Masaa machache tu yamepita tangu niweke video mbili kuhusu saga linaloendelea baina ya Mr.Sugu na Ruge Mutahaba.Yaelekea haya mambo yanazidi kuwa makubwa kwani muda mfupi uliopita,Sugu amerudi tena kwenye vyombo vya habari kwa nia ya kuweka wazi kile ambacho anakiona kama upotoshaji fulani wa habari na mchakato mzima wa kampeni ya Zinduka.

Ameongea na jamaa wa Global Publishers kama inavyoonekana katika video hiyo hapo chini. Sugu anatoa madai makali.Madai ya Rushwa au hongo!

You need to a flashplayer enabled browser to view this YouTube video

Feedback / Comments

4 Responses to “SUGU CHARGES ON”

  1. Comment by nGOKA on March 4th, 2010 10:27 am

    MAFISADI KILA PEMBE! DUH! CLOUDS FM!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

  2. Comment by mimi paka on March 6th, 2010 1:55 pm

    Aibu clouds,mtu anahangaika kwa jasho lake mnamdhulumu,nyinyi mnazo pesa za ufisadi na tena mnataka kunyang’anya na huku.Mtaota ukurutu wa matako nyinyiii,mpeni haki yake Sugu a.k.a Mr 11.

  3. Comment by moshine on March 19th, 2010 1:15 am

    Kwakweli clouds wamezidi, ninachojua toka zamani cloud wana chuki na sugu ndio maana wanataka kumkomoa sababu kazinduka naunyonyaji wao, mafisi hao wamezoea kuwanyonya wabana pua bongo fleva.
    ukweli utabainika tu. SUGU PAMOJAAAAAAAAAAAAAA, UCKONDE

  4. Comment by noma on March 23rd, 2010 2:29 pm

    noma mshikaji anauwa makundi ya wasanii anaua vipaji vya wasanii na pia anawa mzuluma huju RUgE hafai naona kila leo bongo fleva inakufa lkn ndo hvyo wabongo tumezoea rushwa na kuzurumiwa.SUGU he iz on da right way

Leave a Reply