MY TANZANIA   |   PLACES TO GO   |   MEDIA   |   ONLINE ENTERTAINMENT    

Kama mimi na wewe tunashabihiana kifikra, basi ulikuwa unatamani siku hii ifike.Siku ambayo angalau kwa muda mfupi,utapumzika kusikia kwamba kila production mpya ya Bongo Fleva, inakuwa imeelemea kwenye hadithi na visa kuhusu mapenzi.Sio kusema kwamba hadithi na visa vya mapenzi havina nafasi yake katika sanaa,La.Ni kuonyesha tu kwamba jamii ni pana na kuna mengi zaidi ambayo sanaa inaweza kuyagusia.

Aliyesikia kilio hicho ni Heavy-weight MC,Prof.Jay.Wimbo unaitwa Msilie akiwa amemshirikisha mkali mwingine wa hip hop nchini Tanzania,Chid Benz.Wimbo umetengenezwa na producer ambaye amekuja juu kwa sana.Ni Lamar kutoka Fish Crab Records.

Mambo kadhaa yamenifanya niusikilize wimbo huu siku nzima.Kikubwa ni ujumbe uliomo ndani yake.Kama ambavyo ungetarajia kutoka kwa Prof.kwa kina anaangalia yale yanayojiri katika jamii.Anatoa hoja,anafafanua,anaelekeza.Msikilize;

Audio clip: Adobe Flash Player (version 9 or above) is required to play this audio clip. Download the latest version here. You also need to have JavaScript enabled in your browser.

Share and Enjoy:
  • Digg
  • Sphinn
  • del.icio.us
  • Facebook
  • Mixx
  • Google Bookmarks
  • email
  • LinkedIn
  • Live
  • Spurl
  • Technorati
  • Yahoo! Buzz
  • YahooMyWeb

Feedback / Comments

37 Responses to ““MSILIE”-PROF.JAY Ft.CHID BENZ”

  1. Comment by Papa G on March 7th, 2010 2:40 am

    Prof, nimekuaminia mkuu, hiki kipande cha muziki kimetulia sana! excellent rhymes, terrific verses, outstanding vocals! Dude you rock!

  2. Comment by mwanaharakati on March 7th, 2010 1:00 pm

    safi sana cna mjadala na ww uko juu,endelea kukaza kaka

  3. Comment by G on March 7th, 2010 11:39 pm

    Nakubali Jay, wewe mwisho.

  4. Comment by Mwanamke wa Shoka (UK) on March 8th, 2010 1:09 am

    Nimekupata mdogo wangu Prof.Jay.

    …mabilioni ya BOT yanakuuma…yep weye ni mwananchi nchi inakuuma….nakupa tano kaka…

    Muziki umetulia saana, ujumbe ni mzito…sauti ni nzuuuri saaana…keep it up.

  5. Comment by ally dm on March 8th, 2010 5:36 am

    ukisikia mambo tunayoyataka ndio haya,.safi sana prof yaani nakuaminia,kiswahili safi,mashairi yaliyopangika.Hadithi zenye sehemu ya maisha tunayo ishi nayo, safi sana.wewe mghani makini.

  6. Comment by Juma on March 9th, 2010 11:04 am

    Naamini kwamba hakuna kijiji kisicho na mzee anayetegemewa kwa mawazo.
    Na hata kama wasanii watakuwa wanapotea na kusahau vitu muhimu vya kuimba Prof. Jay ataibuka tu na kuwakumbusha kama ambavyo tumekuwa tukiona.
    So guyz, huyu ndiye mzee wa kijiji cha “Bongo fleva”. Big up men. Nakuaminia as always.

  7. Comment by mkubwa 1 on March 10th, 2010 6:15 am

    HANDS DOWN!!!!!!!!!!! u gt it son!!!!!!!

  8. Comment by Aughenbaugh on March 11th, 2010 11:56 pm

    Nimekupata mdogo wangu Prof.Jay.

    …mabilioni ya BOT yanakuuka…yep weye nj mwananchi nchi inakuuma….nakupa tano kaka…

    Muziki umetulia saana, ujumbe ni maito…sauti ni nzuuuri saaana…keep it up.;

  9. Comment by lameck on March 12th, 2010 3:11 pm

    Kaza kaka kazi unaweza we ni zaidi ya kichwa

  10. Comment by kizito on March 13th, 2010 4:59 am

    Huyu Dogo anafanya kweli haigizi.Tatizo la wasanii wengi wanaigiza Lakini huyu tangu nianze kumsikia kwenye chemsha bongo hadi leo sichoki.Hongera zake mpeni.

