Hivi karibuni,wakazi wa kijiji cha Goha kilichopo wilayani Same walikumbwa na janga la maporomoko ya ardhi ambayo yalisababisha vifo vya watu 24.
Pichani juu ni Mheshimiwa Anna Kilango ambaye ndiye Mbunge wa eneo hilo akilia kwa uchungu baada ya kufika kijijini Goha.Mungu azilaze mahali pema peponi roho za wote waliopoteza maisha katika ajali hiyo.
Kwa picha zaidi unaweza bonyeza hapa.
Feedback / Comments
2 Responses to “POLE MAMA!”
Leave a Reply


sending...
Tehe tehe tee! Analia!
Hiyo yote kutafuta kura za wapiga kura tu hapo. Hamna lolote.
Wakati wa kampeni huwa wanawaamkiaga mpaka watoto wadogo hao – “Shikamoo Mwanangu”, kisa kutafuta kura.
Tehe tehe tehe! Kaaaz kwel kwel.
poleni sana wafiwa! ila kuweni makini na hao wanasiasa! hayo machozi yao yanaweza kuwa kampeni tosha!