Kuna mtu kaniuliza swali ambalo sikuweza kuwa na jibu lake.Sasa kama unavyojua,BC ina watu.Watu kama wewe.Ninapokuwa sina jibu la swali au maswali,naomba msaada kutoka kwako.Ndio raha ya kuzungukwa na jamii.Penye wengi hapaharibiki neno. Mwenzetu kauliza;

Eti ni kweli Irene Uwoya na Jacquiline Wolper wanafanana kiasi kwamba wengine kuthubutu kumuita Jacquline kuwa ni pacha wa Irene Uwoya?

Pichani aliyepo kushoto ni Irene Uwoya na kulia ni Jacquiline Wolper.Wewe unasemaje?Wamefanana?

Feedback / Comments

22 Responses to “WANAFANANA?”

  1. Comment by mwandiga on May 27th, 2010 10:18 pm

    Nope!
    Hawashibihiani kabisa, ”mmoja mwanamke” jicho,mwingine macho ya kungu.
    Wa mbele bouncer wa nyuma model.
    No way! hawafanani bc, tuletee wengine.

  2. Comment by Docta ibrahim ulimwengu on May 28th, 2010 4:10 am

    nah, hawa fanani . rangi tu.

  3. Comment by joan on May 28th, 2010 9:15 am

    jaman eeeeeeeeeeeeeeeeeeee hawafanan hata chembe tuletee mastaa wengine aisee

  4. Comment by serevat on May 28th, 2010 11:09 pm

    Actually they not look alike, but there is something that I know. What I know is that those ladies confuse lot people, but IRENE is little bit tall than JACQUILINE. Also their faces are not really alike.

  5. Comment by mary on May 29th, 2010 6:28 pm

    HAISEE HAWA WATU HAWAFANANI KABISA.MAY BE HIZO MAKE UP ZAO KARIBU ZIFANANE.IRENE ANAONEKANA KAMA ANA USO MPANA NA JACKIE ANAUSO MREFU,HII NI JINSI PICHA HIZO ZINAVYOTUONYESHA.SIJUI LIVE KAMA NDIO WAKO IVYO AU LAA.SO PEOPLE DONT CONFUSED YOURSELF.

  6. Comment by Tvzkicartoon on May 30th, 2010 10:59 am

    Kwa kweli mi huwa nashangaa sana nnaposikia Jack kuitwa pacha wa Irene yaani macho hayaoni basi hata hisia hamna!!

  7. Comment by sala on May 31st, 2010 3:16 am

    mimi naona hawafanani hata chembe moja, lete issue nyingine.

  8. Comment by Sitiboi on June 1st, 2010 3:23 am

    Kwako Joan

    Kuna sehemu zafanana, ukiniambia hizo sehemu hazifanani pia, apo nitakubishia mpaka asubuhi!!!!

  9. Comment by leyla mbonde on June 2nd, 2010 2:27 am

    hawafanani hata kidogo si sura wala shape

  10. Comment by PRINCE JIMMY.MASIRIKA on June 2nd, 2010 6:16 am

    Ukweli hawo akina dada wana fanana sana.lakini pana tofauti,kidogo kama ukiwaangalia vizuri.huwezi kusema ni mapacha.maana J

  11. Comment by laida on June 4th, 2010 5:40 am

    hawafanani

  12. Comment by Sitiboi on June 5th, 2010 6:31 am

    APO NI CHUNGWA…….NA…….CHENZA.

  13. Comment by RUNIGA on September 20th, 2010 6:42 am

    MIMI NAONA HAWAFANANI SANA IRA KWAMBARI UNAWEZA KUJICHANGANYA

  14. Comment by Qt G on October 6th, 2010 4:35 am

    Mmh! mi naona hawafanani hata kidogo labda rangi zao, ila kuna mtu anafanana sana na irine, kwa huyo no comment

  15. Comment by Lyt on December 18th, 2010 11:29 am

    Hawafanani kias cha kushidwa kuwatofautisha

  16. Comment by Nassor on December 19th, 2010 2:26 am

    tusibishe,labda kuna sehemu wanafanana!ungemuuliza huyo jamaa hiyo sehemu inayofanana ni ipi?lakini kama ni sura au figures,hawafanani kabisa!!

  17. Comment by aysha on December 27th, 2010 7:06 am

    oya mwamba vp au ww mwenyewe unataka kuchanganyanyikiwa, hawa watu is two different things hawafanani hata kidogo kwanza irene ana macho mazuri ila anajishauwa sana na kudharau wenzake

  18. Comment by Cityboy on February 11th, 2011 6:18 am

    Ni K……tu.
    Naona kaa munaficha ukweli hahahahaaa

  19. Comment by iddi on February 26th, 2011 3:48 am

    kiukweli hawafanani ila! niwakali

  20. Comment by iddi on February 26th, 2011 4:05 am

    Anaesema kama mapacha brother itatupasa tumchangie tumpeleke MUHIMBILI AU KCMC, kwamatibabu zaidi ya macho.Twaomba kama kuna swali lingine,tuleteeni
    lakini hili nadhani limekwisha.

  21. Comment by Twamby on May 20th, 2011 11:47 am

    Hawafanan kabsa yan hata robo Irene ana shepu na mvuto anao jacq hana shepu wala mvuto.

  22. Comment by judy on June 24th, 2011 7:37 am

    hawa watu hawafanani

Leave a Reply