  11. Comment by kamanzi on March 16th, 2010 2:59 am

    Kila nikisikia vibao vyenye maudhui kama hiki, natamani kupiga marufuku bongofleva zingine zinazorudia rudia nyimbo za kupendana pendana. Nani kasema unaweza kupenda na njaa tumboni. JIZE lete mambo. HAPO VIPI? Nasema hapo sawa mtu wangu!!!

  12. Comment by wang on March 18th, 2010 3:00 am

    vocals are okey, good truck generally!
    But sauti ya Shawn carter mwanzoni..mhh!

  13. Comment by Nurdin Nuha Karamagi on March 19th, 2010 1:54 am

    Mengi wamezungumza wadau kweli kaka hupo juu kama povu labia aminia.

  14. Comment by Husna Khalfan on March 20th, 2010 10:09 am

    I always liked Professor Jay and i always anticipate on what new he’s got cooking.Well done bro….

  15. Comment by ally dm on March 21st, 2010 1:16 am

    MKUU B.C. mbona kimya bwana unatunyima uhondo bwana,.Sisi wengine kwa sasa tupo mbali na bongo na haya ndio majanvi yetu, tunakutegemea wewe,naomba tuwekee post mpya basi mkuu.

  16. Comment by Bill on March 23rd, 2010 2:14 am

    The message is loud and clear. Big up Prof J.

  17. Comment by poshoo on March 23rd, 2010 2:53 am

    big up sana proffesa.nilitamani sana kama chid angepata nafasi japo nusu verse apandishe mashetani kwenye goma hili.ebwana upo juu sana.

  18. Comment by Emil on March 23rd, 2010 2:54 am

    Kudos Prof. J

  19. Comment by somijo on March 23rd, 2010 10:35 am

    mara nyingi hhuna mpinzani kijana.kipu iti apu.

  20. Comment by J teks on March 23rd, 2010 11:05 am

    Liking the track, overall great track. The beat is smooth great production. On a criticism note, prof is contradicting himself on couple of bars, “mbona mnanunua silaha baada yakuwalipa walimu” and he goes on says “majambazi wanasilaha kuliko polisi”, never the less, i’m a fan…

  21. Comment by Mzee wa Changamoto on March 23rd, 2010 4:22 pm

    Nianze kuungana na waliotangulia katika kusifia maudhui yako Kaka Joseph. Ni kweli kuwa wewe ni kati ya waimbaji wachache wenye kuimba mashairi ya maana katika sanaa hiyo. Unaigusa jamii halisi ya chini na kuwa “msemaji wa wanyonge” ukiuliza maswali mengi ambayo watu wa kima cha chini tunawaza.
    Ni kazu nzuri saana na NAKUPONGEZA NA KUKUHESHIMU KWA HILI

    Na sasa nirejee kwenye upande wa pili ambao naona una mapungufu. Na haya ni mapungufu ya ki-Utawala zaidi. Kwa Joseph kama msanii mwenye washabiki / mashabiki wengi, heshima kutokana na tungo zako na hata kukubalika kwa kazi zako, unastahili kuwa makini na mahala unapotengeneza nyimbo zako. Ninaloweza kusema ni kuwa MASHAIRI NI MAZURI SAANA ila midundo imepea na ina mapungufu makubwa katika kukusaidia kukua kimuziki. Kwa mashairi haya na aina ya muziki uutengenezao na ambao unaonekana kugusa matatizo halisi ya mTanzania, unastahili kuangalia namna ya kuingia katika midundo yenye uTanzania zaidi.
    Ninaloamini mimi ni kuwa kama kuna watu wanaweza kupata midundo halisi na ya kiwango cha juu kutoka kwa wasanii wa nje, siamini kama ataona haja ya kumualika mtu ambaye anaigiza kuwa na midundo hiyo na hajaifikia.
    Watayarishaji wa MUZIKI WA NYUMBANI ni lazima waheshimu na kutambua umuhimuwa kutumia zana asili katika kunogesha muziki wao.
    Kwa hakika wanawaharibia wasanii kazi kwa kuwa wakati mwingine ni “beats” zinazoweza kumkosesha msanii “deal” la kutumbuiza mahala hata kama UJUMBE alionao unafaa na kujitosheleza kwenda kutumbuiza.

