jacob-zuma-001

Rais wa Afrika Kusini,Jacob Zuma(66),anatarajiwa kuoa kwa mara ya tano hapo kesho huko kijijini kwake katika jimbo la KwaZulu- Natal nchini Afrika Kusini.Anatarajiwa kumuoa Tobeka Madiba mwenye umri wa miaka 37 ambaye tayari ameshazaa naye watoto wawili.

Kwa mujibu wa gazeti la Sunday Times,maandalizi ya harusi hiyo ambayo itafanyika kimila,tayari yamekamilika na kinachosubiriwa ni wageni waalikwa kuanza kuwasili tayari kwa shughuli hiyo.

Ndoa za zaidi ya mke mmoja zinaruhusiwa kisheria nchini Afrika Kusini.

Feedback / Comments

7 Responses to “JACOB ZUMA KUOA MARA YA TANO KESHO!”

  1. Comment by Hope on January 3rd, 2010 3:24 pm

    The guy needs to be screened&**&* There is definitely something wrong with his brain. I wouldn’t want such a confused character to be my president …. five wives to advise one head of state .. Naah!!

  2. Comment by Hope on January 3rd, 2010 3:36 pm

    What about the 4th wife (Gloria Ngema)on the way! Why should any nation enter into such ‘first ladys” expenses? Isn’t there decent men who can lead South Africa?!

  3. Comment by Flora on January 4th, 2010 10:13 am

    What hell is that? whats wrong with that woman? Is she hungry to be called FIST LADY or LAST LADY? The man enjoyed his life up to fully capacity still want to waste peoples time is there any circumstances forced that woman to be married to that man anyway its none of my concern. Good luck remember to go for HIV test…… before……

  4. Comment by TM on January 5th, 2010 5:18 am

    Flora remember this guy had a HIV scandal ya kubaka n he confessed in court kwamba alibaka na kutoa some traditional excuses ect yaani jamani mkisoma huo mwenendo wa kesi mnaweza kulia na kuuliza hivi is this guy serious??…now he is marrying na i am so schocked when thy voted for him to lead South Afrika…ingekuwa nchi nyingine mgombea raisi mwenye ma scandal kama hayo asingekuwa na chance kabisa ila kwa sababu ni Afrika basi watu hawajali..

  5. Comment by MM on January 5th, 2010 5:21 am

    jamani huyo jamaa badala ya kuongoza nchi ambayo inaelekea pabaya sana baada kuanza kutawaliwa na mwafrika yeye anaenda kuoa, yaani hii ndio ile typical mwafrika akipata cheo lazima aoe mke mwingine jamani..wala simfagiliii kabisa…halafu sijui hajaenda shule vizuri huyo maana mambo anayofanya hayaeleweki..

  6. Comment by ndotto on January 5th, 2010 5:39 pm

    safi sana zuma iburuze tu hiyo nchi kwani hata wana inchi wake hawana hakili walivyochoma watu moto walizani nini na bado tafuta na mwingine uowe mpaka iwe kama zaire(congo)

  7. Comment by BLACKMANNEN on January 7th, 2010 8:15 pm

    Nimeyasoma kwa umakini mwingi maoni yenu wote hapo juu na nimewaona kuwa watoa maoni wote nyie mna wivu usiokuwa na kifani.

    Vifaa (Ladies) vyote vitatu hapo juu vya Mzee Zuma ni vya nguvu tena ni moto wa kuotea mbali.

    Ninyi endeleeni kumsiriba uchafu Mzee wa watu, eti oooohhhh ni mgonjwa… ooohhh, sijui nini….!!!!

    Kuna wanawake wengine hapo juu waliotoa maoni, sura zao mmmmhhhhh japo ni vijana. Ukikutana na sura zao usiku utadhani umepambana ana kwa ana na “msukule”.

    Hawamfikii wala kumsogelea kwa uzuri mke mkubwa wa Zuma, mwenye kofia bluu, njano na nyekundu, aliyeko kushoto kwa Mzee Zuma.

    Mzee Zuma naona anapenda sana “milk”. Hiyo ni kutokana na tuonavyoona sisi wataalamu wa maswala yote ya mambo ya ndani, ukiwangalia Mai Waifu zake wote.

    It’s Great To Be Black=Blackmannen

Leave a Reply