Familia ya Bwana na Bibi Gembe wa Upanga-Dar-es-salaam na Tabora, wanasikitika kutangaza kifo cha mtoto wao mpendwa Evaline Gembe(pichani) kilichotokea hapo juzi tarehe 30.3.2010 huko Toronto,Canada.Evelyne amefikwa na mauti katika hospitali ya St.Michael’s ya Toronto alipokuwa amelazwa.

Taratibu na mipango ya  kusafirisha mwili wa marehemu kwenda nyumbani Tanzania kwa mazishi zinafanyika nyumbani kwa dada yake, Julie huko huko Toronto,Canada.

Ukiwa kama mtanzania,ndugu,jamaa au rafiki, unaombwa kuchangia fedha,hali na mali kwa ajili ya kuwezesha kuusafirisha mwili wa marehemu kurudi nyumbani kwa mazishi mapema kadri iwezekanavyo kwani kama wengi wenu mnavyofahamu, mwili unavyozidi kukaa Funeral-Home,gharama ndivyo zinavyozidi kuongezeka. Mwili utasafirishwa punde tu zitakapopatikana fedha za kutosha kwa ajili ya kulipia gharama husika.

Unaweza kutuma mchango wako kwenye Account maalumu ya wafiwa kama ifuatavyo:

BANK : CIBC (Canadian Imperial Bank of Commerce)

ACCOUNT NUMBER: 5681839

TRANSIT NUMBER: 00902

INSTITUTE NUMBER: 010

SWIFT CODE: CIBCCATT

Vilevile unaweza kutumia E-mail Money Transfer kwa Sania Esmail.Anuani yake ni saniae@yahoo. ca au kuwakilisha msaada wako kwa kutumia anuani hii:

1025 SCARLETT ROAD, APT 606, BUZZ # 178

TORONTO ON, M9P 3V3.

Kwa mawasiliano zaidi unaweza kuwasiliana na wafuatao:

Julie +1 416-247-8318

Esmail Manambi- +1 647- 299-2572

Victor Wambura- +1 647-428-4118

Prosper Luteganya- +1 905 626 3764

Tafadhali chukua muda kuwafariji na kuwaombea ndugu,jamaa na marafiki waliofikwa na msiba huu. Tunatanguliza shukrani kwa misaada yote iliyotolewa na itakayotolewa. Mungu ailaze roho ya marehemu mahala pema peponi. Amen.

Feedback / Comments

9 Responses to “MSIBA TORONTO,CANADA”

  1. Comment by Mtawala Ali on April 1st, 2010 6:43 pm

    Mungu ailaze pema peponi roho ya marehemu.Poleni sana wafiwa.

  2. Comment by Nassor Jangwa on April 2nd, 2010 1:41 am

    “Inna lillahi wainailayhi rajiun” Mungu ailaze pema roho ya marehem na mungu awape nguvu na moyo wa subira ndugu wa marehem!

  3. Comment by kimambo Naomi on April 2nd, 2010 4:06 am

    mungu ailaze pema peponi roho ya marehemu. Amina. poleni sana wafiwa Mungu ataifanikisha shughuli nzima ya mazi mazishi.

  4. Comment by Mutta Lucas on April 3rd, 2010 11:18 am

    Poleni sana wafiwa.Mungu ailaze pema peponi roho ya Evaline.

  5. Comment by mzeekifimbo on April 5th, 2010 8:29 am

    poleni wafiwa RIP

  6. Comment by jojo on April 6th, 2010 2:58 am

    POLE MARTHA NA NDUGU WOTE.MUNGU AMLAZE MAHALI PEMA PEPONI

  7. Comment by Mwanamke wa Shoka (UK) on April 10th, 2010 12:49 pm

    Oh poleni jamani. Mungu mwenye heri awapeni uwezo wa kuvumilia na kuyapokea haya kwa kadiri ya wema wake. Amin

  8. Comment by athumani mkeyenge on April 13th, 2010 1:02 am

    Poleni sana wafiwa.

  9. Comment by prity on April 14th, 2010 7:50 am

    mungu awatie nguvu wafiwa

Leave a Reply