MY TANZANIA   |   PLACES TO GO   |   MEDIA   |   ONLINE ENTERTAINMENT    

Nilipokuwa kijana zaidi,miongoni mwa wanamuziki niliopenda kuwasikiliza alikuwa ni Sade.Niliupenda zaidi wimbo wa Smooth Operator Enzi hizo sikujua kama Sade pia ni jina la bendi anayoiongoza ambayo inabeba jina lake.

Huyu ni mzaliwa wa kule Ibadan,Oyo State nchini Nigeria aliyekulia nchini Uingereza.Wazazi walikutana nchini Uingereza kisha baadaye wakaenda kujaribu kuishi nchini Nigeria.Mambo hayakuwa mambo na hivyo akiwa bado kinda kabisa akarejea Uingereza na mama yake.Jina lake halisi ni Helen Folasade Adu na alizaliwa tarehe 16 Januari mwaka 1959.

Baada ya miaka kadhaa yenye mafanikio makubwa katika muziki,Sade walipotea.Sasa mwaka huu,mwezi wa Februari,wanarudi.Albamu inaitwa Soldier of Love.

You need to a flashplayer enabled browser to view this YouTube video

Share and Enjoy:
  • Digg
  • Sphinn
  • del.icio.us
  • Facebook
  • Mixx
  • Google Bookmarks
  • email
  • LinkedIn
  • Live
  • Spurl
  • Technorati
  • Yahoo! Buzz
  • YahooMyWeb

Feedback / Comments

2 Responses to “UNAMKUMBUKA SADE?”

  1. Comment by Khemali on January 2nd, 2010 3:13 pm

    One of the best vocalists.Sikujua kama huyu demu ni mwafrika.Duh..

  2. Comment by Fredrick on January 5th, 2010 9:38 am

    Nimefurahi Mwaka 2010 ni wa real Talents..Can’t wait for Sade’s Soldier of Love and Toni Braxton’s Pulse..It is going to be a great year in Music..

Leave a Reply