MTABIRI maarufu wa Afrika Mashariki, Shehe Yahya Hussein ametabiri kuwa Rais Jakaya Kikwete atashinda kwa kishindo katika uchaguzi mkuu ujao na atakayempinga ndani ya chama chake atakufa ghafla.
Sambamba na hilo, atakayeonekana kumshinda nje ya chama chake pia atapoteza maisha vivyo hivyo.
Akitoa utabiri wake jana Dar es Salaam, juu ya uchaguzi mkuu mwakani, Shehe Yahya alisema ushindi wa Rais Kikwete unatokana kurithishwa na Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere mwaka 1995 ilipodaiwa kuwa Rais Kikwete alishinda kwenye kura za maoni lakini akamsihi amwachie Benjamin Mkapa.Kwa undani wa habari hii bonyeza hapa.
Je huu unaweza kuuita “utabiri” au ni…Unakubaliana naye ?Kwanini ?
Pichani juu ni Sheikh Yahya akiwa nyumbani kwake mapema mwaka huu.Ubavuni mwake ni mkewe Bi.Fetty
Feedback / Comments
15 Responses to “SHEIKH YAHYA ATABIRI USHINDI KWA JK MWAKANI!”
Leave a Reply


sending...
nadhani jamaa ni moja wa wanamtandao
Asituletee mapepo yake,kwani Kikwete akishinda lazima mtu afe,km wanamtoa kafara waseme tu,na hilo gazeti walilomweka huyu shehe nalo mhariri wake hana akili km shehe huyo,what if mtu ndio kwanza anaingia nchini kwetu kwa mara ya kwanza anakutana na habari za huyo shehe tena kwenye front page anaichukuliaje Tanzania?upuuzi mtupu
Now this is rubbish…who listens to this guy?…Wananchi will decide who they want to lead them,, not someone who instills fear….no one should listen to this person.
Huyu jamaa bado anataka kuturudisha miaka ileee ya kuamini mapepo , acha demokrasia ichukue mkondo wake , kwa mtu mwenye akili timamu jamaa anaonekana kama mchekeshaji tu
mambo ya siasa c yangu,lkn jamani mke wa shekh mmemuona?shekh yahya unatupima imani.maana hapo
mishipa njenje
vibweka vya Bongo hivi…..uchwara mtupu…kwa nini wanaendekeza mambo ya vifo…kushinda na na kushindana ndio mambo ya si-hasa hayo…sasa eti atakayemshinda atakufa…..huu ni uchochezi wa kipumbafu saana….
The guy needs a BRAIN SUGERY!
jamaa chizi hilo!! ye kama nani kwanza anataka watu wafe?? sasa atakufa yeye na hayo majini yake ya kipumbavu,tanzania we live in peace n gud wishes to everybody for da gud and bad,da fukn shit u tokin aint gonna happen, go to yo fukin house in hell.
utabiri gani huo sasa???? asitufanye sisi watanzania wajinga. atuache tuwe na democrasia yetu na apeleke mauchawi yake huko huko….
huyu mzee ni muongo wa kutupa,asijifanye anajuwa “ghaibu”akatisha wenzake,hana lolote anatafuta njia ya kula tu kwa huo anaouita utabiri,si unajua tena TZ mambo yake?ukimfagilia mtu basi ndio weweumekula tu,kwani huyo JK amefanya lipi kubwa?si utumbo mtupu tu kama JK.1, RUHSA, KITAMBI,wote ni wachovu tu na wasanii na wizi,mzee yahya kula kwa nguvu zako,fanya kazi usiseme uongo!!!!
Umekosea hakusema atakayempinga nje ya chama chake cha CCM bali kasema ndani ya chama. Hii inawezekana kwani si anaweza kufa kwa presha kwa sababu jakaya ukweli ni kwamba anakubalika kuliko mtu mwingine yeyote ndani ya ccm.
Anayosema naweza kuamini. Aliwahi kusema uchaguzi Zanzibar utarudiwa mwaka2000 watu walibisha, akasema Mkapa ataongezewa muda baada ya kufa mtu, ikatokea akatabiri kuwepo serikali ya mseto Zanzibar kina shamuhuna wakabisha lakini yanatokea. Hili pia siwezi kubisha mia kwa mia kutokana na ushuhuda huo. Mnasemaje wadau?
papai! Oya…papai shwari???? heri ya mwaka mpya kwako na kwa wote humu!
……nimeingia tu humu……….sina mbavu….! hahahaha!
….kwanza huyo shehe ana nguvu za kumfikisha huyo sister du?????? naona kuna gep la milolongo kati yao………but kwa nini wanawake hupenda kujizalilisha…….????
…..mtabiri??? ushuzi mtupu!
he he he heeeeeeeeeeeeeeee Kichefuchefu hapo juu umenichekesha saaaaaaana….wadau humsaidia kumfikisha bibie….ama tuseme nini sasa jamaaani…
Tapeli wa mawazo huyo babu. Ni mchawi tu wala hana lolote jipya.Akawadanganye watu wenye akili kama ya kwake ya kuendekeza ushirikina.