Feedback / Comments

11 Responses to “TANZANIA ELECTIONS 2010-???!!!”

  1. Comment by yunus kejo on July 15th, 2010 12:44 am

    jamani huyu pweza wa nchi gani kwani tumeambiwa pweza wa ujerumani kastaafu kutabiri , na je? hapo katua wapi coz naona hata ccm kuna vijimiguu vinavizia

  2. Comment by Ismail Biro on July 15th, 2010 7:51 am

    dats wat we tokin about!

  3. Comment by BLACKMANNEN on July 17th, 2010 9:41 pm

    Pweza amekuwa akitumika vizuri sana katika utabiri wa mambo ya Kombe la dunia Afrika Kusini kutoka Ujerumani.

    Ili dunia isiendelee kuhadaika na Pweza huyo, wenye Pweza huyo wameamua kumtangaza Pweza huyo kuwa kastaafu ili watu wasiendelee kuwasumbua na hasa wale walimwengu wenye kuamini utabiri na ushirikina.

    Sasa Watanzania wenye uchu wa kutaka mambo yajayo yajulikane mapema wamechukua picha ya Pweza huyo ili kuwaweka tumbo moto Watanzania wenye imani ndogo na vyama vyao wenye imani za utabiri na hata ushirikina.

    Lakini kuna ukweli uliowazi hapa Tanzania kuwa Jamhuri ya Mwuungano wa Tanzania tutapata Rais aitwaye Jakaya Kikwete na Makamu wake akiwa ni Mohammed Ghalib Bilal na Zanzibar akiwa ni Mohammed Shein. Shariff Hamad hawezi kuchaguliwa kuwa Waziri Kiongozi kwa vile Rais anatoka Pemba. Haya ni maoni yangu mimi, shauri yenu mkiyashabikia.

    Hapa patakuwa na shida kidogo kati ya Shein na Hamamad kutokana na makubaliano yaliyofikiwa kwa sababu Hammad anaweza kupewa tu kazi ya uwaziri na yeye hatakubali kwa vile anapenda ukubwa zaidi ya uwaziri wa kawaida.

    Wapo wengi Unguja watakao chaguliwa na Shein kuwa Ma – Waziri Kiongozi. Tanzania Bara Bilal atachapa kazi vizuri zaidi kumshinda Pinda alivyofanyakazi kipindi chake, ili 2015 Bilal aweze kuomba kuwa Mgombea wa Urais wa Jamhuri wa Mwuungano wa Tanzania na akubalike. Na atapewa.

    Mambo haya niliyoyasema hapa mimi sio mtabiri wala Pweza, lakini ndivyo itakavyokuwa kwa kuangalia hali ya hewa ya kisiasa ya Tanzania. Naipenda sana nchi yangu Tanzania.

    It’s Great To Be Black=Blackmannen

  4. Comment by BLACKMANNEN on July 18th, 2010 12:16 am

    Leo tarehe 18 Julai ni siku ya kuzaliwa kwa Mzee wetu mpendwa Nelson Mandela na ndiyo maana inaitwa “Mandela Day”. Hongera sana Mzee Mandela!!!

    Lakini kama ilivyo kawaida, katika safari zote za Mamba, Kenge pia mara nyingi hawakosi. Siku kama hii ya leo BLACKMANNEN ni siku yake pia ya kuzaliwa. Ni bahati gani ilivyo mtu kuzaliwa katika siku aliyozaliwa pia mtu Mheshimiwa kama kama huyu? Hongera mimi Blackmannen. Raha jipe mwenyewe!!!

    Kama inavyojulikana, ukubwa wa Mamba na Kenge unautofauti mkubwa sana. Ndivyo ulivyo utofauti wa umri kati ya “Black” na Mandela.

    It’s Great To Be Black=Blackmannen

  5. Comment by Alto on July 19th, 2010 1:51 pm

    Pweza wa Ujerumani hawezi tabiri uchaguzi wa Tanzania coz uchaguzi wa bongo umejaa fitina utaenda tofauti na utabiri wa pweza,kwan c mnajua Bongo ushindi huwa unapatikana hata kwa kuongeza masanduku ya kupigia kura?

  6. Comment by PHILEMON on September 6th, 2010 10:32 am

    Kama una imani kwa mungu maswala ya pweza ni uzushi mtupu kuanzia anatabiri kwenye kombe la Dunia hadi leo hii ni uzushi tangu lini mnyama kama huyo akawa na mawasiliano na mambo ya kibinadamu alichopanga Mungu ndicho kinatokea na wala si suala la pweza wala nini ni jukumu lako kuamini au kukataa kuamini kama wewe ni mwislamu au mkristo wote tunamwamini mungu ambaye ana fanya mambo yote KWA HIYO SUALA LA PWEZA UZUSHI

  7. Comment by PHILEMON on September 6th, 2010 10:35 am

    MWAONAJE KUHUSU TAKUKURU NA UCHAGUZI?
    Hivi karibuni katika uchaguzi ndani ya CCM tumeona TAKUKURU wakifanya hili na lile katika kukamata watu kuhusiana na Rushwa je hiki ni kiini macho au wamedhamiria kweli maana tuliowaona ni mwakalebela na mkewe tu mahakamani je wengine ni vipi?

  8. Comment by king on October 29th, 2010 12:01 pm

    CCM kimsingi wanalazimisha tabasamu, wadau wamesha geukia mabadiliko. ni wazi idadi ya watu walioandikishwa kupiga kura imeongezeka maradufu meantime watu wanalalamika hawaoni majina yao,je hao walioongezeka wametoka wapi?CCM kwa msaada mkubwa kutoka NEC wanampango wa kuchakachua matokeo. AM OUT

  9. Comment by king on October 29th, 2010 12:14 pm

    Channel ten watakuwa wanasaidiana na ikulu kumpigia kikwete campain sababu sikuhizi hawaonyeshi kabisa habari za SLAA,zaidi ya clip fulani inayomonesha slaa akiongea na watu alafu inafuata sauti za watu wakicheka huo ni ujinga,nazani tasnia ya uhandishi wa habari imekuwa na kujipendekeza kwa watu fulani kupata maslah fulani,hata hivyo SLAA ROCKS THE NATION ol da way. peoples……….ye baby its DOCTOR for life.

  10. Comment by Michael Sangu on January 24th, 2011 8:17 am

    Nimeipenda hii picha ya pweza.ila nina mashaka kama kweli ushindi wa……….ulitabiriwa na pweza huyo?Nakama pweza anaaminika kwa kutabiri ushindi baina ya washindani,

  11. Comment by Michael Sangu on January 24th, 2011 8:25 am

    Nimependa picha ya pweza.ila nina swali nataka kuuliza.kutokana na pweza huyu kuaminika kumtabiri mshindi wakati wa ushindani baina ya pande mbili,je kunaukweli wowote juu ya ushind wa mgombea urais Tz mwaka 2010?Nakama kuna ukweli,je jambo la uxchakachuaji kura unatoka wapi?

Leave a Reply