Katikati ya mwaka jana,mwanamuziki Kelly Rowland kutoka nchini Marekani alikuwa na ziara ndefu ya barani Africa kwa hisani ya MTV kwa ajili ya kutembelea na kujionea harakati mbalimbali za kupambana na ugonjwa wa ukimwi.Alipitia sehemu nyingi ikiwemo Tanzania.Alifika mpaka “Uwanja wa Fisi”.Hii hapa ni Diary yake kuhusiana na safari hiyo.
Diary of Kelly Rowland from mtv staying alive on Vimeo.
Page 1 of 3 | Next page