MLELA:A RISING MOVIE STAR

Anaitwa Yusuf Mlela.Aliwahi kutajwa kuwa Ijumaa Sexiest Bachelor.Ni miongoni mwa movie stars wanaokuja juu kwa kasi nchini Tanzania.Una ushauri wowote kwake kuhusiana na uigizaji wake kama umeshatizama japo moja miongoni mwa filamu alizocheza?

Photo:GP

 1. prity, 14 April, 2010

  doh jamani that guy is hoooot honestly ni mzuri jamani bt asilewe na sifa kama ana mchumba atulie nae cz wasanii wetu wa bongo ukiwasia wanalewa sana sifa so behave meen

 2. adam, 14 April, 2010

  mlela yuko poa bt ameanza vibaya coz ampata jina kidogo tu mapozi kibao mfano mzuri mcheck kwenye TBC1 SEREBUKA anavyofanya mapozi hambayo hayana msingi hata kidogo Tulia kijana wakina Kanumba wenzako hawakuanza hivyo kwa mapozi hebu angalia mafanikio yao sasa So take care kaa chini jipange kwanza kijana acha utozi wanaume wanafanya kazi kwanza kutafuta chapaa then ndo utozi ukanakuja ukishaweka mingo zako vizuri mkuuuuu

 3. juli, 14 April, 2010

  Hivi uzuri ni kuwa na nyama nyingi (fat) na rangi nyeupe au? Kama ndio hivyo sehemu kubwa ya watu kama wa Puetro Rico na wengine wa South America ni ‘wazuri’! Hivi kwetu watanzania kipimo cha uzuri ( in general terms) ni kipi? Maana naona kwenye movies zetu watu wenye rangi nyeupe, wanaume kwa wanawake ndio wanakubalika! Kitu kingine ambacho nataka kusema, ambacho hakihusiani na hili suala ni huu mtindo wa kuvaa miwani kubwa (bigsun glasses). Jamani ma ‘celebrity’ wa bongo, hizo big sun glasses kuna za wanawake na za wanaume. Nimeona picha za ‘mastaa’ wengi wa bongo wanaume wamevaa za wanawake! Maduka ya hizo miwani bongo inabidi watenge shelve za wanawake na wanaume, au kama ni mmachinga, mkono mmoja ashike zawanawake na mwingine za wanaume. Si kwamba mradi miwani ni kubwa ni kubwa tuuu basi uvae ili mwadi! Nadhani Ray wa finamu anayo moja ya kike na muimba taarabu Yusuf Mzee nadhani vile viel anayo ya kike. Haya, ndio hivyo tena, tuendelee kuelimishana kidogo kidogo!

 4. Beatrice manyama, 15 April, 2010

  ni kweli mlela upo juu,unaweza una kipaji hasa sauti yako unajua kuitumia,kaza buti sio muda wa kulewa sifa adoado utafika keep it up

 5. Nagira, 15 April, 2010

  Kweli MUNGU alikuumba ukaumbika Yusuph…..! Mtukuze MUNGU kwa hilo wala usi hertbreak “mtu” kwa uzuri wako. Glory to GOD.

 6. kiondo, 15 April, 2010

  Analewa sifa haraka sana na kwa mtaji huu dogo hutofika mbali anadai level yake ni Kanumba na Ray, kweli hajui hata thamani yake ningeulizwa mimi ningesema He is better than all that he mentioned. ameanza kuzungumzia level sasa hivi wakati kila mtu ana mtazamo wake kwangu mimi hao Ray na Kanumba hamna kitu kazi kuiga movie za watu tu mwezi mmoja simema 5 lol. subiri fans wako wakueleze uzuri wako, thamani yako na wakupe daraja yako,sasa sijui na wewe utawa greater, maana kuna the GREAT, the GREATEST lol!jamani kaaaaaazi kweli kweli bongo.

 7. baby, 15 April, 2010

  uko juu sana kaka me natamani ningekuwa kama wewe kazana kama vp ndo mpango mzima.