    Na huu ni mtazamo wangu na natunza haki ya kukosea na kukosolewa.
    Blessings

  22. Comment by Bingo on March 24th, 2010 5:02 am

    Thanks Prof… you remind me of my nigga 2 Pac. You are still the best rapper in East Africa and still at the peak of your skills which consist of much more than a great voice!!! like song writing, composing, message and you still have a voice. My kudos man…

  23. Comment by uweso/ japan on March 25th, 2010 6:48 am

    wana comment huyu msani . ukisikia kibao chake kiko taiti sana . bingup sana mtuwa .hizi ndio nyimbo sio mapenziki kila siku watu tunataka ujumbe .mwana uko juu sanaaaaaaaaaaaaaaaaa. kaza

  24. Comment by chapombe on March 26th, 2010 3:06 am

    lakini sikuhizi bongocelebrity mnatuangusha kweli,yaani post moja inakaa mpaka inapata wajukuu bila kuona nyingine.kulikoni?sasa tuna-miss utamu,hii siyo bongocelebrity tuliyoizoea

  25. Comment by Nassor Jangwa on March 28th, 2010 4:12 am

    Hi 2all friends here on BC! Prof Jay ni wa ukweli toka nimfahamu Jay mjukuu wa mzee Haule! Sijawahi kukosa hamu ya kusikiliza kazi zake! hii ni kali sana naikubali sana!

  26. Comment by Asha on March 29th, 2010 1:11 pm

    JAMANI HUKO BONGO CELEBRITY KULIKONI HAKUNA UPDATES NEWS KILA NIKIFUNGUA BLOG NAONA HABARI NI ZILE ZILE ZINA KAMA MWEZI MZIMA HIVI MBONA MNATUANGUSHA WADAU WENU,KWANI HUKO MTAANI HAKUNA UPDATES NEWS KULIKO KUTUWEKEA HIZI AMBAZO ZIMEEXPIRE

  27. Comment by Tico,Dar es salaam. on April 1st, 2010 12:04 pm

    wewe Jay ni mkali baba’ake.

  28. Comment by Tico,Dar es salaam. on April 1st, 2010 12:10 pm

    Wewe Prof. Jay ni mkali baba’ake.Pia Blog ya michuzi ni bab kubwa,inayoelimisha kutambulisha na kutoa changamoto mbalimbali kwa jamii.Justkeep it up.

  29. Comment by juma s kungugu on April 2nd, 2010 5:59 am

    keep it up mr. prof unatisha ile mbaya!!!!!! even zis blog of michuzi!! mzuka sana!!!!!!!!!!!!!1

  30. Comment by noel on April 3rd, 2010 4:27 am

    jay upo juu sana ,tungo zako unaziandika vizuri sana na kuziwakilisha ipasavyo kadhalika.naipenda sana nyimbo yako ya Nisamehe uliyoimba na banana,vile vina umepangilia mzee.Ok big up kwa sana bro

  31. Comment by juma s kungugu on April 3rd, 2010 12:43 pm

    prof unatisha ile kinoma na hilo songi lako lamsilie so keep it up men!!!!

  32. Comment by FRANK on May 21st, 2010 6:48 am

    nakukubali sana ackari wangu ni noma

  33. Comment by scandle de swager on June 8th, 2010 5:14 am

    kip it real kip it still jay lyk rocafellas jc let em know and no one 2 dis dat roger dat………….kip stunting bro’da 4rm anther boda! am gona bounc!

  34. Comment by dj théo on July 16th, 2010 3:42 am

    jay upo ju sana kazana

  35. Comment by grey on July 17th, 2010 4:25 am

    upo juu sn brooooooo!!!!!!mpango mzima

  36. Comment by jully on July 18th, 2010 5:24 am

    yooooooh prof! uko juu kinowma js wonnna hollla yu so kip it up men. jully from A twn

  37. Comment by jennifer ibra on July 18th, 2010 9:42 am

    kwa kweli na ungana na wengine katika watu ninaowazimia wewe mmojawapo upo juuu kudadadeki

Leave a Reply