First Family ikielekea mapumzikoni hivi karibuni.Hivi sasa kuna mijadala kadhaa katika mitandao ya kijamii kama FaceBook,Twitter nk kuhusu muonekano wa Rais Barack Obama.Wengi wanasema kwa muda mfupi tu ambao amekuwa Rais,jamaa anaonekana kuzeeka kwa kasi.Ni kweli?

Feedback / Comments

9 Responses to “THE FIRST FAMILY”

  1. Comment by Rehema on July 26th, 2010 7:59 pm

    I don’t know why but I love this family.Everytime I see them together,I just feel good.

  2. Comment by eva on July 27th, 2010 12:00 am

    I Love this family too….Yes the president has gotten more gray. The office of presidency carries a lot of pressure – it is a good thing he travels with his doctor/s. Keep up the fight Obama!!

  3. Comment by sisterTZ on July 27th, 2010 4:32 am

    BC it is true yaani hata mimi naona tangu Obama awe president mvi zimezidi kichwani na hata appearence yake pia anaonekana kazeeka sana jamani uongozi si mchezo kumbe..maana pressure ni nyingi kila kona.. utaacha kuzeeka? @Rehema nice family indeed…

  4. Comment by sisterTZ on July 27th, 2010 4:34 am

    Na sio Obama tu mie naona hata mhe Kikwete nae kazeeka gafla..mambo ya uongozi hayo..kasheshe

  5. Comment by Max on July 27th, 2010 9:48 am

    Aren’t we All!!!!! I think the Family is Cooooool, nawaombea Allah S.W.T. awajaze Baraka (kama jina lake) na Rahma – Aaaamin.

  6. Comment by SHEMA on July 27th, 2010 3:59 pm

    MADARAKA CYO MCHEZO LAZIMA AZEEKE JAMANI ANAPENDA FAMILIA YAKE HADI RAHA

  7. Comment by BLACKMANNEN on July 28th, 2010 1:14 am

    Watanzania kwa kujipendekeza kwa watu wa nje, mimi siwawezi. Wanarukia kumwaga misifa kemkem kwa familia ya Obama kama kawaida yao.

    Mna hakika gani kama familia hiyo ya Obama wanaishi maisha mazuri na yenye furaha? Au mnavyowaona kwenye TV na magazetini wakiwa pamoja mnaona mambo yao ni mswano sana?

    Enzi za Clinton na familia yake pia walionyesha kuwa walikuwa wanapendana sana kifamilia na maisha swafi yaliyojaa upendo mwingi kwa binti yao, hadi siri ya Monica na Clinton ilipobumburuka. Uzito wa mzigo aujua mbebaji.

    Sura ya Obama ya kuzeeka upesi yawezekana inachangiwa pia na ugumu wa maisha ya ndani ya mtu na familia yake, na upande mwingine akikabiliwa na jukumu la kuiongoza nchi.

    Watanzania kuweni na mioyo ya kupenda vyenu, siku zote nimekuwa nikiwaambia hivyo. Sifia kitu cha nje unapoona ni kweli kinastahili kusifiwa na una hakika na kile ukisemacho.

    It’s Great To Be Black=Blackmannen

  8. Comment by moyo on July 30th, 2010 4:07 am

    Hiyo inaonyesha jinsi viongozi wa wenzentu walivyo siriaz na kazi sio wakwetu wao uongozi ni starehe mfano angalia bunge letu na mabunge mengine la kwetu Bongo limekaa kistarehe zaidi ndio maana wabunge huwa wanalalala ovyo

  9. Comment by dddddddddddd on September 4th, 2010 9:09 am

    obama please can i marry your daughter?(1st born),when she reaches 18

Leave a Reply