Bila shaka unatambua kwamba miongoni mwa mitandao maarufu zaidi ulimwenguni ni mtandao wa Facebook. Historia ya Facebook ni nzuri sana.Ukipata muda isome hapa.

BC ipo pia katika Facebook.Kule watu hukutana,kujadiliana mambo kadhaa na pia kupashana habari mbalimbali. Kama bado hujajiunga nasi katika Facebook Group yetu(shukrani kwa wale ambao mmeshajiunga) unaweza kufanya hivyo kwa kubonyeza hapa na kisha kuingia(login) kupitia akaunti yako ya Facebook

Feedback / Comments

2 Responses to “JIUNGE NASI KWENYE FACEBOOK”

  1. Comment by Rajih Anta on May 6th, 2011 9:29 pm

    Mimi ni mwana BONGO FLEVA..,Kiukweli nimesota kwenye game kiasi cha hata kufikia kukata tamaa..!Nimekua kwenye game toka miaka ya 2000 mwanzoni nikiwa na pacha wangu ambapo mwaka 2003 tulitoka na track ilokwenda kwa jina “MISS TABASAMU” wakati huo tukijulikana kama DIG UP FAMILY kabla ya kutoka na kazi nyingine tena ilojurikana kama SAFINA ambayo ilipata airtime ya kutosha kunako RADIO FREE AFRICA,KISS FM na vituo vingine..!Wakati huo kundi tulibadili jina na kutumia “MBEYA BOYZ II K” ambayo sasa ndiyo BOYZ II K…!!Hivi sasa bado tunafanya music,na tayari tumeachi kazi hewani katika vituo vichache mojawapo CAPITAL FM,TIMES FM n.k…!!Nyimbo inaitwa NATESEKA inaelezea maisha ya ndoa..!Lakin ugumu wa kazi unakuja tunashindwa kusimamia kazi zetu kiukamilifu hali inayopelekea kutosonga ktk maendeleo ya kimuziki…!!Leo tunajitokeza kutafuta mtu atakaye kuwa tayari kutusaidia kiudhamin “MDHAMINI” au PROMOTA..!!BOYZ II K ni kundi linaloundwa na ndugu wawili ambao ni RAJIH ANTA & BABY KAY

  2. Comment by bongocelebrity on May 7th, 2011 3:49 am

    Raj
    Pole kwa changamoto.Nadhani itakuwa vizuri kama utautuma huo wimbo wako kwetu ili nasi tuuweke watu waweze kuusikia.Baada ya kusikia kazi yako,bila shaka wadhamini watajitokeza.

Leave a Reply