
Siku chache zijazo,tarehe 25 mwezi huu kwa uhakika,Fareed Kubanda au maarufu kama Fid Q anatarajia kuiweka sokoni albamu yake mpya ambayo ameipa jina Propaganda.
Hivi karibuni ametoa single moja kama utambulisho wa kitachokuwepo katika album hiyo. Single inakwenda kwa jina la Danger akiwa amemshirikisha J-Bryant.Usikilize kwa kubonyeza player hapo chini.Usikilize kwa makini.Sikiliza midundo,hisia,ujumbe uliomo na kisha sema usikike.Kwa ufupi ninachoweza kusema ni kwamba kuna utofauti…
Audio clip: Adobe Flash Player (version 9 or above) is required to play this audio clip. Download the latest version here. You also need to have JavaScript enabled in your browser.
Feedback / Comments
9 Responses to ““DANGER”-FID Q Ft J-BRYANT”
Leave a Reply


sending...
mwanangu na kukubali umetulia napia unachana inavyiotakiwa. fid q upo juuuuuuuuuuuuuu
Kwa staili hiyo,.bado nashindwa, unawakilisha nani wabongo au wamarekani?umejaribu kuongea kiswahili lakini kidogo.?
sasa ndugu unamuenzi nani??mmarekani au ?bado sana hii albam ungeuza marekani au kule kule ungetoka zaidi.
kwa bongo bado mno ingawa upo hapa.,..leta vitu vyenye mpangilio wa kimashairi elimu yetu pekee tuliyonayo ambayo wenzetu wengine hawana,. vilainishi vya aaa,ti,tii,ye
ni vikubalika tosha..ndio maana wenzio wanafanya hivyo..msikie J.nature,Mr.2,mwana F.A,Pr joy,Ispecta Harun n.k.tupe mashairi yetu ambayo ni raha na utamu wetu sisi ni waswahili hii ni lugha yetu,sasa kizungu nini ?tena?unaaribu.,santuri unaipa jina ya propaganda,iliyoandikwa kiswahili,lakini jina la mwimbo ni la kiingereza, maudhui ya lugha ni ya kiswahili,.lakini vionjo ni vya kiingeza sasa ukiisambaza mitaani ambako ni bongo itakuwaje?mbadilike jamani.angalia mahali pa soko.,.ona ujumbe unampelekea nani, hata beats zako ni uzungu mtupu…sijui,.halafu baadaye mnasema mmerogwa,.kama ni kumuiga michael .j.alitumia sentesi moja tu nakupenda pia,nakutaka pia MPENZI we ,lakini lugha yote ilikuwani kiingereza,lakini lugha yetu iliitamkwa kifasaha ikiwa na maana utajaza ukitaka kuelewa maana yake.,lakini mwimbo ulibaki kama ulivyo na lugha yake na hata jina lake.,
JIDE alitoa wimbo wenye lugha mchanganyiko,lakini alinganghania kwenye lungha zilizowakilisha wimbo ule.,ikiwa na maana ile ile kwa matamko fasaha yaliyolingana na lugha alizotumia,.na matokeo yake yalikubalika..
Sasa pozi yako kwenye santuri hiyo ukiwa na picha ya mwalimu Late J.K.Nyerere R.I.P.Mbona unaweka mapenzi tena,.Na mchanganyo wa lugha,Mwalimu alienzi kiswaihili sasa Kizungu cha nini ndugu yangu
?Sasa ni propaganda ipi tena unayotupa?
