KESI ya kushambulia na kuharibu mali iliyokuwa inamkabili Miss Tanzania, Miriam Gerard, pamoja na rafiki yake imefutwa na wawili hao pamoja na mtu wanae shitakiana nae sasa watamalizana nje ya mahakama.

Kwa mujibu wa blog ya Father Kidevu, Uamuzi huo umefikiwa leo katika Mahakama ya Kinondoni ambako kesi hiyo ilifikishwa mwezi Februari.

Bila shaka habari hizi ni njema kwa Kamati ya Miss Tanzania inayoongozwa na Uncle Hashim Lundenga ambayo kimsingi ndio msimamizi mkuu wa shughuli za kijamii zinazofanywa na mrembo huyo mpaka hapo atakapoachia taji lake.Life goes on.

Feedback / Comments

8 Responses to “KESI YAKE IMEFUTWA”

  1. Comment by ELIZABETH SWAI on April 22nd, 2010 3:23 am

    NI VIZURI HAO MAMISI KULIHESHIMU VAZI LA UMISI,KWANI NI MFANO UNAO IGWA NA JAMII KWA UJUMLA. WATULIE NAWAJIHESHIMU. WASIDHANIMHAO PEKE YAO NDO MAMISI TUPO KIBAO ,SASA WANATUHARIBIA NASIE OK. NAWAKUMBUSHA TENA KUJIHESHIMU NDO KEY OF LIFE

  2. Comment by ELIZABETH SWAI on April 22nd, 2010 3:27 am

    MAMIS MSIJIFANYE WATOTO,MMESHAKUWA WATU WAZIMA MJIHESHIMU OK? IGENI MFANO WA HAPPY MAGESSE,MARIAM ODEMBA.ETC WALEWANAO TENDA MEMA MUWE KIOO CHA JAMII

  3. Comment by Mr.Degree on April 22nd, 2010 9:56 am

    “KESI ya kushambulia na kuharibu mali iliyokuwa inamkabili Miss Tanzania, Miriam Gerard, pamoja na rafiki yake imefutwa na wawili hao pamoja na mtu wanae shitakiana nae sasa watamalizana nje ya mahakama”.

    BADO ANA KESI YA KUIJIBU JAMII NJE YA MAHAKAMA, KWA NINI KASHAMBULIA NA KUHARIBU MALI ZA WATU?

  4. Comment by phina on April 23rd, 2010 3:53 am

    TATIZO LA MAMISI WETU WAKISHACHAGULIWA WANAJIONA BABU KUBWA SANA NA KUAMUA KUFANYA MAMBO AMBAYO HAYAIFURAHISHI JAMII HATA KIDOGO. SASA ONA NI AIBU TUPU HATA KAMA KESI ITAKUWA IMEFUTWA SIO KWAO TU HATA KWA WAZAZI WAO WALIO WAZAA. NAOMBA KWELI MAMISI WETU WAWE NA NIDHAMU KWANI WAO NI KIOO CHA JAMII.

  5. Comment by Dave on April 25th, 2010 7:41 am

    NI VIZURI HAO MAMISI KULIHESHIMU VAZI LA UMISI,KWANI NI MFANO UNAO IGWA NA JAMII KWA UJUMLA. WATULIE NAWAJIHESHIMU. WASIDHANIMHAO PEKE YAO NDO MAMISI TUPO KIBAO ,SASA WANATUHARIBIA NASIE OK. NAWAKUMBUSHA TENA KUJIHESHIMU NDO KEY OF LIFE

  6. Comment by Simon on April 25th, 2010 6:48 pm

    “KESI ya kushambulia na kuharibu mali iliyokuwa inamkabili Miss Tanzania, Miriam Gerard, pamoja na rafiki yake imefutwa na wawili hao pamoja na mtu wanae shitakiana nae sasa watamalizana nje ya mahakama”.

    BADO ANA KESI YA KUIJIBU JAMII NJE YA MAHAKAMA, KWA NINI KASHAMBULIA NA KUHARIBU MALI ZA WATU?

  7. Comment by Mwanamke wa Shoka (UK) on April 29th, 2010 12:58 pm

    hawa ma-miss wetu wamejaa vibweka tu…kila anayekuja ana vya kwake…hii si ni aibu jamani? Hivi hawafundwi wakaelezwa maana ya kubeba taji la u-miss Tanzania? Hapa naona kuna mapungufu….kamati ya miss-Tanzania wapo waapi na wanafanya nini??

    Ubishoo tuu umewajaa hawa mabinti…naona wanahitaji kufundwa wafundike….NAWASILISHA……bang bang bang…!!!!!!!!!!!

  8. Comment by bertha on May 1st, 2010 3:52 pm

    ana nywele ndefuu huyoo.akitulia na kujisheshimu atafika mbali sana.mamiss wana nafasi kubwa sana ya kufanikiwa kimaisha hapo bongo.pia ukiwa maarufu bongo na nafasi ya kufanikiwa nikubwa kama unajiheshimu.miriam ucwe kama kina Wema.

Leave a Reply