kito apo. tz tukiwa ndo tumeamka na kutafuta miswaki ilipo wenzetu wamefika chalinze
Hapo tumeshapigwa 3-0!!
Hapa mie sikioni hicho kiachopigiwa makelele na kuwa gumzo ,labda sasa tuseme watu wengi hapa Tz akili zao zimeanza kuathirika na Global W.
Kila la KHERI!
she is cute, you go girl
Best of her!
She is cute, i foresee her being the world winner!
kwani wa warembo wameisha bongo huyo ameshachemsha tusker hana kitu
kama sura ndo urembo tumeshakosa nyie vp?
Wacheni wivu wabongo,kwani jukumu la kuwapata warembo nilanani?anzisheni mashindano yenu muwatafute mnaodhani wanafaa.Afrika inanchi ngapi?na nchi ngapi za Afrika zimeshiriki au mlitaka tusishiriki kama miaka ya themanini kurudi nyuma ambayo hata baadhi ya mawaziri wa ulaya walikua hawajui kama kuna sehemu duniani inatwa Tanzania.kama hamjui kusifia chakwenu huo ni ushamba na lengo kuu ni kuitangaza nchi kwa maslahi ya wananchi katika swalazima la utalii wa nje .All the best garl.
Ni mzuri ila kushinda sijui..nyie mnaosema watu wasitoe ´negative comments´nyie ndio washamba..dunia ya leo ni kuwa na ´own opinion sio kwenda na mto sawaß So kama mtu anaona huyo dada hafai well n good that is her or his opinion that is all..tujifunze TO AGREE TO DISAGREE