Comments on: MIAKA 45 TANGU ALIPOFARIKI MALCOM X

By: Guka,Hassan Rajabu CBE DOM
Nakushukuru sana muandaaji wa Makala hii ya Kumbukumbu Ya Miaka 45 tangu Kifo cha MALCOM X.Binafsi napenda kuchangia kwa kusema kwamba,Watanzania na Waafrika wenzangu hatutaweza kujikwamua kutoka katika manyanyaso kama sisi wenyewe hatujui haki zetu.Tuko nyuma sana kielimu,kiuchumi na kisiasa.Tujielimishe na tuelimishe vizazi vyetu vya sasa na vijavyo ili kwayo tuweze kujua haki zetu,wajibu wetu.Haitawezekana kudai haki bila kutimiza wajibu.Tuwe na tabia ya kujielimisha,elimu inaanzia pale ulipo zaliwa mpaka pale utakapo kufa.Mimi nimezaliwa kijiji huko MRIJO CHINI,katika wilaya ya Kondoa.Miundo mbinu kwasasa ipo ya Mawasiliano,kipato kinaridhisha kwa wastani.Lakini kwakuwa ndugu zangu waliko kule walikosa Msingi wa Elimu hususan ya Sekondari,na wakachagua Style ya Maisha ni kutafuta Fedha,hivyo Fedha wanazo lakini kujiendeleza kwao kielimu sasa nivigumu kwasababu wanamajukumu ya kifamilia.Mimi ninawashauri sasa wabadilike na waweke nguvu zao kusomesha watoto.

By: mwanaharakati
kwa upande wng mm naamini ata uchumi waliyo nao leo WHITE people unatokana na wa AFRICA,mfano ni hili swala hisa kuuzwa london nasio kwa wazalendo hiki niki2 cha kushangaza kweli na selikali kupata asilimia 10 kweli waacheni hawa wa2 watunyasenyase

By: mr tele
nimefurahi sana kuona coment zenu wote nakuona jinsi gani wa AFRICA tunauchungu na continent ye2 kwa kutoa mifano kama ya malcom,nyererena mpendwa mugabe kwa upande wng nashangaa kuona  wa AFRICA wanaomchukia mugabe hao niwa2 wanaojiangalia wenyewe bali c kwa janga le2 na hataa wengine kusema nyerere hakutusaidia TANZANIA, hukitaka kuangalia hawa w2 wanaongea hivi nawa2 ambao tunaweza kusema hali kwa c mbaya ila hawangalii taifa kwa ujumla WHITE r  alwayz gonna remain ze same.zey come 2 africa take land thy pretend they invest n after zey get what zey want wanaondoka zao.kuupinga ubaguzi nilazima viongozi,wanasiasa na wananchi kwa ujumla AFRICA kuwa ki2 kimoja co kujinufaisha binafsi na ss wenyewe tujibadilishe co tunawababaikia wazungu

By: mr. Degree
Weupe ni wabaguzi, so what? na sisi tuwabague? yaani tutangaze ubaguzi dhidi yao nao watangaze ubaguzi dhidi yetu,hebu tafakari hapo! tukibadilisha mifumo naamini tutaendelea na kupewa heshima yetu kama ambavyo sasa tunawaheshimu wao kwa maendeleo yao! nafikiri ubaguzi wao tuuchukulie kama ni ujinga wao na isiwe ishu kubwa kwetu! tujipange tutafute mfumo utakao tufikisha pale ambapo wao wamefika! najua rasilimali zinazowapa kiburi zinatoka kwetu sasa tunashindwaje kuendelea? ni kujipanga tu bwana Edward! rangi sio ishu!

By: MANI
tatizo serikali zetu na mifumo yake ndio inaruhusu mpka leo eti mchina anathubutu kumchapa vibao binti wakitanzania na kumtumisha kadri atakavyo au maisha bora kwa mhindi na sikwamzalendo.ukweli nikwamba wenzetu ktk chi zao zimempa nafasi kubwa mzalendo kupata mafanikio ktk kusaka maisha kuliko mgeni.system otomatikali inakubana wewe mgeni na kuona huna jinsi zaidi ya kubeba boksi na kuendelea kumnyeyekea yeye na system hiohio ndio inampa fursa hata akija nchini mwako wewe na viongozi wako mtaendelea kumnyenyekea na kumuona bora.INAUMA SANA UKITEMBEA NDIO UNAONA MENGI SANA.VIONGOZI WAPO KWAAJILI YA MASLAHI YA UMMA LAKINI KWETU VIONGOZI WAPO KWA MASLAHI YAO BINAFSI NA FAMILIA ZAO.NIBORA NCHI IUZWE TUPANGE FOLENI TUPEWE CHETU TUJUE MOJA KUTAWALIWA MPAKA MWISHO WADUNIA KULIKO KUFANYWA WAJINGA ILHALI AKILI TUNAZO,WASOMI TUNAO,MALIGHAFI TUNAZO AH MACHO YENU

