Kama unafuatilia masuala ya filamu hususani kutoka Hollywood,bila shaka utakuwa umesikia kuhusu “wazimu” uliowaingia wapenzi wa filamu(wengi wao ni vijana) kuhusu movie mpya inayoingia Theatre hivi leo ya The Twilight Saga:Eclipse. Ni movie kuhusu Vampires. Vijana wengi wa kizungu hupenda sana hadithi na mikasa kuhusu Vampires.Tizama Trailer ya filamu hiyo hapa chini;
Feedback / Comments
One Response to “THE TWILIGHT SAGA:ECLIPSE-Trailer”
Leave a Reply


sending...
BC…naomba kutuma salamu kwa edo,any,chris,majita na wengineo ni kitambo!!!!!!!