 8. Mama Liv, 16 April, 2010

  Juli jamani umenichekesha eti uzuri weupe na wanene but that is the true. Unajua uzuri wa bongo ni weupe na mnene. Kuhusu hiyo miwani aisee nimecheka sana. Mimi mwenzio basi nilikutana na STAR bongo kavaa shirt la wanawake..na nikawa nawaambia watu jamani hilo shati ni la kike maana huku ugaibuni wanawake ndio wanavaa hayo mashati wanabaki kushangaa. So jamani ma Star sio kuiga tu angalie na vitu gani ni vya wanaume na wanawake..personally mimi kwa kweli huyu kijana namtakia kila la kheri ila uzuri well ni subjective mimi namuona anasura kama ya kitoto vile yaani baby face so men like that are not my type..ila kama tunavyojua tena ktk uzuri twaweza kugombana maana kila mtu ana mtazamo wake binafsi..otherwise awe serious na kazi yake na mambo mengine yatajipa..labda kama kuna shule ya Acting aende kujiendeleza ili awe professional zaidi..

 9. Debrah Dominic, 16 April, 2010

  wat i can say is, yah!yo good,so attracting wat u need to know is ure suppose to love yo self and life,cause HIV is arround u,take care rite!

 10. sika, 17 April, 2010

  Jamani kwanza kabisa ni bora watu wakaelewa kuwa bongo hakuna move star kuna watu wanao jaribu kuwa mastar hilo hatukatai lakini mambo wanayo fanya katika kazi zao za sana ya filamu niya kiwango cha chini kiasi ambacho ukisikia mtuu anajiita star inabidi ucheke hauwezi kuiga filamu za ughaibuni ukajiita star wala hizo watu wanazoita filamu mimi sioni kama ni filamu ni vijidocumentary mtuu anaandaa kuelezea mambo anayo hisi moyoni mwako au ndio kama kawaida unaiga kisha unabadilisha lugha na jina tayari inauzwa sasa haya yote yanatokea na kutokuwa na wito katika fani husika pili kujitafutia umashuhuri katika jamii inayo kuzunguka tatu ambalo wote tunalijua ni kujitafutia kipato cha haraka hatukatai mwanzo ni mgumu lakini kwa hivyo vijidocumentary vyaoo kweli tunaweza kuwaita ni masupastar kijana kama huyu mlela kwa ndani unaweza ukamwona kama anakipaji cha kutengeneza filamu documentary nzuri tatizo linakuja ni nini hasa malengo yake? nikuwa mashuhuri tuu? kufikia level za kimataifa katika medani ya filamu au ni kushindana na kina kanumba na ray ambao mimi sidhani kama ni wana kipaji kama chake kuna vitu akifanikiwa kuvitekeleza anaweza kufika mbali kama kuachana na fikra kuwa yeye ni suparstar,kuachana na mapozi yasiyo na maana wala faida katika kazi zake,kusikiliza maoni ya watu,kujituma katika kazi zake kwa hali na mali kisha kuonyesha uhalisia wake katika kazi zake siyo kutaka kuwa kama mtu fulani atafanikiwa..tatizo la vijana wengi nchini Tanzania wana fikra za juu sana kuliko hali halisi inayo wakabili ndioo maana mafaniko kwetu kimataifa nikama ndoto mpaka tubadilike kwanza…

 11. SitiBinho, 17 April, 2010

  Mama Jivu Oooppp!!! Mama Livu.

  Sina mjadala ma sisss…..nakuania as alwayzzzzz yaaaaaaaaani hayo usemaya ni kweli kabisa!!!!!!!

 12. Nassor Kassim Jangwa, 18 April, 2010

  🙂

 13. zubeda, 19 April, 2010

  dis guy is hot 2 sana kwa kila ki2 jst continue wd ur well work n keep it up coz mpaka kenya we are watching you!!!!

