RAY C AZUA JAMBO NCHINI NORWAY

Mwanadada,mwanamuziki, Rehema Chalamila au maarufu kama Ray C (kiuno bila mfupa) anadaiwa kufanya “visivyo” huko nchini Norway.Kwa mujibu wa mtandao wa Watanzania waishio nchini humo, Ray C anadaiwa kutapeli zaidi zaidi ya dola za kimarekani $4,000 ambazo alikuwa ameshalipwa kwa ajili ya kufanya maonyesho katika nchi kadhaa za ukanda huo wa bara la Ulaya.

Bonyeza hapa ili kupata undani wa habari hii ambayo bado hatujaweza kuithibitisha rasmi kama ni ya kweli au la!

Update: BC imefanikiwa kuwasiliana na Hassan Nganzo ambaye ni promota anayetajwa katika issue hii ambaye amethibitisha kwamba habari hii ni ya kweli kabisa.Kazi kweli kweli.

Page 1 of 3 | Next page