
Hatimaye mrembo wa Miss Universe Tanzania 2010/11 amepatikana. Ni mrembo Hellen Dausen(pichani) mwenye umri wa miaka ishirini na tatu (23) kutoka mkoani Arusha.Nafasi ya pili ilikwenda kwa Rose Shayo kutokea Dodoma wakati ya tatu ilikwenda kwa Mwajuma Juma kutokea Mwanza.
Pichani ni Hellen akipunga mkono baada ya kutwaa taji la umalkia huo nchini katika ukumbi wa Mlimani City jijini Dar usiku wa kuamkia jana.Hongera Hellen.
Picha kwa hisani ya Mrocky.
Feedback / Comments
13 Responses to “MISS UNIVERSE TANZANIA 2010 NI HELLEN!”
Leave a Reply


sending...
Yes, that is real beauty with the potential to represent Tanzania. Mrembo kweli kweli. Best of luck.
hongela hellen Dausen miss wetu
SHE CUTE
Ni mdogo wake JOKATE?
Analipa lakini!
I just have one or two words for the agencies who prepare these types of events.
Kwanza jitahidini kwa wapolish hawa wadada kabla hamjawapeleka kwenye mashindano ya dunia. Wasaidieni wawe kwenye standards zinazotakiwa. Kwa mfano, washaurini wapate vifaa vya ngozi vitakavyowasaidia ngozi zao kuwa even na mororo (sio mkorogo) . Angalieni ngozi za models kama Iman na Naomi zimelingana mwili mzima na ni laini (sio hapa peusi, hapa peusi zaidi).
Pili, jaribuni kusharpen mind zao waweze kuinteract na watu wengine na kujibu maswali kwa ufasaha. Nimeona wengi wa hawa mabinti wetu ni wazuri lakini viwango vyao vya elimu ni duni. Hawawezi hata kusema sentensi mbili za kiingereza vizuri.
Kama tutaangalia hayo maswala mawili (beauty and intelligence) tunaweza kufika mbali, la sivyo sijui.
Hongeraaaaaaaaaaaa
I agree with Chris… you are totally right… I think Language is the key issue here and personality, smilling, interacting and chatting with people.
Miriam odemba did well in the end at the miss earth competition because after years and years of learning English and travelling abroad, getting the exposure she eventually managed to speak the language, though not properly but to a very good extent.. plus she has the personality you can see her interacting, chatting to people and adapting to situations and different cultures, it took her a long time to do this but in the end she came out with something… but unfortunately for her it’s kind of too late to join the miss world and universe competition.
If she’d done this at the beginning of her career I think she would have been in an even better position, cause I really believe she is a very attractive African- Tanzanian woman with all the potentials.
Also have the ability to think off your feet and the ability to answer questions on the spot and not rumble, overall fluency of the English language.
Personality…always smile…your smile tell stories and it’s always good stories, people can relate to your smile cause I am sure everybody at some point of our lives we smiled and it’s a joy..a good feeling and people want to associate with that feeling, a feeling of friendliness, warmth and inviting!
Toning up.. exercising and gym… I am not suggesting loosing weight not at all her weight is perfect but she needs to tone up a bit, she has a pretty face for sure but trust me that’s not enough…there’s no doubt she is beautiful…
If she practices the above I am in no doubt that she’ll do very well in her career, provided that she has the appropriate height as well,cause it’s very hard to tell from the picture.
Good luck!
Amy,
What if we decide that all our beauty pageants representatives stick into using Swahili and then have translators do their job? The Chinese,Japanese,Vietnamese,Colombians etc have done it and won!
Heat speaking, unastahila dada, keep it up!
tHERE DNT BE A BETTER DEFINITION OF a TRUE BEAUTY!!congratrats sis..we ni mzuri hata without makeup on..competition ingekuwa inafanywa without mekup basi ki2 ingekuwa fasta 2 maana nimeona sura zingine zinazoenda kushindana mmhhh!gudluck i trust i trust in you,ur confident,very confident,intellignt..etc…but ndo hvyo mama even tho u speak rly gud english,dictionary kutembea nayo ryt now muhimu!love u
there cant be a better definition of true beauty!hapo ndo mwisho wa matataaaizzzo!
WAOOOOOOOO WERAWERA UPO JUU ZAIDI YA MAWINGU YA BLUUUUU YOUR BEAUTIFULY NIME KU APRECIATE
Chris, Ushauri wako ni mzuri. Lakini napenda watanzania wafahamu kwamba Kiingereza siyo intelligence! Na wengi wanaoshiriki kwenye haya mashindano hawazungumzi Kiingereza fasaha. Tatizo letu ni pale tunaposhindwa kukubali kwamba lugha yetu ya Kiswahili ni yenye sifa na inakubalika na ukapewa mkalimani.
Suala la intelligence linatokana na ukweli kwamba wengi wa hawa wanaoshiriki hawajajiandaa kitaaluma na kitaalamu tangia awali. Wanajikuta tu wanashiriki kwa vile labla wanaambiwa na rafiki zao ‘unajua ukishiriki unaweza kushinda?’
Intelligence iko zaidi kwenye upana wa uelewa wa mambo mbalimbali ambalo ni tatizo la Watanzania wengi hivyo siwezi kulaumu mtu hapa. Hivyo wanajikuta wakishindwa kuingia kwenye mazungumzo ya kawaida, kwa mfano kama kikundi kitaanza kuzungumzia suala dogo kama mgogoro wa North Korea na Marekani. Na wakati mwingine wakijikuta wanashindwa kutoa mtazamo wao (ideology) kinagaubaga hata kuonekana ‘hivi huyu anatetea nini.
Na hii kwa ujumla wake ni sisi wote, Watanzania wote-tuache kujaza chupa za bia tupu kwenye shelves zetu badala yake tujaze vitabu vya aina mbali mbali!