fid we mkali yani ucpme. i would luv 2 c u performing live, but c u soon. big up ma nigga
bwana Ally, sijui kama unajua unachokiongea hapo juu, nahisi kama una chembe za chuki na umejawa na husuda moyoni mwako, FIDQ ni msanii ambaye haifati jamii ispokua jamii inamfata yeye kwasababu tayari ishamuamini, kwahiyo unaposema jamaa anajifanya mzungu unakua unakosea jibaba… kama upo Tanzania utaona kila siku wanijeria wanavyojizolea hela zetu kwasababu ya nyimbo zao za kizungu tena chenye unaija ndani yake.. so inabidi uelewe hii ni sanaa na pia ni kitu ambacho hakina mipaka na ni jukumu la msanii mwenyewe kuifanya vile alivyojiskia… kwa lugha fupi namaanisha kama haujaipenda ujue haujapenda wewe tu na wenzako lakini tupo wengine weengi tu ambao tumeipenda na ndo maana ngoma hii ishahit bongo na afrika mashariki kwa ujumla.. fanya uchunguzi halafu kisha uje tuongee tena, asante kwa mchango wako mdogo ulioutoa kwa msanii wetu tumpendae.. FID Q YUPO na ATAENDELEA KUWEPO!!!
fid q upo juu mwana kaza buti,hao wanao ongea just to give u challenge me najua unaweza na ndio maana unatoa nyimbo tight,keep in touch brother,i appriciate you are work bro.
bwana hater on February 18th, 2010 ;naona hatuelewani
1;mimi sijaongea bali niliandika tu,naona ni kuna tofauti hapo,ingawa VODA wanasema vidole vinaongea{ni lugha ya matangazo hiyo}
kama unataka kusoma yaliyoongewa basi tazama hii video na fuatilia kwa makini.
video: Balozi wa ufaransa aongea kiswahili, mwenyeji aongea kiingereza.. yaleyale!
PingPong Today, 06:29 PM
http://www.youtube.com/watch?v=Eg1UrtU2YSE&feature=player_embedded
——————————————————————————–
Balozi wa Ufaransa nchini juzi aliwaacha hoi wafanyakazi wa shirika la msalaba mwekundu Tanzania na katibu mkuu wa shirika hilo Alhaj Adam Kimbisa kwa kutoa risala yake kwa lugha ya kiswahili tena kile kilichonyooka ile kinoma…wakati akikabidhi msaada wa waathirika wa mafuriko Kilosa mkoani Morogoro .
Kilichosikitisha wengi ni Mwenyeji wake ambaye ni katibu mkuu wa shirika hilo Alhaj Adam Kimbisa…yeye aliongea kwa lugha ya kiingereza.
Je kwa style hii kiingereza cha nini kwa hotuba zinazotuhusu wabongo??[ nimenukuu kutoka jamii forum]
huyo msanii asiyeifuata jamii bali jamii ndio inamfuata yeye ndio kwanza nasikia kwako,mhm…[labda anaogopa kurogwa]
maana hata vitabu vya kidini vinasema mke ataacha wazazi wake na kumfuata mumewe na mume naye vile vile,nadhani hicho ni kisababishi kilichokufanya uwepo duniani,bisha?kama unabisha basi wewe ni mtoto wa kubabia[kambo].Dunia hii ni ya kutegemeana unaifata jamii na jamii inakufuata wewe,na hasa kwenye fani ya burudani,.ambayo huitaji update ya mazingira,utunzi na uhakiki,sasa bila kuifuata jamii na kubakia kuwa mimi walishaniamini,.hayo ndio matokeo yake yaani mwenzio anakuja kukusomea risala kwa lugha yako,na wewe unammsomea risala mwenzako kwa kiingereza wakati mwenzio ni mfaransa.
poa tu.
I’m in love this banger…very international! Perfect collabo. I would love an interview for radio,man.
Holla at me,Pse.
ONE.
Braaaa kubanda how are you doin mr?eee bn mi nimshabik wako tena naamin yakwamba ni wa kwanza kati ya wale wote unaowajua ww .Am from mbeya city am a studen sio siri nakukubali ile saana tu kuliko msanii wa aina yeyote ile mbaya course unaimba ukweli mtupu na wakisasa .What i can tell u kubanda ni kwamba pl/s kaza buti tena sana tu no matter what people say ok.I WISH NICE FIESTA NICE PERFOMANCE ON STAGE WELCOME TO MBEYA CITY
watu wengne, englsh hujui bac ucckiliza wmbo…market z wat matrz, na fanz..huyo anaepondea lugha hajui k2