 14. Amy, 22 April, 2010

  Jamani kwanza kabisa ni bora watu wakaelewa kuwa bongo hakuna move star kuna watu wanao jaribu kuwa mastar hilo hatukatai lakini mambo wanayo fanya katika kazi zao za sana ya filamu niya kiwango cha chini kiasi ambacho ukisikia mtuu anajiita star inabidi ucheke hauwezi kuiga filamu za ughaibuni ukajiita star wala hizo watu wanazoita filamu mimi sioni kama ni filamu ni vijidocumentary mtuu anaandaa kuelezea mambo anayo hisi moyoni mwako au ndio kama kawaida unaiga kisha unabadilisha lugha na jina tayari inauzwa sasa haya yote yanatokea na kutokuwa na wito katika fani husika pili kujitafutia umashuhuri katika jamii inayo kuzunguka tatu ambalo wote tunalijua ni kujitafutia kipato cha haraka hatukatai mwanzo ni mgumu lakini kwa hivyo vijidocumentary vyaoo kweli tunaweza kuwaita ni masupastar kijana kama huyu mlela kwa ndani unaweza ukamwona kama anakipaji cha kutengeneza filamu documentary nzuri tatizo linakuja ni nini hasa malengo yake? nikuwa mashuhuri tuu? kufikia level za kimataifa katika medani ya filamu au ni kushindana na kina kanumba na ray ambao mimi sidhani kama ni wana kipaji kama chake kuna vitu akifanikiwa kuvitekeleza anaweza kufika mbali kama kuachana na fikra kuwa yeye ni suparstar,kuachana na mapozi yasiyo na maana wala faida katika kazi zake,kusikiliza maoni ya watu,kujituma katika kazi zake kwa hali na mali kisha kuonyesha uhalisia wake katika kazi zake siyo kutaka kuwa kama mtu fulani atafanikiwa..tatizo la vijana wengi nchini Tanzania wana fikra za juu sana kuliko hali halisi inayo wakabili ndioo maana mafaniko kwetu kimataifa nikama ndoto mpaka tubadilike kwanza…

 15. Dan, 24 April, 2010

  amesoma lakini? au ni yale yale yakina the great and the greatest

 16. leyla, 28 April, 2010

  S.alykum mdogo wng. ktk mastaa wa bongo wewe no 1 kwanza unajua kuvaa husika na sauti yk inasikika kwenye move zk. sasa ninakwambia kaza buti badilika usiogope ukubwa wa pua wala wingi wa kamasi. cheza na kua huru ila epuka na maneno ya kiswahili mtu ata akufanya je? wewe usimjibu muombe allha atakuzidishia inshaalha.

 17. nsalu, 03 May, 2010

  Jamani mimi cjawahi kuona filamu ikitoka kila mwezi kama wafanyavyo Ray na kanumba, hayo ni matokeo ya kutoa filamu zisizo na ubora. hamuoni wenzetu wanajiandaa takjriban mwaka na zaid au mpo kibiashara? then hizo proffessional za kuchukua nafasi za post production kama director,producer,sript writer & location manager kina Ray mzipata wapi? au mnahisi mnaweza kwa kuwa mmeigiza filam mbili tatu, au mnapunguza gharama? ACHENI HIZO hayo ni matokeo ya filamu mbovu mnazotutolea na kamwe hamuwezi kuendelea kwa kujiingiza kwenye fani zisizowahusu wat wanasomea bwana sio nyinyi mnakurupuka.

 18. lagolove, 19 May, 2010

  we unasema mlela ana mapozi kwenye selebuka ya TBC wewe ni muongo sana una mfananisha mlela na hemed kweli we mjinga hebu acha kumchafua handsome wa watu bwana hana mapozi wala nini yuko cool na anajiheshimu sana

 19. phina, 25 May, 2010

  Vizuri kijana upo juu kaza buti utafika mbali

 20. cool baby A, 18 June, 2010

  if nataka namb za yusufu natazipata wapi

 21. bongocelebrity, 18 June, 2010

  Cool Baby,
  Kama upo jijini Dar-es-salaam,unaweza kuwasiliana na kampuni za utengenezaji filamu kama vile Mtitu Game kwa msaada zaidi.Asante.

 22. Ramadhan Abdul, 03 August, 2010

  Ebwana mlela mm nakukubali sana bro,big up mzazi.

 23. glady, 20 September, 2010

  upo juu mlele naikubali kazi yako sana nataman nije kuigiza ka wewe bt xul inabana bt all in all al da best man keep it up dnt loose hope wherever people crash u just kep ur strenghth to almight GOD of heavean love uuuuuuuuuuuu man

 24. double s, 06 December, 2010

  I’m interested with what u done in u work bt punguza mapozi

 25. Matitu pemba, 26 December, 2010

  Zidisha bd kijana wacha ubitozi one love.

 26. shannon, 14 February, 2011

  hi i love your storie its so sexy lol※※※

 27. Winnie yawa, 13 May, 2011

  Mlela upo juu,we luv u in mombasa.cheers

 28. Sururu king, 15 June, 2011

  That guy is just a good actor

 29. David mwaisame, 01 October, 2011

  Songambele

 30. Elly, 07 November, 2011

  Kaka nakukubali sana jembe langu,ur a good actor upo wewe kama wewe wala hukopi kwa mtu. I wish nifanye kazi na wewe bt xul inabana, one lv

Copyright © Bongo Celebrity