Comments on: JINSI YA KUPANGILIA NA KUTUMIA MUDA WAKO VIZURI:MAMBO 7 MUHIMU KUZINGATIA

By: Godson Nestory
Nimependa sana utunzo huu.Lakini kwetu sisi vijana tunashwindwa kutumia muda wetu vizuri kabla ya kuwa na majukumu mengi. watu wengi uanza kujishughulisha pale wanapooa au kuolewa, utasikia leo nimekula sijui kesho itakuaje? akiwaza familia (mfano njasiliamali anayeishi maisha ya kupanga vyumba huyu ni mtu anayejalibu kutumia muda wake vizuri kwasababu ya majukumu aliyonayo kama kulipa kodi au yawezekana katoka mkoa mwingine kutafuta maisha mjini) Uchumi wa familia nao unachangia unaweza ukawa unatumia muda vizuri ukawa na malengo au mikakati mizuri lakini kufatana na kipato kidogo au kianzio ukajikuta malengo yako yanachukua muda mrefu. na wawepo watu kama wewe katika serikari ili kuleta changamoto kwa vijana ili waweze kutumia muda wao vizuri. mimi ni seremara, wewe ni mkulima tuna malengo na mawazo mazuri tu, na tunatumia muda wetu vizuri lakini zana nyingine za kazi zipo juu ya huwezo wako (serikali) mfano kwa wenzetu Marekani mtu kama ni fundi selemala serikali inakuja inakupa vifaa bule ili kukupa moyo na kukuwezesha kufanya kazi haraka kwa muda mfupi bila kuchelewa lakini kwetu TZ nani akupe mashine na vifaa kama hivyo bure. wapo watu wametumiamuda vizuri na kuweka marengo lakini mambo yamekwenda zigizaga. Babu sea naye alikuwa na malengo akini ameishia jela. kwawenzutu Ulaya wafungwa wanakuwa na uwezo wa kusoma lakini wakiwa wamefungwa, sasa kumbe jamii naya inaweza kusababisha matatizo kama hayo.

By: irene
congrats u guys pa4m gr8 job ku2pasha news. forever young.

regards na kazi njema wandugu…….

By: Bob Tuvako
Ahsante sana ! Usisahau pia DUA uanzzapo siku!!

By: Edwin Ndaki
makala nzuri sana.

kwa kuongezea nafikiri naweza kusema MUDA ni NIDHAMU..ukiwa na nidhamu basi muda hauwezi kukusumbua sana.Inaweza kujitokeza mara chache kupambana na muda ila ukiwa na nidhamu ya kutekeleza na kuipanga mikakati mara nyingi muda rafiki yetu.

Ingawa kwa sababu zisizohepukika inawezekana issue ya muda ikaingia mushkeri mfano si wakazi wa kigamboni (kivuko) au mnyororo(foleni za magari),urasimu,ubabaishaji,rushwa vinaweza kusababisha tukashindwa kwenda na muda lakini tusikite tamaa.

tutafika tu

By: KB
da makala ni nzuri! lakini kibongobongo utagombana sana na watu! wabongo wanakela sana ktk swala la muda!

By: bongocelebrity
Masangu,

Asante kwa mchango wako.Labda tunachoweza kusema katika suala la multi-tasking ni kwamba “ukiwa na uwezo wa kufanya hivyo”.Rais Ronald Reagan wa Marekani(RIP) inasemekana alikuwa na uwezo mkubwa wa “multi-tasking”.Alipoulizwa anawezaje,jibu lake lilikuwa amejifunza.Kwa maana hiyo,ni kitu ambacho mtu anaweza kujifunza.

By: Masangu Matondo Nzuzullima
Makala nzuri kwani hili ni tatizo linalotusumbua wengi. Wengi wetu tunaamka na kukurupuka tu bila kujua siku itakavyokwenda.

Hilo suala la “multi-tasking” lina utata na wataalamu hawakubaliani. Kuna wale wanaoamini kwamba pengine kufanya jambo moja ukalimaliza kwa haraka ni bora kuliko kuwa na mambo kibao halafu ukawa unashika hili mara lile na kutoyafanya sawasawa. Si wote wanaoweza kufanya mambo mengi kwa wakati mmoja!