
Wanasema picha moja ni sawa sawa na maneno elfu moja(1,000).Unaona nini katika picha hii?Is there anything wrong with this picture?
Feedback / Comments
24 Responses to “CAN YOU TELL WHAT IS WRONG WITH THIS PICTURE?”
Leave a Reply

Wanasema picha moja ni sawa sawa na maneno elfu moja(1,000).Unaona nini katika picha hii?Is there anything wrong with this picture?
Feedback / Comments
24 Responses to “CAN YOU TELL WHAT IS WRONG WITH THIS PICTURE?”
Leave a Reply
It shows lack of vision and “go my son/daughter syndrom” which result into Incapable and selfless leaders. In fact those leaders knows nothing but to fulfil their fathers ego……..anyway it is not the a good sign but UBATILI MTUPU NA KUJILISHA UPEPO
It shows lack of vision and “go my son/daughter syndrom” which result into Incapable and selfish leaders. In fact those leaders knows nothing but to fulfil their fathers ego……..anyway it is not the a good sign but UBATILI MTUPU NA KUJILISHA UPEPO
Masikini Tanzania..nakupenda na ninakuonea huruma
Hapo ukutani pameandikwa Haki sawa kwa watoto.Najiuliza,haki gani?Ya kulala kwenye hivyo vibanda vya kuku au
Kwa kuitizama picha na uhalisia wa mazingira asilia hayafanani na kile ambacho bwana huyo mwenye ‘kijani kibichi’amejaribu kuwashawishi hao wananchi ambao kwa nderemo zao wamemchukulia kuwa yeye ndiye mkombozi wa kuibadilisha hali ya maisha katika mtaa wao. Yawezekana aliyekuweko hapo awali hakuwatimizia haja yao.
lakini bado mimi ninashawishika kuhoji,je elimu katika eneo hilo inachukuliwa katika mtizamo gani?
Inaonyesha hali ya umasikini uliokithiri pamoja na utajiri mkubwa wa uoto wa asili na ardhi yenye rutuba iliyopo Bumbuli mambo ambayo January ameyaainisha kwenye kitabu chake cha Bumbuli Jana, Leo na kesho. Kwangu mimi inanionyesha kwamba ni kweli Bumbuli inahitaji mabadiliko.
mhh no further comment on this one..mhhh pole sana TZ
uchakavu wa hizo nyumba zilizomzunguka
PICHA inaonyesha huyu kijana anakubalika sana.
They see him as a messiah! A potential leader to sort out their problems in terms of water, electricity, education, welfare and health.
BUT WILL HE??????
HELL NO! Just an egostic son of prominent corrupt politician, who might follow his father trends!
Kwani hapa ni kwa babu yake January au ni ofisi ya chama?! Ina maana Bumbuli haina eneo muafaka (shule, uwanja, nk) ambapo watu wanaweza kukutana na wakamsikiliza mbunge mtarajiwa kwa kituo? Mbona tunadanganyana lakini CCM??!! Hao wazee na kina mama wanachotaka ni kilo moja tu ya sukari, Januari kapita:)
Maskini Tanzania! Hawa ndio aina ya wapiga kura tulionao mbumbumbu wazee wetu maskini wasiojua kuhoji na kupambanua mambo! Tufanyeje kuwaokoa wazee wetu?
sikiliza nyimbo ya roma utajua hapo pana mana gani hii ndo tanzania nchi yenye udongo wenye dhambi so wananchi washajichokea tu ndo mana wanapiga kura kama mfano
http://www.youtube.com/watch?v=xm5lCfN8ENc&feature=player_embedded
One of the best ever seen in BC.
HII PICHA YAONESHA “LABDA” NYIIINGI NAMI NTAORODHESHA CHACHE HAPA.
Labda yaonesha watu (hasa kinamama) wenye tumaini.
Labda yaonesha wanakijiji WAVIVU ambao hata nyumba ya udongo inawashinda ilhali wamezungukwa na udongo, maji na miti.
