“NITAFANYA”-KIDUM & LADY JAYDEE(Official Video)

You need to a flashplayer enabled browser to view this YouTube video

 1. mavura, 14 July, 2010

  video iko poa sana lakini huo mziki sio ule ninaopenda mimi,bora ingebaki ile ya mwanzo ilikua imetulia hii ya sasa nasikia makelele ya vyombo visivyokuwa na mpangilio wa kueleweka,boring music

 2. JIBE, 15 July, 2010

  video nzuri sana, Jide umependeza sana, pia km itawezekana huyo mrembaji aliyekuremba ktk video hii ndo awe mrembaji wako wa kila siku, kwani kakupatia sana, maana siku nyingine huwa unaniangusha sana na make up! vinginevyo upo juu sana

 3. tracey Kenya, 17 July, 2010

  The video is the bomb congratulations Jay D and one Kidum keep up the spirit.
  thanks

 4. yvonne, 27 July, 2010

  love kidum and definitely love this song

 5. hamza, 14 September, 2010

  Love this song kidum en Lady Jay Dee wooow!!! its off the seeling nakwambia u guys rock… keep it up..

 6. Annybee, 15 September, 2010

  Marvelous work.keep it up kidum and jaydee

 7. YONA, 19 September, 2010

  Mimi napenda sana huu wimbo video iko poa lakini ambacho sikupenda ni mpangilio wa vyombo, mimi napenda instrument ambazo ziltumika kwa wimbo huu huu lakini ule wa kwanza kabisa.Hata nikiwa job napenda kuangalia video yake hata nikiwa home watu wanaonijua ukipingwa huwa wananipigia simu na kusema angalia kwenye TV . Jay dee &kdm big up.

 8. Morean Kimani, 28 December, 2010

  Kidum has stollen my heart with his voice and bravo jaydee for making it so real.love to hear another one soon.

 9. That song is da bomb,for one it will never lose its meaning unlike others, 29 December, 2011

  love listening to it!

 10. That song is da bomb,for one it will never lose its meaning unlike others, 29 December, 2011

  the flow is great!

Copyright © Bongo Celebrity