Anajulikana kwa jina la Young D.Inasemekana ndiye hip-hop artist mdogo kupita wote nchini Tanzania.Tarehe 23 mwezi ujao(December) atafikisha miaka 17.Nimeweka neno ‘inasemekana” kwa sababu naamini wengine pia wapo ila huenda suala zima la “kujulikana na kukubalika” ndilo linalowaweka nyuma ya pazia.
Hivi karibuni kulikuwa na “ubishi” kwamba nani anamuandikia mashairi yake.Aliongea na Bongo5 na kuweka mambo wazi kwamba yeye anaandika mwenyewe tungo zake.Msikilize Young D hapo chini katika wimbo Teacher.
Audio clip: Adobe Flash Player (version 9 or above) is required to play this audio clip. Download the latest version here. You also need to have JavaScript enabled in your browser.
Photo/bongo5
Feedback / Comments
12 Responses to “BONGO YOUNGEST MC!?”
Leave a Reply


je kaimba mziki gani? tuwekee kazi yake tuisikilize sio mnaweka maneno tuu
Kwakweli huyu mtotoni mkali sana. Ni mwana hip hop wa ukweli. Namkubali sana. Keep it up dogo.
Hebu kazania masomo wewe dogo usije ukadhani maisha ni hip hop na kuuza sura. You are too young to do this shit. kama unaweza kubalance sawa ila ninavyojua mimi wengi kwa mfano chekibobu BLU wameshindwa kufanya hivyo
big up kwa kweli aisee we mkaliiiiii
aisee huyu mtoto nomaaaaaaa namkubali kwa sana tu, ila asisahau masomo
Kusema kweli Dogo ni mkali sana,Siyo vibaya kufanyia kazi kipaji chako wakati unasoma,jitahidi usikatiswe tamaa dogo.
aliwahi kuulizwa kama ana demu? akajibu hiyo ni sri na hawezi kuiweka hadharani, kwa jibu hilo inaonyesha wazi keshaanza ngono huyo mtoto!halafu sisi tunamshangilia na kumuita mkali.sijui tuna matatizo gani waafrika! mtotto anapotea sisi tunamuita mkali?
kuhusu mapenz kila m2 anahaki yake ww unashangaa 17 kuwa kuwa na mpenz wkt nw dyz w2 wana anza wakiwa prmry xkul sembuse yy kamalza sec xkul cha msingi ajipange 2 acjekuharibu
kaka siku hizi mambo ndo hayo,watoto wanaanza kungonoka mapema.huku kijijini kwetu watoto wa umri huo wengine wana watoto wenzao.hapa tu tumwombe mungu.
Wee bongo celebrity we unapo promote undeage kids kuwa mastaa hauoni ni noma, au tanzania hakuna sheria za child labor? usibanie hii
duu ebwana mwanangu d we kaza buti coz ndo kipaji one love am jos yo real nigga
mwanangu hicho kibamba kikali kilete mombasa wenzangu waskize… kazi nzuri mtu wangu, big-up