
Kwa niaba ya timu nzima ya BC,napenda kuchukua nafasi hii kukutakia kila la kheri katika wakati huu wa kusherekea sikukuu ya Christmas.Utumie wakati huu kuwa karibu na wale uwapendao na pia kupumzika kidogo kama inawezekana.
Pia ni wajibu wetu kukumbushana; Usiendeshe gari kama umekunywa.Ni hatari kwako binafsi,abiria wako na watumiaji wengine wa barabara.
Jizuie.Ikishindikana kabisa,tumia kinga.Tunakupenda.
Christmas Njema.
Feedback / Comments
5 Responses to “MERRY X-MAS TO YOU!”
Leave a Reply


sending...
Kaka Jeff na timu nzima ya BC
Kwa niaba ya familia yangu na wapenda mema wote nawatakia kila lililo jema wakati huu wa sikukuu na usalama kuelekea mwaka mpya
Baraka kwenu
Heri ya Krismasi kwenu wote pia! asanteni kwa site hii MWANANA.
Jeff na kikosi kazi cha BC na familia heri ya msimu kwenu pia. Hongera kwa kazi njema
HERI YA MWAKA MPYA 2010 KWENU WOTE NAWATAKIA KILA LA HERI. XXXXXX
Nawatakia Kristmass Njema na Mwaka mpya 2010 asanteni sana.