By: EDWARD
Ttatizo ni rangi pia, kuna kitu kinaitwa WHITE SUPREMACY nI kwamba mtu yoyote mwenye rangi ambayo si nyeusi ni mbaguzi wanahisi mtu mwenye rangi black ni mjinga na ni mtu wa jungle/pori hawezi kufanya lolote, hao weupe wachache ni mitizamo yao ya kifikra tu ndiyo inatushawishi kuwa si wabaguzi bali mifumo ndiyo baguzi si kweli kwani kuna watu ambao si weupe wanamifumo ya kibebari na si wabaguzi, kiini cha ubaguzi ni rangi na hii ni colonial mentality of White Supremacy wanajiona bora kuliko race ingine yoyote ile hata kama wangetumia mifumo tofauti na wanayotumia sasa ni bado wanguluwa wabaguzi, utakuja huku Ulaya utakutana na mzungu masikini kabisa wa kutupwa hana kazi, hajuwi kusoma wala kuandika omba omba bado atakuwa mbaguzi, so it not about the system of the economy, it is about race superiority. They think colour it has to do with knowing to much, hata watu wa Asia wenye rangi tofauti na nyeusi pia wanajionasecond to white race na wanatubagua pia, MALCOM X alibadilisha msimamo wake baada ya kuona force haitamsaidia kushindi kitu anacho kisimamia so it was brave thing to change and give that a weak arguement.

By: Ezijumwi
Nafikiri watu wa aina ya Kina Malcom X, Harrieth Tubman, Martin Luther King Jr, Black Panthers na kina Mwalimu Nyerere, Didan Kimathi wanahitajika sana kwa sasa ambapo mfumo wa ukandamizaji dhidi ya watu weusi na watu wa dunia ya tatu umerahisishwa bila kiboko chini ya mwavuli wa utandawazi na uwekezaji. Mfumo wa kibeberu na kibepari haswa katika Afrika utaendelea kuwepo  ikiwa hatuchuki juhudi za kuwafundisha vizazi vya sasa juu ya mashujaa wetu hawa ambao walidiriki kujitoa muhanga kukomboa nchi zao. Wachache waliopo kama ni Mugabe wakijaribu kutetea Ardhi ya Wanyonge wanawekewa vikwazo na mashirika ya kibeberu kama WB na IMF ambayo yameundwa makusudi kufanikisha modern colonialism.

Walale pema wapigania haki za mtu mweusi popote walipo.

By: Mwanamke wa Shoka (UK)
Mr Degree nakupa five….!! Nimekusoma.

By: mr. Degree
Jackline tatizo si rangi, tatizo ni mfumo! Malcom alipoenda kuhiji mecca alikuta watu wa rangi tofauti wakila na kunywa pamoja na hapo ndipo alipogundua kuwa watu wa rangi tofauti wanaweza kukaa na kuishi pamoja bila tatizo! si vizuri kujenga chuki kwa watu wa rangi tofauti na ndio maana hata Malcom alijuta alipokumbuka kukataa kushirikiana na mzungu katika harakati za ukombozi. watanzania pia ifike mahali tutafakari na kujiuliza hivi tatizo letu ni wahindi au mfumo wetu unaowaruhusu wao kuneemeka? sio vizuri kujenga chuki na binadamu mwenzio kwani yeye ameumbwa kama wewe na mungu hakufanya kosa kumuumba! tunatakiwa kujenga chuki na mifumo yetu ya kinyonyaji inayoruhusu matabaka. bila shaka hicho ndio kilikua kilio cha malcom X! hata mwalimu nyerere hakuwahi kuwachukia wazungu kwa rangi yao bali kwa mifumo yao na ndio maana hata katika baraza lake la mawaziri la kwanza lilikua na wazungu na wahindi.mhindi alikua Amil Jamal na mmoja wa wazungu simkumbuki jina ila alikua Waziri wa afya!

By: jackline
ubaguzi wa rangi auto isha ikiwa sisi wenyewe ni wepesi sana wa kukaribisha wageni nchini kwetu na atutweza kamwe kutetea nchi yetu ikiwa sisi wote ni wanyonge wa nchi tawala inabidi tuwe wamoja ili tuweze kutokomeza itifaki hii.