Model-Taji

Sitaki kusema mengi leo.Kama unapenda unachokiona pichani basi mtembelee Master Taji Liundi katika blog yake ya u-modo kwa kubonyeza hapa.

Ukitaka kusoma mahojiano yangu na Taji Liundi(Master T) hivi karibuni,bonyeza hapa.

Feedback / Comments

5 Responses to “ASPIRING MODELS”

  1. Comment by jobara on January 6th, 2010 6:59 pm

    aaaiiii mtuume mtoto amekaa kirwanda huyo!cheki guu hilo linavong,aaaa.utakua wa nyumbani tu kulee nanihiiii.

  2. Comment by kiondo on January 7th, 2010 3:38 am

    ukweli dada ni mrembo lakini hana qualities za kimodel kwani nimewahi kuona shoo zake kama 2 hivi sijawahi kufurahishwa nae hata kidogo kwani on stage sio mchangamfu na mara nying anatazama chini, anapokaribia na mwisho wa stage anatamani akimbie ili tu amalize nadahani anapambwa zaidi na vyombo vya habari ili awe juu lakini ni bora akaelezwa nini anatakiwa kufanya ili awe professonal model. urembo pekeee sio kigezo cha kuwa prof model. angalia dada kama alec wek yuko pale kunadi nguo za za watu tofauti na warembo wetu wa hapa anataka ajinadi yeye ni bado ila nadhani tutafika.

  3. Comment by Nicholaus on January 8th, 2010 8:35 am

    Ebwana yupo poa,cha msingi akubali kushauriwa.

  4. Comment by BLACKMANNEN on January 9th, 2010 5:22 am

    Ahsante sana Bwana Kiondo kwa kutupa picha kamili ya huyu mdada ambaye sisi wengine wenye papara, tulikuwa tayari tumelewa na sura yake, na usumbufu wetu tayari tuliuelekeza kwa Bongocelebrity ili kupata contakt zake.

    Maelezo yako Bwana Kiondo, kwa mhusika akiyasikiliza, ni bonge la shule la bure kwake, ambalo litamsaidia huko mbeleni katika shughuli zake za ulimbwende.

    Lakini kweli ukimtamaza, ni toto la nguvu. Mpaja huo, weee acha tu. Mie simo, mama asinifinye kwa hilo.

    This Is Black=Blackmannen

  5. Comment by Granted on January 24th, 2010 9:26 am

    Binti amependeza inategemea maandalizi na jinsi atakavyo jiwakilisha mwenyewe. Mi nampa pointi za kutosha kabisa na kumtakia kila la heri.

Leave a Reply