
WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda ana kama Sh25 milioni kwenye akaunti yake, nyumba tatu za kawaida zilizo Dar, Mpanda na Dodoma na gari alilolinunua kwa mkopo.
Ili kujua zaidi kuhusu alichonacho” Mtoto wa Mkulima” mtembelee Yahya Charahani kwa kubonyeza hapa
Feedback / Comments
6 Responses to “WAZIRI MKUU PINDA ATANGAZA MALI ALIZONAZO”
Leave a Reply


sending...
Safi sana mkubwa kwa kuweka wazi asset hizo,ni mfano wa kuigwa kwa wazee wengine wa serikali.akina vijisent mpo?
WEWE MHESHIMIWA PINDA KWA BONGO YETU YA LEO HAINA SHUKURANI,.ACHA USHAMBA CHOTA MALI WEWE WAFUNGULIE WANAO MIRADI YA MAANA,.OHOO WAKATI NI MALI ,.UKISHATOKA TUTAKAA PUNDE NA KUKUCHEKA KUWA UMEONDOKA MASKINI AU HUTUJUI WABONGO ILIVYO HULKA YETU?NA HUJUI KUWA MASKINI HAPENDWI>?ACCOUNT YA MILIONI 25 NI HELA NDOGO SANA KWA MKUBWA KAMA WEWE..HATA MIMI KIJANA WA MIAKA 35 NAKUSHINDA NA SINA HATA MIAKA MIWILI TOKA NIMEANZA KAZI BONGO HAPA NILIPO,.ANGALIA FAMILIA YAKO KWANZA,.JIANGALIE NA WEWE MWENYEWE HAPO BAADAYE.KWANZA SH.YAHYA KASHA KUTABIRIA KUWA KIPINDI KIJACHO HAUPO,.SASA WANAO WATAKUKUMBUKA KWA NINI,.MAANDISHI TU YA KIHISTORIA BILA RASILIMALI PESA? CHANGAMKA BOB,..ZALI HILO
mkubwa upo juu sana lkn hizo 2 ndio mali zako naona km umekuwa kwenye sistim muda mrefu hauoni km una2fumba macho?ila big up coz wengine ata ujasiri km wako hawana.
Hi njie mnaosema aibe pesa jamani kila siku tunalia kwamba mafisadi wanafilisi nchi nyie ndio mbio mnataka eti aibe pesa za serikali. Kweli nimeamini Afrika kamwe haiwezi kuendelea acha wazungu watucheke tu na haya maendeleo fake yetu
MamaSS napenda kukujibu kama ifuatavyo nakwambia acha maramoja kutudhalilisha waafrika sisi tuko mbali zaidi kulinganisha na wazungu … u know y? matajiri wa kizungu wanakaa visiwani nambie watanzania hawakai Ukerewe, kojani, tumbatu, fundo, kisiwapanza na zenji yenyewe…! Kama wao hawapendi ufisadi wazungu kwanini wanawaruhusu mafisadi kufunguwa akaunti katika nchi zao..!? Dhahabu inatoka wapi na inakwenda wapi ?? Usiwe Mpumbavu wala usidanganywe fikiri ndipouseme.
Mh. Pinda acha kutuchanganya na wewe … nyumba tatu na gari moja pamoja na taslimu ya 25 milioni wadanganye watoto wadogo na sio wapemba wenye akili zao. Kwaheri
Mh Pinda sijakuelewa kabisa! yaani toka enzi za babu mzee Nyerere ukiwa palepale ikulu hadi leo.