Msanii wa muziki wa kizazi kipya,Prof.Jay,bado anaendelea na tour yake ndani ya USA.Hapo jana ilikuwa zamu ya watu wa Washington,DC kupata burudani kutoka kwa msanii huyo.Mambo yote yalifanyikia ndani ya sehemu maarufu ijulikanayo kama Zanzibar.
Wikiendi ijayo ni zamu ya watu wa Boston,Massachusetts.

Prof.Jay jukwaani.

An admiration look.Can you spot it?

People showed up and had a good time.
Feedback / Comments
Leave a Reply


sending...