M-Net Face of Africa 2010 - The Top 12

Visura 12 wa M-Net wanaowania nafasi ya kuchuana kwenye fainali za kumtafuta kisura wa Africa(M-Net Face of Africa) zitakazofanyika katika jiji la Lagos, Nigeria, Februari 6, 2010.

Feedback / Comments

7 Responses to “M-NET FACE OF AFRICA”

  1. Comment by BLACKMANNEN on December 23rd, 2009 10:16 am

    Mimi sijaona mwanamke hapo. Ninachokiona mbele yangu ni “mifupa” ya wanawake wakipiga picha ya pamoja.

    Mambo kama ndiyo haya, basi M-Net mnayo kazi. Na kazi yenyewe sio ndogo kama mnavyodhani ninyi. Mijike hiyo ni mibaya kweli kweli hakuna mfano.

    Watanzania mlikuwa wapi kuingia katika mashindano haya ili mjichukulie ushindi wa “bure?”, maana hapo hakuna anayemsogea demu wa Kitanzania kwa sura wala maumbile. Tanzania kuna watoto wakali utadhani ni mashetani.

    Kinachotuangusha sisi Watanzania katika mashindani haya ni “Uhamnazo” wakati tunapohojiwa na jopo la majaji wa shindano.

    Watanzania kwa uzuri ni wazuri sana. Siri ya uzuri wetu ni kuchanganya damu zetu za makabila yetu zaidi ya 100 tuliyonayo Tanzania. Hatuoani kwa kufuata ukabila wala udini. Tunathamini sana penzi zaidi, na wakati mwingine “pochi”.

    Mungu endelea kuibariki Tanzania na watu wake wote na hata waliopo nje ya Tanzania. Amen!

    It’s Great To Be Black=Blackmannen

  2. Comment by sele on December 24th, 2009 4:44 am

    namimi naunga mkono kwakweri mabinti hao wote si wazuri sana hakuna wala shepu naona namimi mifupa tu watanzania musilale kaeni mkao wa kushinda

  3. Comment by Mwanamke wa Shoka (UK) on December 27th, 2009 6:08 pm

    he he he heeeeeeeee!!…Hao mabinti wana utapiamlo ama?….This is utter madness and stupidity…..kuna wengine tunawasikia huwa wana-collapse…wakiwa kwenye hizo pageants zao…

  4. Comment by Mwanamke wa Shoka (UK) on December 27th, 2009 6:12 pm

    Blackmannen umesema vema…unajuwa tunatakiwa tuwafundishe mabinti zetu namna ya kupozi na kujibu maswali kwa confidence…ila na lugha nayo tuwape tafu wajuwe fluent english….ushauri kwa mabinti zangu hapo Bongo ni mjiendeleze kwa courses mbalimbali….haza lugha za kigeni….Kiswahili ni poa…lakini hakitumiki saana katika International fora.

  5. Comment by Anna mcicha on December 27th, 2009 6:13 pm

    Namshukuru mama yangu kunizaa Tanzania kuna watoto si mchezo.

  6. Comment by nengai on December 30th, 2009 9:32 am

    ur all wrong dos gulz r wat we call super models n they fit 4 da jog chap guys.on aza side tz gulz r hot but mannerless most of dem r blank.tx

  7. Comment by Glamorous! on September 16th, 2010 9:47 am

    Oh God, some people will never change,. this is a different world now, if you dont fit in tafuta style zako you Dig. ndio maana hamuishi kuumwa magonjwa ya moyo mnataka miili mikubwa inawaletea magonjwa kibao., by the way thats how the world of fashion inavoenda., Kama we ni mwanamke weka picha yako hapa tukuone, na kma ni mwanaume hebu leta picha yako na mpenzio na dada zako tuone km wanafikia urembo huo.
    hauna uwezo wa kuwa na mrembo km hao ndo mana mnaishia kuponda.,
    ishini maisha yenu wao wamechagua hivo na nyie si mwende mashindano mengine yanayotaka vigezo kama vyenu.
    come on People Be real acheni kuponda mambo msiyoyajua.,
    we pelekamrembo wako bonge uone km atafanya vizuri mashindano ya dunia na ngazi za juu,.sio kwasababu ni wabaya hapana bali ni sababu hawajakidhi viwango wanavyotaka wao likewise kwa Miss bantu.
    Badilikeni., msikae kukatisha watu tamaa kila mtu anamaisha yake.

Leave a Reply