
Washiriki wa shindano la mwaka huu la Big Brother Africa ndio wameanza kutajwa muda mfupi uliopita na Mwisho Mwampamba ambaye alishiriki shindano hilo mwaka 2003(Big Brother 1) na kuibuka mshindi wa pili ndiye mwakilishi wa Tanzania! Mwisho ndiye housemate wa kwanza kuingia ndani ya jumba la Big Brother.
Kwa ujumla washiriki wote wa mwaka huu,waliwahi kushiriki shindano hilo siku za nyuma na ndio maana limeitwa BBA All-star.Wengine waliorudi ni Paloma kutoka Zambia(Big Brother Africa 4),Jen kutoka Msumbiji(Mozambique) aliyeshiriki Big Brother Africa 4, Munya kutoka Zimbabwe(Big Brother Africa 4),Yacob kutoka Ethiopia(Big Brother Africa 4),Sheila kutoka Kenya(Big Brother Africa 3),Sammy kutoka Ghana(Big Brother Africa 1),Kaone kutoka Botswana(Big Brother Africa 4),Meryl kutoka Namibia(Big Brother Africa 2),Uti kutoka Nigeria(Big Brother Africa 3),Lerato kutoka South Africa(Big Brother Africa 2),Hannington kutoka Uganda(Big Brother Africa 4),Tatiana kutoka Angola(Big Brother Africa 2) na Code kutoka Malawi(Big Brother Africa 2)
Feedback / Comments
14 Responses to “MWISHO MWAMPAMBA ARUDI TENA NDANI YA BIG BROTHER AFRICA!”
Leave a Reply


sending...
Haya kaka nadhani this time ukitoka huko utarekebisha,nauhakika umeshajifunza kutokana na makosa.Tupo pamoja represent the country buddy!
Una bahati sana ndugu yangu. Nakutakia kila la heri.
bado yuko poa anawezafanya maajabu tena bt ajirekebishe akitoka tena
Hongera kaka ss fanya mambo hizo USD 200,000 uje nazo bongo. pia usiwe na shaka nafanya mawasilianao na mmiliki wa pweza “paul” ili akutabirie ushindi mapemaaaaaaaaa….
mwisho yupo juu but now he shud pull up his socks coz da game z 2 tuff compaired to da 1st.all stars are in da houz.
Mwisho kwa kweli ana bahati but nadhani inabidi ajirekebishe arudipo kwenye hilo jumba na mtu natumaini anajifunza kutokana na makosa.But i wish angeweza kusikia maneno ya watu mana apunguze kulewa sasa mana hata mpaka ndaniya jumba analewa sana na kujiona kila kitu anajua yeye, matusi kila neno anapoongea lazima amalizie na tusi. Change bro utafika mbali.Ukirudi usijeukaishia tena kwenye kiuno bila mfupa
All the best Mwisho aka Mmasai
namtakia ushindi mtz mwisho ktk shindano la big brother all starz.upinzani ni mkubwa coz wote wana enough experience
kamua mwanangu ila wewe cha pombe sana jirekebishe mtu wangu punguza viuno
kaka nakutakia kila la kheri ndani ya nyumba ila ukirudi home plzzzzzzzzzzz acha ile mitabia umeshakuwa kioo cha jamii na mashabiki wako wanatarajia kuiga kitu bora toka kwako kaka. keep it up all tanzanian we are behind you.
It’s your second chance boy! Make sure you do the best and Allah will do the rest!
he will do better!
ALL THE BEST BRO! KNOW YOU THE BEST!!!!!!
Ebwana brother nakupa tano mr planetless kwa kuperform vizuri ndani ya jumba la sanaa na sisi watz tupo nyuma yako pamoja sana mr planetless.
Arusha tunamkubali chalaare Mwisho.kamua mbaba njoo na hela na huyo mtoto mary wa ki Nigeria.kuhusu gambe endeleza kupiga ila kwa step.pamokoooooooooooooooo