
Mara ya mwisho msanii Juma Nature alipotoa wimbo mpya,baadhi ya wapenzi wa muziki wake hawakusita kuelezea hisia zao kwamba Nature amebadilika. Kivipi? Walisema haimbi na hana tena yale mashairi yaliyomfanya akakubalika sana hapo mwanzoni. Wakamsihi arudi kule kule alipoanzia.Kule kule kwenye nyimbo kama vile Hili Gemu,Kighetogheto,Sitaki Demu,Mzee wa Busara na nyinginezo.
Huenda ombi la washika dau hao wa muziki likawa limesikilizwa.Wimbo mpya wa Nature unaitwa Msichana Mtundu.Kwa upande wangu kilichonivutia zaidi katika wimbo huu ni ujumbe uliomo. Shule,maisha,baba-sukari,mapenzi,jamii.Usikilize hapa.
Audio clip: Adobe Flash Player (version 9 or above) is required to play this audio clip. Download the latest version here. You also need to have JavaScript enabled in your browser.
Feedback / Comments
10 Responses to ““MSICHANA MTUNDU”-JUMA NATURE”
Leave a Reply


sending...
Bora msela karudi hivi! Kama ‘Jinsi Kijana’ hivi…
Endelea hivi hivi Kibla; tupe visa vya Uswazi.
hie wazee wa bongo vipi mambo steve kanumba tunakukubari sela. keep it up usiachie wala nini bana hivyo hivyo.
hata mie nilikuwa mvulaNA mtundu,fata nyota yako,kitachakukuta shauli yako sio yao.tusitetekane(kucheka).kundukla la manyani.markniggga
mbona juma kavaa suti,kwani mzee wake alivaaa suti na tai,maisha muuigo,iga shauli yako,furahakia,ndio nguzo,marknigga
mmh mwana dude lina maadili kwa jamiii yetu lazma tupunguze magolikipa
Dr kia
problem with j.nature ni wale watu anaoambatana nao, he is a top class artist lakini anajimix na hopeless artists. Angalia NYIMBO nyingine aliyoitoa na HAO jamaa zake, baada ya hii, mbayaaaaaaaaaaaaaaaa
Halafu tatizo jingine he does not want to change. Nature angeweza kuimba vizuri kang’ang’ania kurap. kumbukeni nyimbo kama Tina, Niaje ambazo ameshirikishwa. He could sing and do very well.
alafu tatizo jingine la juma nature nyimbo zote beat moja. changfe man. it is too boring.
congrats nature,hao wanaokuponda wana bifu zao tu.ila wewe ni mkali saaaaaaana…..
MIMI kama mimi nature namkubali ile mbaya tena kwa wote wanaonifahamu tangu nasoma olevel mpechi high sec njombe 2002/2004 (walishanitania unampenda nature ni brooooo nini?) na wangine niliokuja soma nao tena dodoma jamuhury high sec wakasema hivyo hivyo hapana kiukweli nature ni msani ambaye bongo aliyoweza kuzungumzia maisha halisi ya mwafrika na hata mtanzania kwa kuweza kuimba kiuhalisi hata yale maisha yake halisi anayoishi kingine jamaaa ndio msanii wakwanza kukemea mmea au bangi wasitumie watu na hata hivyo ni msani wa kwanza kugusa jamii kuhusu muhungano kati ya zbr na bara katika “nyimbo ya muungano ccm na cuf” na katika kuzungumzia afrika kama :nyimbo ya nini chazo” na huhalisia kama nyimbo jinsi kijana ssa nani anayemkosea heshima huyu kijana ila kweli hata yye nature alishawai sema nabiii akubaliki kwao ndio mana ajawai yeye kama yeye kuchukua tuzo bongo zaidi watu wanaojua mziki nje ya tanzania na hata hivyo tumegundua bahazi ya vyombo vya habari na redio zimepanga kumpoteza ila naona watashindwa katika jina la yesuuuuu na hata kwa jina la muhhaaaaaaaamadi by suma kaka
Kiukweli ukiwa juu kuliko wenzio hakika watakuchukia.JUMA wewe kweli n NATURE and no ONE LIKE YOU.SALUTE TO YOU KIROBOTO