Wenzetu wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo(zamani ilikuwa inaitwa Zaire),leo wanasheherekea miaka 50 ya Uhuru! D.R.C walipata Uhuru kutoka kwa mkoloni Mbelgiji.Tunawapongeza.

Pichani ni Patrice Lumumba, Waziri Mkuu wa kwanza wa Zaire. Yeye ndiye aliyeongoza harakati za kujipatia uhuru.Wiki chache tu baada ya Uhuru na kuwa madarakani,aliuawa.Unaweza kusoma zaidi kuhusu historia yake kwa kubonyeza hapa.

Feedback / Comments

2 Responses to “HONGERA D.R.C”

  1. Comment by star on July 1st, 2010 5:06 am

    Mie sidhani hapa kama kuna kusherekea uhuru..uhuru gani watu tunaona vita na ubakaji kwa wanawake huko Congo leo hii wanasherekea uhuru..no further comment on this one…

  2. Comment by Namys on July 4th, 2010 5:46 am

    Ndugu yangu hapo juu(star) mbona unakandia kitu hujuwi?Kongo wanasherekea miaka 50 yao ya uhuru hata wanamigogoro…ubakaji,vita ipo sehemu yote duniani…mwenyewe uki mfosi mkeo mapenzi ni kosa la ubakaji, wangapi ufanya kosa hilo tanzania na hata wake zao hawaripoti polisi sababu ya woga ya”talaka”? sauda arabia haina vita mwanamke hawezi kutembea fri sababu ya ubakaji…japan haina vita wanawake wana behewa yao mahalum katika usafiri wa train ndani ya mji tokyo…n.k

Leave a Reply