Labda yaonesha MGOMBEA KAYAPA KISOGO MATATIZO.
Labda yaonesha mazingira halisi ya mahala ambapo mgombea anataka kubadili.
Labda yaonesha uzuri wa kuwa bora kuliko wengine kiasi kwamba wanaweza kukusikiliza hata kama huna suluhisho la matatizo yao.
Labda yaonesha utendaji mbovu wa viongozi wa ngazi ya kaya,kijiji na kata.
Labda yaonesha namna ambavyo wananchi wamewekezwa akili MBOVU kuwa hata maendeleo wanayohitaji kwa maisha yao yanaletwa na wagombea. HII NI HATARI.
Kutegemea wanasiasa kuwa suluhusho la maendeleo yetu na si sehemu ya himizo la kuyasaka maendeleo yetu.
ni huzuni sana!!!! Tanzania nchi yangu na kupenda kwa moyo wangu wote. Mungu tunakuomba utupe viongozi wenye uchungu na Tanzania na sio mafisadi wanaojali kujaza matumbo yao tuu. Viongozi wanaojali maisha ya Watanzania wote, wanaosema ukweli, na kutetea haki. Mungu tuurumie Watanzania na nchi yetu uliyotupa.
divah, you are dreaming kiongozi kama hayupo..
Du, January Makamba anatafuta kura kwa hao mababu na mabibi zake waliochoka… In the background kuna ‘mbavu za mbwa’ ambazo ni habitual residents za hao masikini. Na huyo kijana anaomba kura zza hao watu ili akawaongoze at their expense..
Kwa nyuma picha inaonyesha hali halisi ya tanzania, umaskini uliokithiri. Hapo katikati inaonyesha umati wa wananchi wetu wa Tanzania walio na matumaini na kiongozi wao (mwanasiasa) mtarajiwa. Katikati kabisa ni mwanasiasa anayechipukia bwana January Makamba. Huyu ni Kijana anayefahamu matatizo ya jimbo hili hata ameweza kuandika kitabu kinachoanganza matitizo kero ya Bumbuli. Huyu ndiye future ya Tanzania–tumpeni support.
Inaonyesha kijana aliyenawa vizuri na anayeishi maisha yajuu anavyotumia maneno kulaghai watu waliokosa matumaini. Hivi ngoja ni hoji hiki kitu. Kama chama hicho hicho kimeshindwa kuwaletea maendeleo wananchi for years itakuwaje this time kikaleta maendeleo? Ukirudia kitu kile kile over and over that does not mean utapata different results! Hiki ni kipindi ambacho wananchi wote wanatakiwa wasipoteze muda kwenda kusikiliza mgombea yeyote regardless ya chama chake. Nyie hangaikeni kivyenu kwani kiongozi aliyepita mbona hajafanya kitu na nyie meeza ku-survive. Msitumie muda wenu kusikiliza mtu kama wanataka kuja kupiga bla bla waje lakini msiwape hata 5 seconds nyie pigeni mzigo. Wakipata wasipate ulaji ni juu yao. wenzenu hao wananyumba, gari, and probably uwezo wakujilisha wao na familia zao for years to come basi tu ni ubinafsi huo.
kaa anagawa mijihela vile
hii ndo nchi yangu ambayo naipenda ila nawa…..jinsi mna…
mh tanzania bwana hovyoooooooooooooooo.me wala sitaki kuskia habari zao mbina majina ni yakeyke makamba makamba saiv tunataka mauzi eboo
haile hittler
ccm ni sawa na mwanafunzi aliyepewa mtihani akafeli na kila mwaka anare-seat anafeli lakini wazazi, ambao ni waTZ, wanatumaini kuwa ipo siku mtoto wao atafaulu, Hatimaye mtoto anazeeka na ubongo unastack hauwezi tena kuingiza jambo lolote jipya wala kutoa wazo jipya.