Unapoongelea wanamuziki wa Tanzania ambao wanafanya kazi nzuri ya “ubalozi”,bila shaka hutothubutu kumsahau Jhikoman.
Hivi karibuni aliunguruma katika jiji la Tampere nchini Finland.Hizi hapa chini ni baadhi tu ya picha kutoka katika concert hiyo.Well done Jhikoman.

Can you feel it?

We are rockin’

With Jhikoman,it’s a full show.

Thank you for your support.
Feedback / Comments
Leave a Reply

