Imekuwa gumzo ulimwenguni kote.Ni filamu kutoka kwa Muongoza Sinema(Film Director),James Cameron. Huyu ndiye pia aliyetengeneza filamu maarufu ya Titanic.
Mpaka hivi sasa imeshaingiza zaidi ya $ 1 billion katika mapato ya sehemu mbalimbali za ulimwenguni.Rais Barack Obama na familia yake,waliitizama walipokuwa vacation huko Hawaii hivi karibuni. Ilibidi secret services watoe kila mtu kwenye jumba la sinema ili Obama na familia yake wapate kuiona bila bugudha au tishio lolote.Mambo ya wakubwa hayo!
Umeshaiona Avatar? Mimi sijaiona bado.Nipe ushauri.Nikaitazame pia au nisubiri tu kuiazima kwenye DVD? Tizama trailer yake hapo chini.
Feedback / Comments
2 Responses to “UMEIONA “AVATAR”?”
Leave a Reply


sending...
avatar ni filamu ambayo lazima uione kwenye sinema, hasa hasa in 3D. It is the greatest movie I have ever seen. I recommend ukaitazame kwenye sinema
Wadau vipi je hii movie imeshafika Dar pale Mlimani city?